Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?

Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.

Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa

Bro Lagos hiyo imepangiliwa
 

Attachments

  • Lagos-MAIN-PHOTO.jpg
    Lagos-MAIN-PHOTO.jpg
    166.2 KB · Views: 321
Tanga hakuna mtaa ambao huwezi kupita na Gari, tena barabara zake za mitaa ni kubwa sana Magari yanapishana bila shida yoyote.
 
Kama Nairobi haijapangiliwa vzr sasa tz ndo tutaweza
 
Wadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;

1. Tanga city

2. Musoma Town

Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
MOROGORO
 
Tanga ni mkoa uliopangiliwa vizuri na wakoloni, kuna mtaalamu mmoja alisema Mkoa wa Tanga kwajinsi ulivyopangiliwa basi hauwezi hata siku moja kukatokea Jam(foleni barabarani) hata watu wawe wengi kiasi gani...
 
Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?

Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.

Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa
Mleta mada anaongelea tanzania wewe unatupeleka naigeria,rudi bongo jibu swali
 
Hakuna mji wowote uliopangwa vizuri katika nchi hii.Rushwa imesababisha ujenzi holela ktk miji yetu.Sioni hata sababu ya hao maafisa mipango miji kuwepo.
 
Imepangwa kihadithi? weka Picha huwa mnaleta Mada bila kujipanga huu ni usumbufu... Miji kupangwa hukadiliwa hadi na idadi ya watu wa wakati huo na ujao huna research yeyote zaidi ya kujaza server tu... sometimes mtu unafungua thread kana kwamba utaelimika unakuta ni uozo tu mleta mada anachomeka tu vimaneno as if anajua kila kitu...NDIO MAMBO YA AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA

Mkuu umeandika sana ila hakuna tija, au ndo akili ndogo kujibu akiki kubwa
 
Back
Top Bottom