Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Ninahitaji kuanzisha biashara ya saluni ya kina Dada .shida yangu ni wapi naweza pata vifaa vizuri na bei zaketafadhari
 
Karibuni sana ,kwa mawasiliano 0653973807
20230808_114557.jpg
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.

Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na kupunguza idadi ya mada zilizo sticky kwenye ukurasa wa kwanza.

Pia kama una mada uliipenda na ungependa wengine wawe wanakutana nayo kirahisi waweza comment kwenye thread hii nami nitaiweka.

Shukrani.

========

MAWAZO YA BIASHARA(BUSINESS IDEAS)

Business ideas (Bure)

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?

Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

MAJADILIANO: Fursa za kibiashara

MICHANGANUO YA BIASHARA

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Biashara ya Bakery: Mbinu, ushauri na changamoto zake

Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Tigo pesa, Mpesa na mitandao mingine

Biashara ya kuuza genge

Biashara ya chips na changamoto zake

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Kwa uzalishaji, masoko ya biashara za madini njoo hapa uliza chochote

Biashara ya Samaki Wabichi

Biashara ya kununua na kuuza mazao (nafaka)

Kuanzisha Radio Station: Gharama halisi za Kuanzisha Radio kwa TZ.

China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Msaada: Mtaji wa kiasi cha chini kuanzisha biashara ya mbao

Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Faida za Biashara za Dagaa

Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

UCHUMI

Lijue soko la HISA

Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds)

Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

Project funding sources
Sema mada za biashara za ufugaji ziwekwe jukwaa la ufugaji, biashara za kilimo ziwekwe jukwaa la kilimo.

Biashara zinagawanyika katika sekta nyingi zipangwe kutokana na sekta.

Mfano lugha inayotumika kumuuzia gari mkulima ni tofauti na lugha inayotumika kumuuzia gari afisa wa benki.
 
Natafuta kuwezeshwa $5000/- takribani tsh milioni 12/-ili niweze kumfikia investor kwa round table nchi ya Canada Kisha anipatie mtaji tuliokubaliana kuwekeza katika Enterprise yangu,naomba mdau aliye tayari njoo whatsapp +255755846814 tuyajenge
 
Wadau, habari za asubuhi.naomba msaada wa chimbo zuri kupata vitu vya jumla kwa bei nzuri na Mimi niuze kwa jumla mtaani kwenye bidhaa kama mafuta ya kula, chumvi, sukari na sabuni na vitu vyote vinavyouzwa kwenye maduka ya rejareja Ili mimi niwauzie kwa jumla.nashukuru kwa ushauri mtakaonipa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom