Miji ya Canada ni mizuri zaidi ya Marekani

Ni ukweli usiofichika, kwenye developed countries marekani inaongoza kwa kua na miji mibaya, poor public transport, kama huna gari utapata shida sana, na homeless kibao, yaani wanalala barabarani kila kona kuliko hata homeless wa bongo. Ukipita downtown kuna mitaa inanuka homeless wamejikusanya kama 30 hivi na matambara yao wanakojoa hapohapo, marekani kuna streets zinakera kwa kweli.
Wabongo!!! nimewanyooshea mikono na kariakoo yao🙌🙌🙌
 
In case many of you didnt know the US was once a Christian nation. I remember when I was young at school we were having Bible class in all American public schools.
That's why its blessed. There's roots of Christ.
 
Wewe ni mmoja wao?

Faiza waarabu ni wakuhesabu Calgary na Alberta kwa ujumla ubaguzi uliopo Calgary haupimiki hasa kwa mtu mweusi na hakuna anayeweza kuuzuia.
Hao waarabu wako wanafanya kazi gani Calgary?

Sijakuelewa

Sijakataa ila wamejazana kwenye baadhi ya province kama ilivyo kawaida yao.
Mayor wa Calgary bwana Naheed ni muislamu kidini lakini nashindwa kumuweka kwenye kundi la waarabu.
Hata uislamu wenyewe sidhani kama huwa anaufanyia kazi.
Ili uishi Canada kwa amani hasa immigrants au people of colours you must follow or respect the culture of Canadians.

Na hii imekuwa kasumba ya waarabu kokote duniani kutaka culture zao ziheshimiwe na kufuatwa huku wakidharau za wenzao sasa Canada hakuna huo upumbavu

Waarabu ni wale watu wakujitenga wenye roho mbaya wanaojihisi wao ni kila kitu vipi umeridhika?
Nina marafiki wa kutoka Lebanon na Jordan trust me hawa watu sio waarabu wanaheshimu culture za watu wengine, religious tolerant and easy to integrate with any culture.

Huu ni utoto sasa, nyakati hizi sio sawasawa na zile za kiza huwezi kumlazimisha mtu ajiite Pele au Maradona wakati Messi na Ronado wapo na wanafanya maajabu zaidi.

Takakeisho is my favourite wrestler.
BTW next month one of my friend is coming to Yellowknife tutawasiliana
Canada nzima waru wote ni wa kuwahesabu. Si Waarabu nabwaluokuwepobtoka enzi na enzi huna ujanja wankuwaelewa kuwa ni Waarabu na lia wengi ya waliotoka Afrika na Asia huna ujanja wankuwafahamu.

Kuwa.mmoja wao si hoja. Hats wewe ungefahamu Uarabu ni nini basi ubheelewa.kuwa nawe.ni miongoni mwao japp kwa asilimia fulani. Hili nafahamu kwa uelewa wako ni gumu sana kulielewa.
 
Nabwaluokuwepobtoka= Na walikuwepo toka
Wankuwaelewa=Wa kuwaelewa
Lia wengi= Na walio wengi
Wankuwafaham= Wakuwafahamu
Hats= Hata
Ubheelewa= Ungeelewa
Kuwa= Kumbe
Japp= Japo
Gumu=Ngumu
Kulielewa=Kunielewa

Jamani hivi huko shule mlienda kujifunza ujinga.
 
Canada nzima waru wote ni wa kuwahesabu. Si Waarabu nabwaluokuwepobtoka enzi na enzi huna ujanja wankuwaelewa kuwa ni Waarabu na lia wengi ya waliotoka Afrika na Asia huna ujanja wankuwafahamu.

Kuwa.mmoja wao si hoja. Hats wewe ungefahamu Uarabu ni nini basi ubheelewa.kuwa nawe.ni miongoni mwao japp kwa asilimia fulani. Hili nafahamu kwa uelewa wako ni gumu sana kulielewa.
Achana naye huyo anajifanya mjuaji wakati hamna kitu.
Yeye anajiona ana haki ya kuishi marekani lakini warabu hawana haki hiyo.
 
Wewe ni mmoja wao?

Faiza waarabu ni wakuhesabu Calgary na Alberta kwa ujumla ubaguzi uliopo Calgary haupimiki hasa kwa mtu mweusi na hakuna anayeweza kuuzuia.
Hao waarabu wako wanafanya kazi gani Calgary?

Sijakuelewa

Sijakataa ila wamejazana kwenye baadhi ya province kama ilivyo kawaida yao.
Mayor wa Calgary bwana Naheed ni muislamu kidini lakini nashindwa kumuweka kwenye kundi la waarabu.
Hata uislamu wenyewe sidhani kama huwa anaufanyia kazi.
Ili uishi Canada kwa amani hasa immigrants au people of colours you must follow or respect the culture of Canadians.

Na hii imekuwa kasumba ya waarabu kokote duniani kutaka culture zao ziheshimiwe na kufuatwa huku wakidharau za wenzao sasa Canada hakuna huo upumbavu

Waarabu ni wale watu wakujitenga wenye roho mbaya wanaojihisi wao ni kila kitu vipi umeridhika?
Nina marafiki wa kutoka Lebanon na Jordan trust me hawa watu sio waarabu wanaheshimu culture za watu wengine, religious tolerant and easy to integrate with any culture.

Huu ni utoto sasa, nyakati hizi sio sawasawa na zile za kiza huwezi kumlazimisha mtu ajiite Pele au Maradona wakati Messi na Ronado wapo na wanafanya maajabu zaidi.

Takakeisho is my favourite wrestler.
BTW next month one of my friend is coming to Yellowknife tutawasiliana
Mkuu umenikimbia bila kuni jibu swali langu.
 
Sir naona umeandika uzi wako kinazi zaidi.
U.S.A ni sehemu ambako Canadians wanatamani sana kuishi kwa sababu ya greenest places pamoja na jua baadhi ya maeneo kama California.

Canada jua ni la kuotea, uzuri wa miji uliyoitaja ya Canada haiwezi kuifikia uliyoitaja ya U.S.A. in terms of infrastructures.

Uzuri wa Canada
Uzuri wa Canada ni uwepo wa gun violence chache, Afya bure, uvumilivu wa kiimani na elimu za degree's bei chee!

Ubaya wa Canada
1. Kodi ni kubwa hujawahi ona.
2. Baridi kali sana
3. Uwepo wa wakimbizi wengi.

4. Uwepo wa ubaguzi baina ya wenye nchi yao pamoja na wahamiaji.
Kwenye hili wanaopata sana tabu ni waarabu.
U.S.A baby
U.S.A Gun violence za kutosha huwezi kutembea hovyohovyo baadhi ya maeneo nyakati za usiku hasa maeneo yenye ghettos kama ulivyosema.
Bei ya kusoma degree's ni ghali sana, na udini wakutosha.
Umeeleza yote yaan Canada uilinganishe na USA kwa uzuri wa Miji?
 
Unaongea kama vile kuna mkristo ameshawai kuwa mkristo nchi za kiarabu,anzeni na waarabu kwanza ambao wanaua wakristu kwa kuwaita makafir badala yake mnawadisi wanaowapa misaada na hifadhi pale mnapovurugana
Udini wao umefichwa moyoni sio rahisi kuona

Kama unadhani haupo subiria siku muislam agombee uwaziri mkuu

Never haitikoea sababu ukristo ndio utamaduni

Ukiona muislam kashika nyadhifa fulani basi jua wamempa hio katika kuwavutia tu Wala sio kivile

Ni rahisi mtu mweusi kuwa waziri mkuu uingereza ila sio muislam kuwa waziri mkuu
 
Hao waislamu sio watu wa kutetea hata kidogo wakigombana ukaenda kuwasuluhisha wanaungana kukupiga kisha wanaendelea na ugomvi ref US in Somalia 90's ndio maana wazungu hawawezi kuwapa nchi maana huwa wanafanya mambo kimihemko wala hawaangalii uhalisia
Shida ya waislamu wana visasi na kuchukiana. Ukitaka kumpiga Saudia sahivi unapata waislamu wa kukuunga mkono. Ukitaka kumpiga Iran unawapata waislamu wanakusaidia. Ukitaka kumpiga Turkey,Yemen,Irak,Egypt bado utapata waislamu wakupongeze. Sasa fanya kinyume toka uende kuipiga Ukraine,Austria,Honduras au Venezuela. Watakaounga mkono hawana motive za kidini watakuwa na za kisiasa na kiuchumi. Kwa hali hii waislamu wataendelea kukimbilia msaada wa makafiri endapo wakipata majanga
 
Achana naye huyo anajifanya mjuaji wakati hamna kitu.
Yeye anajiona ana haki ya kuishi marekani lakini warabu hawana haki hiyo.
Waarabu waende kwao huko Saudia,Syria,Iraq,Libya.
 
Canada nzima waru wote ni wa kuwahesabu. Si Waarabu nabwaluokuwepobtoka enzi na enzi huna ujanja wankuwaelewa kuwa ni Waarabu na lia wengi ya waliotoka Afrika na Asia huna ujanja wankuwafahamu.

Kuwa.mmoja wao si hoja. Hats wewe ungefahamu Uarabu ni nini basi ubheelewa.kuwa nawe.ni miongoni mwao japp kwa asilimia fulani. Hili nafahamu kwa uelewa wako ni gumu sana kulielewa.
Naona hapa ulikua unaandika huku Jisimi likichezewa chezewa.
 
Ni ukweli usiofichika, kwenye developed countries marekani inaongoza kwa kua na miji mibaya, poor public transport, kama huna gari utapata shida sana, na homeless kibao, yaani wanalala barabarani kila kona kuliko hata homeless wa bongo. Ukipita downtown kuna mitaa inanuka homeless wamejikusanya kama 30 hivi na matambara yao wanakojoa hapohapo, marekani kuna streets zinakera kwa kweli.
Yani kwa ujumla america no shit hole
 
Nimekimbia ili kuepusha gasia Sir RTI hauna uvumilivu napowasema waarabu
Sio sina uvumilivu nilicho kuuliza ni kwanini wewe unajiona una haki ya kukaribishwa kwenye mataifa ya watu, lakini wanapo karibishwa waarabu unasikia vibaya ?
Hujioni ulivyo mbinafisi?
 
Sijisikii vibaya waarabu wanapokaribishwa nchi za watu wengine kwani mimi ni mmoja wa aina ya watu wanaokumbana na ubaguzi kuliko binadamu yeyote yule (mtu mweusi)

Kwanini nawasema Waarabu?
Waarabu wengi huwa na tabia ya kuja kuleta tamaduni zao na watatumia kila njia ili wafanikiwe hapa sizungumzii wa Jordan na Lebanon.
Mfano Muarabu akiwa mkimbizi Vancouver na kwa bahati nzuri akapata permanent residence basi atataka aheshimiwe yeye, dini yake pamoja na utamaduni wake wakati yeye akidharau wengine kidini, kitamaduni na hata kirangi.

Toronto wapo waarabu wanaishi kwenye suburbs sanasana wanaendeleza tamaduni zao wanaowana wao kwa wao hadi imekuwa tatizo kwa wengi wao kufahamu kiingereza ama kifaransa kutokana na kutojichanganya kwao.

Canadians wako radhi kupokea wahindi kila kukicha na sio waarabu sisi watu weusi ni minority sana Canada hasa maeneo anakosema anaishi Bibi Faiza Calgary aisee utajihisi mpweke.
Wahindi wako too fast kuendana na tamaduni zingine na wala hawana mambo ya udini.

Muarabu anasemwa vibaya hata na WaTz wanaoenda Arabuni huko.
Ulishawahi kujiuliza kwanini hawahamii Qatar au Saudia?
Kuendeleza tamaduni zako pale unapo hamia kwenye jamii nyingine sio kosa ,kosa ni kudharau tamaduni za wenyeji wako, inatakiwa uheshimu tamaduni zako na za wale uliowakuta.
Suala la kuoana wao kwa wao sioni tatizo,ngoja ni kuulize swali na ninaomba unijibu.
Kwa hiyo ukihamia nchi nyingine unatakiwa ubadilishe dini ,na uhamie kwenye dini inayo aminiwa na wenyeji basi usipo fuata dini ya wenyeji umewadharau?
Je ukihamia kwenye nchi nyingine ni lazima uowe au uwolewe na wenyeji na mkioana nyinyi kwa nyinyi mna kuwa mmejitenga na wenyeji wenu?
Au mfano mimi nikihamia marekani inabidi niache kula ugali ili kuendana na jamii ya wamarekani?
Ninaomba majibu.
 
Ujamuelewa na unafanya maksudi, hajasema wabadilike amesema warabu hawaheshimu tamaduni za wengine na ni kweli
 
Mbona wazungu wanazirazimisha nchi nyingine kufuata tamaduni zao mfano ushoga?hilo hulioni ?
 
Canada nzima waru wote ni wa kuwahesabu. Si Waarabu nabwaluokuwepobtoka enzi na enzi huna ujanja wankuwaelewa kuwa ni Waarabu na lia wengi ya waliotoka Afrika na Asia huna ujanja wankuwafahamu.

Kuwa.mmoja wao si hoja. Hats wewe ungefahamu Uarabu ni nini basi ubheelewa.kuwa nawe.ni miongoni mwao japp kwa asilimia fulani. Hili nafahamu kwa uelewa wako ni gumu sana kulielewa.
waru[emoji777]
nabwaluokuwepobtoka[emoji777]
wankuwaelewa[emoji777]

Bibie punguza mihemko uandike vizuri tukuelewe

Huko shuleni mlienda kusomea ujinga...
 
Back
Top Bottom