Mmmm!Vwawa
MtwaraWadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
Shinyanga TownWadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
mkuu hapa tunaangalia mpangilio wa mji kama mitaa ilivyowekwa au hadi ratio ya huduma za kijamii katika mji husikaWadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
Kweli mkuu,Viwanja vingi vimepimwa.si kama arusha.Mtwara umepangiliwa vizuri sana.. kila inakoangalia nyumba kuna barabara.. Hakuna mpangilio holela kwa maeneo mengi..
Mkuu unaweza kudhibitisha hii au ni mihemko ya malove?Wale watu wa C.D.A wamefanya vizur sana Dodoma kwa kuipangilia ..niseme hakuna mji utaoku aumepangiliwa zaid ya dodoma.. hakuta kuwa na foleni hata aiweje
Wadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.