BISHANGA AM
Member
- Jan 7, 2014
- 12
- 6
Jamani habari za humu ndani...Kumbe hukujua
Naomba msaada wa kujua bei ya ufuta na makampuni makubwa yanayonunua ufuta kwa bei nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani habari za humu ndani...Kumbe hukujua
Habarini za jioni wapendwa
Naitwa israel lazaro laizer
Wapendwa nimepoteza kitambulisho changu cha taifa jana 22/4/2020
Ninaomba kwa alie ona naomba anirudishie au awasiliane moja kwa moja na mimi. Kupitia namba izi 06228232364 au 0759308592 au 0682960045 nilipoteza hapa gongo la mboto naombeni share tangazo hili liwafikie wengi zaidi atakae iona atapata zawaidi Mungu awabariki tuendeleee kijikinga na janga la corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo India kama utahitaji kitu chochote kama pochi,saa,Abaya(dishdash)VIATU,mashuka madhuria,mapazia mabui bui vyombo vya electronic makeup nakununulia Kwa bei ya jumla kabisa unanilipa usafiri tuNina shilingi laki nne nianzishe biashara gani ya kuniingizia hata elfu saba kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna rafiki anatengeneza na kuuza tafadhar kama uko seriousy ni inbox no ako uwasiliane naeHabari zenu wapendwa Kama kuna mtu anjua namna ya kutengeneza rangi za nyumba tuwasiliane ni serious issue
Habari wakaunjombe ulifanikisha kuhusu swala la biashara au bado? Kuna biashara ya natural herbal seeds hizi seeds zinapatikana India Kwa wingi wakulima wanauza 100gm 200000 halaf wewe unauza kwenye kampuni (pharmacy company based California) wao wananunua 100gm 500000_1000000 wao wanatengezea dawa za cancer,B.P pressure nk kazi yako ni kununua na kusuply kwao kila mwezi wanahitaji 100_500 sachet(pakti)za 100gram kama utakua interested ni pmNawasalimu ndugu wana JF
Mimi ni mwajiriwa katika kampuni moja hivi hapa Tanzania. Nilikuwa na plan ya kufanya kazi kwa muda wa miaka mi 3 then niwe na maisha yangu. But nikajikuta mpaka sasa mwaka wa nne bado nipo job, inaniuma sana na sipendi.
Miminapenda sana kusafiri safiri yaani nisiwe mtu wa kutulia sehemu moja kwa muda mrefu. Sasa nina milioni 20, je naweza fanya bishara gani ili niachane na hii ajira?
Wazo langu nifungue kampuni ya biashara ya mazao ya Nafaka. Niwe nafuata mazao vijijini na kuuza mjini. Na soko langu la kwanza nimepanga iwe Tanga mjini. Ila sijui taratibu za kufuata mpaka uweze safirisha Nafaka.
Naombeni ushauri wenu pia kama kuna bisahara nyingine naomba mnishauri.
Natanguliza shukrani
Mawasiliano yao pia yatahitaji vocha ambayo ni vocha!
Yatahitaji nauli ambayo ni pesa!
Njoo pm mzee unipe madini tafadhali
Ukitaka kula sharti na wewe uliwe.Mawasiliano yao pia yatahitaji vocha ambayo ni vocha!
Yatahitaji nauli ambayo ni pesa!