Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Kama ukipata bahati ya kutembelea miji ya Canada kama Vancouver, Calgary, Toronto, Ottawa na Montreal ni mizuri sana na haina ghetto.

Ila miji ya Marekani kama Chicago, New York city, Los Angeles, ni mizuri lakini ina tatizo la ghetto, tofauti na miji ya Canada. Ni Seattle ndiyo haina tatizo la ghetto tofauti na mingine ya U.S.

Kinachoibeba Marekani ni kwamba kuna opportunities nyingi sana za kimaisha kuliko Canada.
 
unnamed.jpg

Montreal hiyo.​
 
Mkuu inaelekea kuna baadhi ya maeneo Canada yanaongea kiingereza na maeneo mengine Kifaransa uwiano ukoje?na inapokuja issue ya uchaguzi kama hivi karibuni huyo waziri mkuu kachaguliwa tena inakuwaje?
Majimbo wao wanaita province yanayoongea kingereza ni mengi tofaut na kifaransa hayazid matatu
 
Back
Top Bottom