Miika Mwamba vs. Pfunk Majani: Nani alikuwa na biti kali?

Majani alifanya vema sana kiukweli, ana midundo mingi sana iliyotoa hit song zaidi ya Mika Mwamba, ila kwa upande wangu Mika Mwamba alikuwa bora na sababu kubwa kwangu ni kwamba jamaa alikuwa anatayarisha midundo ya kizazi kipya pamoja na dance, na kote alifanya vizuri. Majani sijui kama alishawahi kutengeneza beat tofauti na za Bongo Flava mtanikumbusha.
Kuna ngoma afande sele ameimba(,hajarap) kwenye albamu yake ya mkuki moyoni,
Kwenye chorus anasema,
Nasikitika kunitosa bila kosa mamaaa, ingawa wazi natambua kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

Biti ya hii ngoma alifanya majani, ina design flani hivi ya peke yake.

Au lile goma la maralia aliloimba afande sele. Majani alikuwa fundi asee
 
Kuna ngoma afande sele ameimba(,hajarap) kwenye albamu yake ya mkuki moyoni,
Kwenye chorus anasema,
Nasikitika kunitosa bila kosa mamaaa, ingawa wazi natambua kila lenye mwanzo halikosi mwisho.

Biti ya hii ngoma alifanya majani, ina design flani hivi ya peke yake.

Au lile goma la maralia aliloimba afande sele. Majani alikuwa fundi asee
Aisee baba Paula alikuwa fundi!
Hapo ndio utajua ubunifu huwa unafikaga mwisho.

Imagine wasanii kama kina Ferooz, Mb dogg na Daz Baba eti leo hawawezi kutengeneza hits!!!
 
Majani hakuna wa kumfananisha naye hapa bongo...

Mi nilikuwa nashangaa sana waliokuwa wanamcompare na Mj...

Majani ana beat classic sana...

Ebu pata muda sikiliza hizi

Ratiba zetu_Snaa lee

Birthday ya HK

Party Flan ya Geez

Wacha party ianze ya Snaa Lee pia..
 
P na washkaji kibao wa bongo record yiiiii! (weekend ngwea)


Ila tuache utani kiukweli baba Paula alikuwa na midundo heavy
 
Kwakweli she got gwan ni kati ya beat zangu bora kutoka kwa majani, ila lile beat hakulitengeneza yeye bali alilitengenza soggy na mzungu kichaa majani akamleta sijui jamaa gani kuweka keyboard. Na wakati wananza kulitengeneza hakuwa studio alilikuta likiwa tayari.
Soggy alikuwa ana idea nzuri za beat hata beat zake zilikuwa za kipekee.

Kuna beat moja ya nini mnataka mazee mle ndani majani aliua, halafu kuna beat ya down town records ya wimbo kaimba p 1 black ni kali balaaa jina siujui.
Ila kuna lyrics kama
Nisikize me
....
Watoto wadogo hawanisomi
....
Narepresent me...


Verse ya kwanza anaanza sijui smahani samahani nyingi sana. Nautafuta sana huu wimbo
Vipi ile biti ya Bongo ya TNG..

Bongooo! Bongo.com
 
Kasikilize gheto gheto ya juma nature halaf urud tena hapa! P. Alitisha sana
Hahaaaa!

Na kuna biti ya "Ndiyo zetu"

Wazee wa kazi ndiyo zetuu!

Na Shiiibe Shibe haina be!

Hii biti nayo nikiisikiliza naipigia saluti.
 
P funk majani kinywele kimoja.

Nakupenda mike t.
Kama unataka demu jay mo.
Wanapendana
Sitaki demu
Kazi yake mola madee.
Nikupe nini mandojo na domo kaya.
Hebu nicheki o ten.
Niko bize jafarai.
Jirushe feruzi.
Bosi feruzi
Promota anabipu prof j
Usinichukie afande sele
Wife daz baba.

Hizi ni baadhi tu.

Hakuna prodyuza kama P Funk hapa tz
 
P funk majani kinywele kimoja.

Nakupenda mike t.
Kama unataka demu jay mo.
Wanapendana
Sitaki demu
Kazi yake mola madee.
Nikupe nini mandojo na domo kaya.
Hebu nicheki o ten.
Niko bize jafarai.
Jirushe feruzi.
Bosi feruzi
Promota anabipu prof j
Usinichukie afande sele
Wife daz baba.

Hizi ni baadhi tu.

Hakuna prodyuza kama P Funk hapa tz
Jinsi Kijana - Nature
Cheza kwa Step - Jay Mo
Ghetto Langu - Ngwea
Kama - Mike Tee
Mitaa ya Kati - Imam Abbas
Kula Kona - Manzese Crew
Oya Oya - Manzese Crew
Girlfriend - TID
Rahisa - TID
Maisha ya Boarding - Jay Mo
Mvua na Jua - Jay Mo
Kulwa na Doto - Soggy
Fagilia - Soggy
Mapato - K-South
Hili Game - Nature
Ndio Mzee - Prof Jay
Tingisha - Jay Mo
Viwanjani - TID
Wanadata Nasi - Gangwe Mob
Zeze - TID
Alikufa Kwa Ngoma - MwanaFa
Handsome - Dully Sykes
Nje Ndani - Gangwe Mob
Mstari Wa Mbele - Kala Pina
Hey DJ - Sister P
Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Jirushe - Feruzi
Latifa - MB Dogg
Tunajirusha - Neccessary Noise
Ngangari - Gangwe Mob
Mtoto Wa Kiume - Geez Mabovu
Kazi Yake Mola - Madee
Mwenye Thamani - Madee

Nyingine nitaongezea nikizikumbuka.
 
Jinsi Kijana - Nature
Cheza kwa Step - Jay Mo
Ghetto Langu - Ngwea
Kama - Mike Tee
Mitaa ya Kati - Imam Abbas
Kula Kona - Manzese Crew
Oya Oya - Manzese Crew
Girlfriend - TID
Rahisa - TID
Maisha ya Boarding - Jay Mo
Mvua na Jua - Jay Mo
Kulwa na Doto - Soggy
Fagilia - Soggy
Mapato - K-South
Hili Game - Nature
Ndio Mzee - Prof Jay
Tingisha - Jay Mo
Viwanjani - TID
Wanadata Nasi - Gangwe Mob
Zeze - TID
Alikufa Kwa Ngoma - MwanaFa
Handsome - Dully Sykes
Nje Ndani - Gangwe Mob
Mstari Wa Mbele - Kala Pina
Hey DJ - Sister P
Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Jirushe - Feruzi
Latifa - MB Dogg
Tunajirusha - Neccessary Noise
Ngangari - Gangwe Mob
Mtoto Wa Kiume - Geez Mabovu
Kazi Yake Mola - Madee
Mwenye Thamani - Madee

Nyingine nitaongezea nikizikumbuka.
Six in the morning - c pwa
Cheza kwa step - jay mo
Imekaa vibaya - kali p
Nampenda yeye - temba
Kibanda cha simu - sogy.
Jinsi tulivyo - manyema family
Mwanza mwanza - fid q
Gado remix - zay b na nature.
Chagua moja - fid, langa na tid
Mtoto wa jakaya - ngwea
Nipe tano - daz nundaz
Mambo ya pwani - solo
Tumbo joto - kali p
Umbo namba nane - daz baba
Bongo dar es salaam - prof j
Jina langu - prof j
Nikusaidieje - prof na feruz
Yote maisha- p funk na madee
Ndani ya club - nature, p funk, saigon.
Msela - nature na ngwea
Utajiju - nature
Sonia - nature
Mgambo - nature

List ni ndefu.
 
HAKUNA Kama Miika Aleksanteri Kari "Miika Mwamba" bongo hii, huyu ndio producer mkali kuwahi kutokea
1) Saida kalori - chambua Kama karanga
2) Muumini Mwinjuma - Tunda
3) inspector Haroun - Mtoto wa geti Kali
4) Daz Nundaz - Kamanda
5) Daz Nundaz - Barua
6) Daz Nundaz - Maji ya shingo
7) Dully Sykes - Salome
8) Bwana Misosi - mabinti wa kitanga
9) Mh Temba - Mpenzi nakumind
10) Dudubaya - Mpenzi
11) Dully Sykes - Julietha
12) Mad Ice - Baby gal
13) Chegge - Twenzetu
14) Mchizi Mox - mambo vipi
15) Mandojo na domokaya - Dingi
16) D Knob - Elimu mtaani.com
17) Balozi dola soul - nipo kwenye chat
18) Solid Ground family - athumani
19) Ziggy Digi - Eno mic
20) Mandojo na domokaya - wanoknok
21) K sal - mkiwa
22) Jay dee - wanaume Kama mabinti
23) Jay dee - usiusemee moyo
24) Jay dee - Siri yangu
25) dully Sykes - nyambizi
26) dully Sykes - Hi
27) Solid ground family - baba Jane
28) Hard mad - tamala
29) Papi Kocha - fanta
30) Bushoke - msela jela
Majani alikuwa anajichanganya Sana na watu ndio maana alikuwa anazungunzwa Sana pia pale studio kwake nyimbo nyingi walikuwa wanafanya akina soggy, bizman. Miika mwamba yeye alikuwa cool sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom