Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Ni ukweli usiofichika, kwenye developed countries marekani inaongoza kwa kua na miji mibaya, poor public transport, kama huna gari utapata shida sana, na homeless kibao, yaani wanalala barabarani kila kona kuliko hata homeless wa bongo. Ukipita downtown kuna mitaa inanuka homeless wamejikusanya kama 30 hivi na matambara yao wanakojoa hapohapo, marekani kuna streets zinakera kwa kweli.
Ahsante ndo nilichokua namaanisha
 
In case many of you didnt know the US was once a Christian nation. I remember when I was young at school we were having Bible class in all American public schools.

Jews in the USA have fought so hard to eliminate a notion of USA being a Christian nation, they have used their whole influence, Political influence, Entertainment influence, media influence to discourage as much as they can any move of USA to declare itself a christian nation.
They fear that if America declares itself a Christian nation or is deeply associating itself with Christian values then perhaps it may turn against them as various christian empires did in the past, Therefore they prefer a secular America!
Jews of pre- soviet Union also fought hard against the king of Russia, Russia which was an Orthodox Christian nation, Jews saw Christianity as an obstacle to them hence they financed and participated fully in the bolshevick revolution to install a secular communist system.
Jews don't like Christian system.
 
ShCity1.jpg

Kitu Shanghai, Pudong Area
 
Mimi huwa najiuliza hao homeless wa kule wangekuwa Africa wangeitwaje sasa, mana hali za huko tulivyo kalilishwa ambao hatujagusako ni nzuri na unaweza ishi kwa namna yoyote kama wewe ni mpiganaji wa kiukweli, soo how comes wale jamaa wanakosa namna ya kujinusuru na hali wao huenda wakawa na maarifa na nchi zao hizo kuliko mimi ninaetaka kukimbilia huko,wachuzi wa hii kitu hebu nitoeni tongotongo hapa
 
Wenye nchi ya Canada ni indigenous people. wahamiaji ni watu wengine wooote si mzungu si muarabu si muhindi wala mtu mweusi.

Na sera za hovyo za bwana PM Justin za kuwahifadhi wakimbizi hasa kutoka mataifa ya kiarabu zitakuja mtokea puani muda utaongea nchi imegawanyika vipande vipande ubaguzi unaongezeka kwa kasi sana.
Nimeishi Canada kabla hujazaliwa, mpaka leo hii.

Hakuna ubaguzi wa kuweza Canada "kugawanyika". Siasa za Canada huzifahamu. Sema tukupe darsa.

Waarabu wameanza kuishi Canada miaka mingi sana kabla ya hao wakimbizi wa juzi. Pata darsa dogo...

Arabs, or more specifically, Syrian-Lebanese immigrants, began to arrive in Canada in small numbers in 1882. Their immigration was relatively limited until 1945, after which time it increased progressively, particularly in the 1960s and thereafter.

Nimeishi Canafa kablanhujazaliqa.mpaka leo hii.

Hakuna ubaguzi wa kuweza Canada "kugawanyika". Siasa za Canada huzifahamu. Sema tukupe darsa.

Waarabu wameanza kuishi Canada miaka mingi sana kabla ya hao wakimbizi wa juzi. Pata darsa dogo...

Arabs, or more specifically, Syrian-Lebanese immigrants, began to arrive in Canada in small numbers in 1882. Their immigration was relatively limited until 1945, after which time it increased progressively, particularly in the 1960s and thereafter.

Endelea kuwa booty-licking waarabu bi.ajuza

tapatalk_1571907951843.jpeg
 
Faiza mimi sio mtoto mdogo kama fikra zako dhanifu zinavyokutuma kama uliishi Canada miaka ya 70's na unajidanganya kwamba sikuwa nimezaliwa basi ondoa haraka hiyo dhana potofu.

Nimeishi Japan 1992-1997 nikarudi Tanzania hadi 2012 nikaenda kuishi S.A hadi nilipofahamiana na mtu aliyefanikisha mimi kuwa mkaazi wa Hawaii 2016 na kabla ya hapo nimeishi Alberta kwa miezi saba nikiwa kama Truck driver.

Siasa za Canada nazijua kupita nizijuavyo siasa za Tanzania hata America sema jambo gani silijui kuhusu siasa za Canada nikushangaze

Waarabu, Wapemba, Wasomali na Wangazija huwa wana tamaduni ya kujifungia mfano Tanzania huwezi kumkuta muarabu anaishi Kariakoo mwingine Tandale mwingine Mbagala ila utawakuta wote wamejazana kama ni Ununio wote ununio.
Canada pahala ambako utawakuta waarabu kwa wingi kiasi ni Toronto pekee na itikadi zao za kusambaza dini zinawafanya waishi maisha ya kutisha sana kuliko hata ya Niggas lives in Baltimore mtetezi wao mkuu na pekee ni PM Justin siku Scheer akiingia they're gone for good hapa nazungumzia (migrants) sio settlers

Nimalize kwa kukuuliza swali unaifahamu idadi kamili ya wakazi waarabu wa Canada? Na kwa tamaduni zao wakienda eneo ni lazima waliharibu kwa kuacha mbengu zao mfano Zanzibar leo hii Zanzibar haina tofauti na Qatar imeharibiwa kwa mabaki ya waarabu (koko) Singida imetapakaa waarabu (koko) sasa walishindwa nini kwa Canada ya 1800
Na wanatabia ya kulazimisha muzifuate tamaduni zao huku za kwenu wakiwa hawazieshimu, na wanataka wao waheshimu wakiwa foreign country lakin nchi zao hazieshimu wagen hata kidogo. Arabs are selfish sana ndo maana wazungu, wachina hawawapend warabu
 
Wenye nchi ya Canada ni indigenous people. wahamiaji ni watu wengine wooote si mzungu si muarabu si muhindi wala mtu mweusi.

Na sera za hovyo za bwana PM Justin za kuwahifadhi wakimbizi hasa kutoka mataifa ya kiarabu zitakuja mtokea puani muda utaongea nchi imegawanyika vipande vipande ubaguzi unaongezeka kwa kasi sana.
Kwa hiyo wewe una haki ya kuribishwa marekani ila waarabu hawana haki ya kukaribishwa kanada .
Wabongo tuaachage ujuaji za kwenda kwenye nchi za watu na kujifanya tuna akili kuliko wenye nchi yao .
Wewe unavyo sema sijui sera ya waziri mkuu kuwakaribisha waarabu zitamghamu mbona ameshinda uchaguzi wa juzi juzi kwa kishondo?
 
Faiza mimi sio mtoto mdogo kama fikra zako dhanifu zinavyokutuma kama uliishi Canada miaka ya 70's na unajidanganya kwamba sikuwa nimezaliwa basi ondoa haraka hiyo dhana potofu.

Nimeishi Japan 1992-1997 nikarudi Tanzania hadi 2012 nikaenda kuishi S.A hadi nilipofahamiana na mtu aliyefanikisha mimi kuwa mkaazi wa Hawaii 2016 na kabla ya hapo nimeishi Alberta kwa miezi saba nikiwa kama Truck driver.

Siasa za Canada nazijua kupita nizijuavyo siasa za Tanzania hata America sema jambo gani silijui kuhusu siasa za Canada nikushangaze

Waarabu, Wapemba, Wasomali na Wangazija huwa wana tamaduni ya kujifungia mfano Tanzania huwezi kumkuta muarabu anaishi Kariakoo mwingine Tandale mwingine Mbagala ila utawakuta wote wamejazana kama ni Ununio wote ununio.
Canada pahala ambako utawakuta waarabu kwa wingi kiasi ni Toronto pekee na itikadi zao za kusambaza dini zinawafanya waishi maisha ya kutisha sana kuliko hata ya Niggas lives in Baltimore mtetezi wao mkuu na pekee ni PM Justin siku Scheer akiingia they're gone for good hapa nazungumzia (migrants) sio settlers

Nimalize kwa kukuuliza swali unaifahamu idadi kamili ya wakazi waarabu wa Canada? Na kwa tamaduni zao wakienda eneo ni lazima waliharibu kwa kuacha mbengu zao mfano Zanzibar leo hii Zanzibar haina tofauti na Qatar imeharibiwa kwa mabaki ya waarabu (koko) Singida imetapakaa waarabu (koko) sasa walishindwa nini kwa Canada ya 1800
Ulicho andika hapa umeonesha upumbavu na fikira finyu ndani ya kichwa chako.
Kwa hiyo wewe uko uliko marekani sijui wapi huna familia na watoto ?kwa hiyo na wewe tukuweke kwenye kundi la waaribifu?.
Ni upumbavu ulio vuka mipaka kujiona una haki ya kukaribishwa lakini kwa waarabu hawana haki hiyo.
Maana ninaona ume komalia sela mbovu za waziri mkuu kuwa karibisha wakimbizi kama kweli ni sera mbovu mbona wakanada wamemchagua kwa kishindo kwenye uchaguzi uliopita ?kwa hiyo wewe una uchungu na kanada kuliko waziri mkuu wa kanada na walio mpigia kula?
Kama una kerwa na waarabu kuamia kwenye nchi za wazungu basi na wewe rudi nyumbani kwenu maana huko sio kwenu kama walivyo waarabu.
Jamani wabongo tuachage ujuaji kwenye nchi za watu kama mngekuwa na akili mngeweza kuriondoa taifa lenu kwenye umasikini ulio kithiri, lakini mmeshindwa kulisaidia taifa lenu mnakimbilia kwenye nchi za watu kuwa fundisha jinsi ya kuendesha mataifa yao.
Kwa hiyo kuanzia leo tambua wewe na hao waarabu unao waona ni watu wasio na haki kama binadam wenzako hamna tofauti maana nyote mmekaribishwa kwenye nchi za watu,na siku wakiamua muindoke mtaondoka kwa hiyo acha ujuaji.
 
Hakika, South Africa hakuna muarabu anakohoa kwanza huwa hawapawezi kwa kuwa watu wakule hawapatani na ujinga.

Tanzania kutokana na ukarimu uliopitiliza wamepaharibu wanatukuzwa kama miungu watu nenda kwao Oman tu hapo uione rangi yao halisi hapo ndipo utasadiki historia za vitabu nyakati za utumwa kuwa jamaa waliwatesa sana babu zetu.

Ni kheri ukaishi na Mexicans au Bulgarians kuliko waarabu na wasomali
Yaan ndugu unateseka saaaaaaana na chuki iliyoko ndani yako na ipo siku itakuuwa.
 
Faiza mimi sio mtoto mdogo kama fikra zako dhanifu zinavyokutuma kama uliishi Canada miaka ya 70's na unajidanganya kwamba sikuwa nimezaliwa basi ondoa haraka hiyo dhana potofu.

Nimeishi Japan 1992-1997 nikarudi Tanzania hadi 2012 nikaenda kuishi S.A hadi nilipofahamiana na mtu aliyefanikisha mimi kuwa mkaazi wa Hawaii 2016 na kabla ya hapo nimeishi Alberta kwa miezi saba nikiwa kama Truck driver.

Siasa za Canada nazijua kupita nizijuavyo siasa za Tanzania hata America sema jambo gani silijui kuhusu siasa za Canada nikushangaze

Waarabu, Wapemba, Wasomali na Wangazija huwa wana tamaduni ya kujifungia mfano Tanzania huwezi kumkuta muarabu anaishi Kariakoo mwingine Tandale mwingine Mbagala ila utawakuta wote wamejazana kama ni Ununio wote ununio.
Canada pahala ambako utawakuta waarabu kwa wingi kiasi ni Toronto pekee na itikadi zao za kusambaza dini zinawafanya waishi maisha ya kutisha sana kuliko hata ya Niggas lives in Baltimore mtetezi wao mkuu na pekee ni PM Justin siku Scheer akiingia they're gone for good hapa nazungumzia (migrants) sio settlers

Nimalize kwa kukuuliza swali unaifahamu idadi kamili ya wakazi waarabu wa Canada? Na kwa tamaduni zao wakienda eneo ni lazima waliharibu kwa kuacha mbengu zao mfano Zanzibar leo hii Zanzibar haina tofauti na Qatar imeharibiwa kwa mabaki ya waarabu (koko) Singida imetapakaa waarabu (koko) sasa walishindwa nini kwa Canada ya 1800
Kumbe unabwabwaja na haufahamu kitu. Eti "Waarabu koko".

Nipo Calgary ambayo ipo hilo jimbo la "Alberta" ulilolitaja. Na Waarabu wengi sana hapa tunaisho nao na wapo kila sehemu na kila fani. Si kama usemavyo eti wapo Toronto tu.

Hayo ya Kariakoo eti "hukuti Waarabu"
Utachekwa.

Jinsi unavyoandika tu, unaonesha wazi wewe siasa za Canada zisome tu kwenye mtandao. Huzielewi hata kiduchu. Hata huelewi kuwa kuna mpaka wanasiasa wa Kiarabu Canada tena wanasikika.

Eti unaniulizq Waarabu wangapi Canada? For your information Canada ina Waarabu kuliko unavyoidhania. Tatizo wewe hata Waarabu hujuwi ni kina nani.

Wewe uwe umezaliwa 70s halafu ukajipe jina ya hicho kitoto cha juzi cha kucheza sumo, heri hata ungejiita Taiho ningejuwa kweli wa zamani.

Usicheze na fahamu za watu kijana.
 
Sijasema sera za Justin kukaribisha waarabu nimezungumzia (wakimbizi kwa ujumla ambako ndani yakw pia kuna watu wa jamii zote) mimi binafsi sio mkimbizi ni mkaazi.

Umeninukuu vibaya.
Wewe ni raia wa marekani ?kama wewe si raia wa marekani wewe ni mkimbizi wa kiuchumi.
 
Sijasema sera za Justin kukaribisha waarabu nimezungumzia (wakimbizi kwa ujumla ambako ndani yakw pia kuna watu wa jamii zote) mimi binafsi sio mkimbizi ni mkaazi.

Umeninukuu vibaya.
Kama wakanada wangekuwa wanawachukia wakimbizi wasinge mchagua tena waziri mkuu wa sasa anaye wakumbatia wakimbizi.
 
Kama ukipata bahati ya kutembelea miji ya Canada kama Vancouver, Calgary, Toronto, Ottawa na Montreal ni mizuri sana na haina ghetto.

Ila miji ya Marekani kama Chicago, New York city, Los Angeles, ni mizuri lakini ina tatizo la ghetto, tofauti na miji ya Canada. Ni Seattle ndiyo haina tatizo la ghetto tofauti na mingine ya U.S.

Kinachoibeba Marekani ni kwamba kuna opportunities nyingi sana za kimaisha kuliko Canada.
Namsubiri Bibi Faiza Foxy atie neno maana ni raia wa CANADA.
 
Back
Top Bottom