Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,486
- 2,634
......acha uandishi wa kishoga humu;Mamaee!
Unanichokoza cyo.
Fanya yako.
Kitu hujapenda pita kule.
Wasukuma bhana.
.nukta!
......acha uandishi wa kishoga humu;Mamaee!
Unanichokoza cyo.
Fanya yako.
Kitu hujapenda pita kule.
Wasukuma bhana.
Fanya yako ww.......acha uandishi wa kishoga humu;
.nukta!
mimi ni mwenyeji wa Arusha ila kila mwisho wa wiki nipo dodoma ....ila ukweli usemwe jamani dodoma iko well planned..nikilinganisha na sehemu nilizopita pita dar wakati nasoma bado naona mpangilio ya abuja/dodoma imetuliaKweli mkuu,Viwanja vingi vimepimwa.si kama arusha.
Siyo umechokozwa ule uandishi siyo mkuu.Mamaee!
Unanichokoza cyo.
Fanya yako.
Kitu hujapenda pita kule.
Wasukuma bhana.
Kweli idodomia ipo vzrmimi ni mwenyeji wa Arusha ila kila mwisho wa wiki nipo dodoma ....ila ukweli usemwe jamani dodoma iko well planned..nikilinganisha na sehemu nilizopita pita dar wakati nasoma bado naona mpangilio ya abuja/dodoma imetulia
Mamaee!
Unanichokoza cyo.
Fanya yako.
Kitu hujapenda pita kule.
Wasukuma bhana.
Ilikuwa 'typing error'br..Acha ujinga, umekosea "tyu" ni tu, usikosee siku ingine
Wadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
Mleta post naye kaleta utaniTuwe serious na majibu siyo kutaja tu kama utani vile
Jifunze kujibu hoja mkuu....Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?
Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.
Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa
Unaumwa hakyanani![emoji31]Mabwepande, Bunju.
Umenena vyema mkuu!Musoma umepangiliwa vizuri sana, japo si mji mkuubwa kihivyo, karibu kila nyumba inaangalia barabarani.
Katika Musoma nzima ni eneo moja tu la Nyakato ndio kuko vibaya, lakini pia hiyo Nyakato nimepita juzi kati nimekuta upangaji umeanza na barabara zimepitishwa vizuri kabisa.
Binafsi Musoma naona ndipo pamepangiliwa vizuri kuliko mji wowote Tanzania, tatizo hakuna mzunguko wa pesa na masikini ni wengi.
Lagos, ukiwa angani kwenye ndege labla hujatua, ukiangalia chini kuna utitiri wa vijumba kama tandale, bati zimechokaa.Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?
Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.
Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa
Pia, barabara zao ni ndogo mno na zinamsongamano mkubwa wa magari.Lagos, ukiwa angani kwenye ndege labla hujatua, ukiangalia chini kuna utitiri wa vijumba kama tandale, bati zimechokaa.
Well, nilipo zunguka mitaa mingine, nilikuta nyumba ziko kwwnye line though sio kiviile
Acha porojo nenda Moshi, Musoma au Nenda Dodoma sasa hivi uone mji ulivyopangwa.Kuna usemi wa kiswahil kipofu kaona mwezi ...then akarudi kuwa kipofu tena...kwahiyo kila kitu akisikia hufananisha na mwezi sababu ndio aliona
Eti miji ya Tz ilipangika vizur !! Ukwel hakuna mji wowote Tz umepangwa vizuri hakuna ....kunavisehem vidogo kila mji ndio utaona kumepangwa vizur tena ni mkoloni ndio aliye weka mipango hiyo sio hawa wavimba tumbo wanaojiita wasomi
Kama Dar asee ni kichefuchefu kwa kweli mtanisamehe ..nenda Dar town au kkoo utaona vichekesho utakuta gorofa moja limetokeza mbele lingin lipo nyuma zaid ilimradi mauzauza tu.
Toa Mwanza hapo!. Mwanza ni sawa na D'salaam tu!Mimi naona hivi
Tanga
Dodoma
Iringa
Lindi
Moshi
Njombe
Arusha
Mwanza
Bukoba
Musoma
Mtwara
Morogoro
Tabora
Babati