masikini tajiri
Member
- Jul 10, 2019
- 18
- 7
Wachana na upumbavu huo uza hata uji was mchele utakulipa kuliko.ujinga wa network ing utalia
Kuna jamaa yangu anataka aje dsm maisha ya kijijini yamemshinda kuhusu kulima anataka aendelee na mchakato wa kuanza life hapa dsm..mfukoni ana 1.5M,mahala pa kufikia anapo ni chanika...ila ndio mara ya kwanza km akija dsm maana amezaliwa kijijini,amesomea huko na kukulia...ushauri anaweza fanya kitu gani..kwa mimi nilifikiria uwakala wa huduma za kifedha ila changamoto kwa sababu ya ugeni wake matapeli wanaweza kumpiga mapema sana...naomba mawazo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa kwanza Fungu la kumi ndio upangie zako biashara ila kuhusu Biashara Muulize MunguHabar ndugu zangu. Nakuja kwenu kuomba ushauri wa wazo la biashara.
Binafsi nimejichangachanga kupitia shughuli zangu za kila siku na nimefanikiwa kupata kama laki 4 (400,000) ivi sasa nafikiria niifanyie kazi gani kabla shida haijaja nikaitumia ikaisha.
Napendelea wazo ambalo halitaathir shughuli zangu za kila siku ambazo zimeniwezesha kupata haka kaakiba.
Napatkana Moro town, hili linaweza kukusaidia mshauri wangu.
Karibuni
Kuhusu huduma za fedha sishauri sana,zinataka umjini mwingi. Ila to be honest,yeye aainishe mawazo yake kwanza,kwani biashara ni Imani na hobby. Aseme baadhi ya vitu anavyovipenda,japo atapata mtihani kidogo kutokana na ugeni wake hapa mjiniKuna jamaa yangu anataka aje dsm maisha ya kijijini yamemshinda kuhusu kulima anataka aendelee na mchakato wa kuanza life hapa dsm..mfukoni ana 1.5M,mahala pa kufikia anapo ni chanika...ila ndio mara ya kwanza km akija dsm maana amezaliwa kijijini,amesomea huko na kukulia...ushauri anaweza fanya kitu gani..kwa mimi nilifikiria uwakala wa huduma za kifedha ila changamoto kwa sababu ya ugeni wake matapeli wanaweza kumpiga mapema sana...naomba mawazo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
We msomi wa baadae,mambo vipi? Cha kufanya kianzie kwako kutokana eneo ulilopo. Ujasiriamali ni kucheza na fursa za eneo ulilopo. Nini hobby yako? Tuambie kwanza kilichopo moyoni mwakoHabari za muda huu wadau,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo nipo Singida. Kwa mtaji wa 500,000/= naweza nikafanya biashara gani ili niweze kutengeneza kipato cha ziada?
Nawasilisha mada kwenu.
Hana biashara anayowazia kwa kua amekulia kijijini na hata hiyo pesa ameipata kwa kupiga jembe ambalo kwa sasa limemchosha anaona hapati maendeleo ndio maana anataka kuja mjiniKuhusu huduma za fedha sishauri sana,zinataka umjini mwingi. Ila to be honest,yeye aainishe mawazo yake kwanza,kwani biashara ni Imani na hobby. Aseme baadhi ya vitu anavyovipenda,japo atapata mtihani kidogo kutokana na ugeni wake hapa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina shilingi laki nne nianzishe biashara gani ya kuniingizia hata elfu saba kwa sikuNina Tsh Laki 3 nianzishe biashara gani nitakayoimudu kuiendeleza.?View attachment 1352878
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hukujuaKumbe hili jukwaa limejaa maarifa hivi.