Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

Tuimbe uzima 2020 sio mbali. Tuyaone haya yanayosemekana kwa sasa ni tetesi
 
Sera zenu nyie ni zipi?
Wewe,Lisu,Shangazi, Mbowe,sababu mnasubir Rais akitamka neno au maneno ndo mnapata cha kuongea,hamna sera,nguvu zote mnazotumia kukejeli,kutukana,kukosoa mitandaoni mngezitumia kueleza sera zenu lingekuwa jambo jema.

Inawezekana hata sera zenu hamziamini,mnacho amini ni kejeli,matusi,ukosoaji.
 
Maendeleo yanaletwa na kodi za wananchi na siyo mtu. Hii dhana ikishaeleweka vizuri sasa tunawapambanisha watu kwa mustakabali wa nchi yetu kwenye mambo yafuatayo:

1. Uchumi;
2. Demokrasia;
3. Hakii na uhuru (vilivyowekwa kikatiba) wa wananchi kulindwa na kuifadhiwa;
4. Ustawi wa wananchi;na
5. Ulinzi wa umoja wa kitaifa
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Umezungumza ukweli lakini umeshau hali halisi.Haya uliyoonyesha hajafikia hata robo ya mambo ambayo Gadaf aliwafanyia watu wake.
Kwa hiyo ukiangalia vitu tangible unakosa point na nikukumbushe tu kuwa hili unalolieleza lingekuwa kweli pasingekuwa na uanzishaji sheria kila kukicha ni zingine zikiwa wazi kukomesha baadhi ya watu (Takwimu versu ZZK).
Kuhusu Lissu nijuavyo ana kesi nyingi mahakamani na akirudi zinaanza upya pamoja na shida zake lakini nina imani atalala Segerea kwa siku kadha kwa kutumia sheria hizi hizi.
Ukali wa JPM umesaidia sana lakini haujaweka misingi ya uendlevu wa ukali huu!!!
 
Kodi za wananchi bila sera ni sawa na bure tu!

Sera bila uongozi madhubuti ni kazi bure tu.

Na uongozi bila uthubutu ni udhaifu uliotukuka.
 
Sasa kwa kauli mbovumbovu Lissu ana tofauti gani na Magufuli?

Lissu ni bonge la mropokaji, na hapo hana madaraka.

Akiwa nayo si ndo itakuwa balaa!!

Sasa kama hawana tofauti na Magufuli ni rais wetu kipi kitamshinda Lissu? Rudi ikajipanga.
 
Kodi za wananchi bila sera ni sawa na bure tu!

Sera bila uongozi madhubuti ni kazi bure tu.

Na uongozi bila uthubutu ni udhaifu uliotukuka.
Hizo ni attribute za kiongozi tunayemtaka na za chama tunachokitaka. Binafsi nahisi kuna ombwe katika namna nchi inavyoendeshwa, ufike wakati tuwe na sera za nchi, ili parties manifestos zi-align na hizo sera za nchi. Yaani tuwapime wagombea kwa namna ambavyo wataenda kutekeleza sera za nchi.
 
Umezungumza ukweli lakini umeshau hali halisi.Haya uliyoonyesha hajafikia hata robo ya mambo ambayo Gadaf aliwafanyia watu wake.
Kwa hiyo ukiangalia vitu tangible unakosa point na nikukumbushe tu kuwa hili unalolieleza lingekuwa kweli pasingekuwa na uanzishaji sheria kila kukicha ni zingine zikiwa wazi kukomesha baadhi ya watu (Takwimu versu ZZK).
Kuhusu Lissu nijuavyo ana kesi nyingi mahakamani na akirudi zinaanza upya pamoja na shida zake lakini nina imani atalala Segerea kwa siku kadha kwa kutumia sheria hizi hizi.
Ukali wa JPM umesaidia sana lakini haujaweka misingi ya uendlevu wa ukali huu!!!

Baada ya miaka 10 ya Magufuli, kama hii kasi itaendelea, basi Tanzania itabadilika sana.
 
Wewe kilaza unasikiliziga hoja na sera zinazongumziwa na wapinzani nchi za Ulaya na Marekani ambazo ufisadi sio tatizo kubwa kwao?
Matatizo ya nchi ni zaidi ya ufisadi,ni upuuzi na akili finyu kufikiri kwamba ufisadi ndio inatakiwa iwe hoja ya kudumu na kwamba daima ndio itakuwa ajenda ya upinzani hata pale ambapo mambo yanabadilika na kuibuka mengine.
Upinzani walikuwa na hoja yenye mashiko sana [ufisadi wa CCM].

Wakaja wakaichezea shilingi chooni wenyewe.

Tokea 2015 umewasikia tena wakiutaja ufisadi?

Sasa hivi wamebaki kuwa watu wa kudandia matukio tu kwa sababu hawana tena ajenda ya maana na iliyo relatable kwa Watanzania.

Ajenda ya ufisadi ilikuwa relatable kwa Watanzania walio wengi sana. Hiyo ajenda iliwafanya hadi CCM wabadilike....
 
Ni nini sasa? Mapambo hayo?

Get outta here.
Ngabu, hizo barabara alizijenga Mkapa na JK labda hayo masola! But watu hawana furaha na fedha! Watakula hizo lami? Hizi petty business zilitakiwa kufanyika south Sudan waliopata uhuru juzi na sio bongo ya 57 yrs ago! Eti unampa mtu kura kisa kasimamia ujenzi wa flyover!
 
Ni kweli kipindi kile tulikosa mkurupukaji katika maamuzi (eti tuliita ukali/mwenye maamuzi magumu, muhemukaji) na tukalia sana. Bahati JK alikuwa anajua hitaji letu(umeliita Ombwe) kwa hila kabisa akatutekelezea hitaji letu.
Akili za kike
 
Kodi za wananchi bila sera ni sawa na bure tu!

Sera bila uongozi madhubuti ni kazi bure tu.

Na uongozi bila uthubutu ni udhaifu uliotukuka.

Sera zipi? Wananchi wa nchi hii hawajui sera ni nini, wao bado wako kwenye umasikini. Ukiwapatia maji, umeme na ajira basi. Hayo mahitaji hayahitaji sera bali utekelezaji.
 
Lissu angekuwa anakiamini anachosema basi asingekubali kumtosa Dr.Slaa na kumpokea ‘fisadi’ Lowassa.

Au umesahau mwandishi wa ile list of shame alikuwa nani?
People change. Je, tangu ile list ilipotoka kati ya wale watu nani alifikishwa kwa Pilato?
Mpaka leo Lowasa baada ya kwenda upinzani ilikuwa nafasi tosha ya huyo unayemsifia kumweka ndani, mbona ndiye alimsifia majuzi na kumtuma kuwa wapinzani wataishia lupango? Kwanini asingekuwa wa kwanza kabla ya Ruge na Theth?
 
Ngabu, hizo barabara alizijenga Mkapa na JK labda hayo masola! But watu hawana furaha na fedha! Watakula hizo lami? Hizi petty business zilitakiwa kufanyika south Sudan waliopata uhuru juzi na sio bongo ya 57 yrs ago! Eti unampa mtu kura kisa kasimamia ujenzi wa flyover!

Hamna.

Zimejengwa awamu hii na zingine bado zinaendelea kujengwa!

AA30A3F3-A4A1-43BC-8B34-47E6CB21C641.jpeg
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Ombwe tunalo kule ikulu. Halafu siku nyingine ujaribu walau kutumia akili unapoleta uzi humu, unataka kuwadanganya watu tunaoijua Tanzania kiundani? Wewe ukitoka ukimbizini unaijua barabara ya Dar Mwanza. Na hizo picha zinazoonyesha ubora wa barabara ndizo ulizotuonyesha? Kweli wewe ni mjita mjinga!
 
People change. Je, tangu ile list ilipotoka kati ya wale watu nani alifikishwa kwa Pilato?
Mpaka leo Lowasa baada ya kwenda upinzani ilikuwa nafasi tosha ya huyo unayemsifia kumweka ndani, mbona ndiye alimsifia majuzi na kumtuma kuwa wapinzani wataishia lupango? Kwanini asingekuwa wa kwanza kabla ya Ruge na Theth?

Kwa hiyo Lisu alimsingizia tu eeh?
 
Back
Top Bottom