Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,763
- 20,030
Nanjilinji
hapo kwenye bold umedanganya mkuu..ndachi juu watu wamevamia tuu lile eneo bado halijapimwa..sasa unasemaje swaswa ,nzuguni na ntyuka hayajapangwa wakati ni makao mapya ,kitu ambacho hakiwezekani kabisaa. labda ungenambia hapo mailimbili na gwasa tena ni huko mwanzoni tuu huku extension hujafika auHalafu ukitoka huko nenda chang'ombe,mailimbili,kikuyu,chadulu,swaswa,nzuguni,ntyuka,mjimwema,itega ya mji mwema,ndachi juu,kwa mwatano,chipondwa,mpamaa UONE JINSI ENEO KUBWA LA MJI AMBAVYO HALIJAPANGWA!
Dodoma inaongozaWadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio miji hii hapa chini;
1. Tanga city
2. Musoma Town
Karibu kwa nyongeza au kutujuza zaidi.
Mkuu,TABORA Ni kiboko maana huwezi ona foreni hata siku moja yaani barabara nyingi mpaka raha.
Yap-Mkuu.Tanga hakuna mtaa ambao huwezi kupita na Gari, tena barabara zake za mitaa ni kubwa sana Magari yanapishana bila shida yoyote.
Kweli kabisa kwani Tanga umejengwa kama Glasgow kwa mitaa imepangwa horizontal na vertical pia kuna Urambo kama sikosei ni mipango miji ya wakoloniTanga ni mkoa uliopangiliwa vizuri na wakoloni, kuna mtaalamu mmoja alisema Mkoa wa Tanga kwajinsi ulivyopangiliwa basi hauwezi hata siku moja kukatokea Jam(foleni barabarani) hata watu wawe wengi kiasi gani...
Nanjilinji
Hilo halina ubishi, na ndomana Tanga hakujawahi kuwa na Jam hata kukitokea msafara wa malaikaKweli kabisa kwani Tanga umejengwa kama Glasgow kwa mitaa imepangwa horizontal na vertical pia kuna Urambo kama sikosei ni mipango miji ya wakoloni
Mimi ni dawa ya kutuliza maumivu...Unaumwa hakyanani![emoji31]
Mkuu UVAMIZI WA ARDHI UMETOKANA NA KUPANGWA AU KUTOPANGWA NA KUPIMWA KWA ARDHI?Swaswa ipi iliyopangwa?au itega ya nkuhungu na mji mwema imepangwa na nani nzuguni je ilhal imevamiwa na kuna viskwata vya hatari we umeona chang'ombe extension na nkuhungu tu?SEHEMU KUBWA YA MJI HAUJAPANGWA NA KUPIMWAhapo kwenye bold umedanganya mkuu..ndachi juu watu wamevamia tuu lile eneo bado halijapimwa..sasa unasemaje swaswa ,nzuguni na ntyuka hayajapangwa wakati ni makao mapya ,kitu ambacho hakiwezekani kabisaa. labda ungenambia hapo mailimbili na gwasa tena ni huko mwanzoni tuu huku extension hujafika au
MAKAO MAPYA YA VISKWATA?hapo kwenye bold umedanganya mkuu..ndachi juu watu wamevamia tuu lile eneo bado halijapimwa..sasa unasemaje swaswa ,nzuguni na ntyuka hayajapangwa wakati ni makao mapya ,kitu ambacho hakiwezekani kabisaa. labda ungenambia hapo mailimbili na gwasa tena ni huko mwanzoni tuu huku extension hujafika au