Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,870
- 3,015
Jamaa yupo sahii, Blue yupo kwenye chorus,Acha na huo, upo mwingine wa Pigblack una bonge la beat na kaimba kila.kitu mwenyewe, kuna sehemu kwenye kiitikio anasema TANZA N-I-A
"Nskize me, mi ndio mi, mtoto mjini kazi, Kama hunisomi you can call me, P one black Kiwaside yoh!"
Sio samahani,
Zamani pande flani kino brain, mchana tunahustle usiku tunabang!