Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,431
3,706
Wadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;

1. Tanga city

2. Musoma Town

Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
 
Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?

Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.

Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa
 
Pamoja na hivyo vichochoro ni miongoni mwa mji uliopangiliwa vizuri Tanzania, kumbuka mleta mada kasema Tanzania.. Sasa hebu weka list ya miji iliyopangiliwa vizuri Tanzania Tanga kando.
 
Sasa mkuu Tanga kumepangiliwa nini? Au majina ya vile vichochoro vya mjini vinakuchanganya?

Kwa Tanzania hakuna mji uliopangiliwa vizuri maana watu wa mipango miji huja baada ya watu kujenga kiholela.

Nenda Abuja na Lagos Nigeria ndiyo utajua maana ya mji kupangiliwa
Mkuu mi naongelea nchi yetu tz.
 
Mkuu mi naongelea nchi yetu tz.

Nimekuelewa vizuri mkuu. Najaribu kutafsiri neno kupangiliwa half nkiangalia na hapa kwetu naona still bado.

Labda niseme sehemu kama Masaki,Kinyerezi na Mbweni kidogo vinaeleweka. Ila hii Si miji Japo inaleta maana kidogo ya mpangilio.
 
Wekeni list ya miji mitano hapa tz unayoona imepangiliwa vizuri ukilinganisha na miji mingine
 
Imepangwa kihadithi? weka Picha huwa mnaleta Mada bila kujipanga huu ni usumbufu... Miji kupangwa hukadiliwa hadi na idadi ya watu wa wakati huo na ujao huna research yeyote zaidi ya kujaza server tu... sometimes mtu unafungua thread kana kwamba utaelimika unakuta ni uozo tu mleta mada anachomeka tu vimaneno as if anajua kila kitu...NDIO MAMBO YA AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA
 
Back
Top Bottom