Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

Kwa aliyefika babati atakuwa amenielewa the city well planned and organized jamaa wamejitahidi sana. Niliujua huu mji baada ya binti wa kiiraq kunialika [emoji23][emoji23][emoji6]
 
Kuna usemi wa kiswahil kipofu kaona mwezi ...then akarudi kuwa kipofu tena...kwahiyo kila kitu akisikia hufananisha na mwezi sababu ndio aliona

Eti miji ya Tz ilipangika vizur !! Ukwel hakuna mji wowote Tz umepangwa vizuri hakuna ....kunavisehem vidogo kila mji ndio utaona kumepangwa vizur tena ni mkoloni ndio aliye weka mipango hiyo sio hawa wavimba tumbo wanaojiita wasomi

Kama Dar asee ni kichefuchefu kwa kweli mtanisamehe ..nenda Dar town au kkoo utaona vichekesho utakuta gorofa moja limetokeza mbele lingin lipo nyuma zaid ilimradi mauzauza tu.
 
Mimi naona hivi

Tanga
Dodoma
Iringa
Lindi
Moshi
Njombe
Arusha
Mwanza
Bukoba
Musoma
Mtwara
Morogoro
Tabora
Babati
 
At least Tanga city na haswaa centre
Well organized options nyingi kutoka kona moja mpk nyingine..
 
Back
Top Bottom