Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

Hawa wote Wana asili ya uzungu uzungu, Kila mmoja alitengeneza hits nyingi, Ila pfunk alikuwa akisaidiwa na bizman kwa Sana , Sasa he Nani Alikuwa Mkali zaidi, nimesahau track nyingine lakini hizi ni baadhi

Miika Mwamba
1.Mabinti wa Kitanga - misosi
2.Twenzetu - chegge
3.Wanok nok - mandojo
4. Fagio la chuma
5. Elimu mitaani D knob
6. Wange
7. Kikongwe.
8. Pia sebene kibao

Majani
1. Nikusaidieje
2. Zali la Mentali
3. Namba 8 Daz baba
4. Pamba nyepesi inspector
5.nitoke vipi misosi
6. Chagua moja
7. Kibanda Cha simu
8. Wife
9. Mikasi
Embu tajeni ngoma zao nyingine, Ila naona Kama majani anashindwa, Ila Mika Mwamba alikuwa hatari
Nyambizi
Barua
Salome

Kazi za MIKA
 
MIIKA MWAMBA tracks alizotengeneza 1.Salome-DULLY SYKES 2.Historia ya kweli-DULLY SYKES 3.Kosa la marehemu-USWAHILINI MATOLA 4.Mtoto wa geti kali-INSPEKTA HAROUN 5.Elimu mitaani.com 6.Enomic-ZIGGY D ft. FATMA 7.Tamara-HARD MAD 8.Mdundiko-MAMBO JAMBO 9.Machozi-LADY JAYDEE na zingine nitaupdate baadae

P FUNK katengeneza hizi
1.Anakuja-SISTA P 2.Nakupenda-Mike T ft. JUMA NATURE 3.Nitoke vipi -BWANA MISOSI 4.Nini mnataka mazee-PIG BLACK 5.Albamu yote ya WACHUJA NAFAKA 5.Albamu yote ya NGWAIR ya a.k.a. Mimi 6.Albam za AFANDE SELE 7.Sema-Naazili na mwenzie mdundiko fulani hivi 8.Nyimbo za DOGGY FOGGY ANTER kama Kulwa na Doto, Kibanda cha simu, 9.Nyimbo zote za SOLO THANG 10. Album ya JAY MO ya Misosi Mitungi na Pamba yenye nyimbo za Maisha ya boarding, Majukumu, Mvua na jua, ule wa kusifia wasichana uliogongana na wa FA wa Mabinti 11.Nyimbo za LWP(Live with Purpose) - Majitu 12.Kamua baba-TMK original 13.Nyumbani ni nyumbani - TMK 14.AY tracks kama Machoni kama watu 15.WATEULE tracks kama watu kibao, 16.Nampa nachotaka - BANANA & JAFARYHMES Zipo nyingi mno
 
Tatizo la Mika Mwamba alikuwa anakaa ulaya, anaweza akaja bongo akakaa miezi sita akapiga ngoma zake akasepa Tena ulaya alikuwa hakai. Wasanii wengi walimpenda so ilikuwa no timing akija tu watakaompata ndo hao watarikodi nae
 
Dah, Prof Ludigo! Alifanyaga ile mpiga debe chorus yupo QChief....., kupiga debeeee kwangu ilikua poaa! Fani ktk maishaa ikaja kuniokoa!
Jamaa walitoa mpaka na filamu, hivi yule jamaa yupo wapi siku hizi, kwasababu ninadhani ni wimbo huo mmoja tu alitoa kisha akapotea.,
 
Hawa wote Wana asili ya uzungu uzungu, Kila mmoja alitengeneza hits nyingi, Ila pfunk alikuwa akisaidiwa na bizman kwa Sana , Sasa he Nani Alikuwa Mkali zaidi, nimesahau track nyingine lakini hizi ni baadhi

Miika Mwamba
1.Mabinti wa Kitanga - misosi
2.Twenzetu - chegge
3.Wanok nok - mandojo
4. Fagio la chuma
5. Elimu mitaani D knob
6. Wange
7. Kikongwe.
8. Pia sebene kibao

Majani
1. Nikusaidieje
2. Zali la Mentali
3. Namba 8 Daz baba
4. Pamba nyepesi inspector
5.nitoke vipi misosi
6. Chagua moja
7. Kibanda Cha simu
8. Wife
9. Mikasi
Embu tajeni ngoma zao nyingine, Ila naona Kama majani anashindwa, Ila Mika Mwamba alikuwa hatari
Majani ni G.O.A.T.
Over.
 
Nilishawahi kumsikia Master J akiutaja huu wimbo kuwa ni kati ya nyimbo kali sana kutoka kwa majani amabayo anakili ilimfanya akune kichwa zaidi nayeye.
Version OG ni ya Profesa Ludigo. Majani akaja kuua kwenye remix.
 
Majani alifanya vema sana kiukweli, ana midundo mingi sana iliyotoa hit song zaidi ya Mika Mwamba, ila kwa upande wangu Mika Mwamba alikuwa bora na sababu kubwa kwangu ni kwamba jamaa alikuwa anatayarisha midundo ya kizazi kipya pamoja na dance, na kote alifanya vizuri. Majani sijui kama alishawahi kutengeneza beat tofauti na za Bongo Flava mtanikumbusha.
 
Kwakweli she got gwan ni kati ya beat zangu bora kutoka kwa majani, ila lile beat hakulitengeneza yeye bali alilitengenza soggy na mzungu kichaa majani akamleta sijui jamaa gani kuweka keyboard. Na wakati wananza kulitengeneza hakuwa studio alilikuta likiwa tayari.
Soggy alikuwa ana idea nzuri za beat hata beat zake zilikuwa za kipekee.

Kuna beat moja ya nini mnataka mazee mle ndani majani aliua, halafu kuna beat ya down town records ya wimbo kaimba p 1 black ni kali balaaa jina siujui.
Ila kuna lyrics kama
Nisikize me
....
Watoto wadogo hawanisomi
....
Narepresent me...


Verse ya kwanza anaanza sijui smahani samahani nyingi sana. Nautafuta sana huu wimbo
Tanzania wote taifa la Bongo
 
Biti la Barua na Kamanda Daz Nundaz ni Miika.

Ila nikikumbuka She Got Gwan na Mikasi, hapana P Funk mnyama.
 
Biti la Barua na Kamanda Daz Nundaz ni Miika.

Ila nikikumbuka She Got Gwan na Mikasi, hapana P Funk mnyama.
Beat za Mikasi, She got gwan, Nikusaidiaje na Nini mnataka wa Pig black, hizi beat zimesimamia sana.
Hivi ni nani aliyetengeneza beat ya Nipe Tano ya Daz Nundaz? Hii beat na yenyewe ni shida kubwa.
 
Back
Top Bottom