Nini mnataka mazee- Pig black, producer ni Mika Mwamba, na sio P Funk... Angalia link hii ya Mika Mwamba...https://m.youtube.com/watch?v=ztlyM3Gg3qM&t=135sKwakweli she got gwan ni kati ya beat zangu bora kutoka kwa majani, ila lile beat hakulitengeneza yeye bali alilitengenza soggy na mzungu kichaa majani akamleta sijui jamaa gani kuweka keyboard. Na wakati wananza kulitengeneza hakuwa studio alilikuta likiwa tayari.
Soggy alikuwa ana idea nzuri za beat hata beat zake zilikuwa za kipekee.
Kuna beat moja ya nini mnataka mazee mle ndani majani aliua, halafu kuna beat ya down town records ya wimbo kaimba p 1 black ni kali balaaa jina siujui.
Ila kuna lyrics kama
Nisikize me
....
Watoto wadogo hawanisomi
....
Narepresent me...
Verse ya kwanza anaanza sijui smahani samahani nyingi sana. Nautafuta sana huu wimbo