Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.
Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.
Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!
Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.
4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.