Mihemuko siyo kigezo cha mtu kufaa kuwa rais

mheshimiwa rais juzi umetimuwa vigogo TANESCO kwa umeme kukatikakatika..
Tatizo bado liko palepale, wengine muda huu hatuna umeme na imekuwa desturi..
Timua wengine kama vipi au watimue wote tatizo liishe..
hahahaaaaaa !
mkemia soma hiyoooo !
intapenywaa !
.ll....l.m.l.ll
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Dingi yako bila shaka kama yuko hai anajuta kuwa bora angepiga nyeto akakuflash chooni kuliko kuzaa tahira.
 
Toa solution mbadala basi. Unaona wamsimamishe nani ambaye angalau ataleta ushindani? Embu washauri maana bado mapema. Au wajitoe kwenye uchaguzi?
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510
Watu huamua kulingana na hitaji la wakati uliopo. Sasa hivi watu wamechoka na maigizo. Hizo barabara ziliombewa mikopo na JK wakati huyu unayemsifia akiwa waziri wa barabara. yeye anamalizia kazi zilizoanzishwa na JK basi ila anadai miaka yote mbona hazikujengwa.

Mkapa aliombea pesa za kujenga barabara za pembezoni mwa nchi na zilianza wakati wa Mkapa nyingine zimemalizika hivi karibuni lakini huyu unayemsifia anataka sifa ziende kwake.

By the way kura yako ulimpa Trump na kama ulimpa unafaidi nini ndugu? Sioni tofauti ya Trump na Pombe.
 
Serikali haijawahi kusimama. Kwa hiyo hata ukiwa na Rais bogus kiasi gani, lazima kutakuwa na vitu anavyoweza kuonesha. Rais anayo dhamana kwa sasa na anakusanya kodi au anaweza kukopa kufanya chochote atakacho katika nchi yetu. Wengine wote hawana.

Sasa hawa wa vyama vya upinzani tunategemea watuoneshe barabara walizojenga kwa kodi zipi? Hata baadhi ya kodi za halmashauri tu serikali kuu imezichukua. Serikali za mitaa Tanzania nzima zinakusanya si zaidi ya bilioni 800 kwa mwaka. Serikali kuu inakusanya kutoka kodi karibu trilioni 17.

Nafikiri kama tunataka kulinganisha, then haiwezi kuwa ujenzi wa miundo mbinu maana hawa wengine hawana dhamana ya kukusanya kodi au kukopa ili kujenga miundombinu.

Tutafute vigezo vingine vya kupima.

Tukitumia kigezo cha miundo mbinu na mengine yanayofanywa kama sehemu ya wajibu wa serikali, then hakuna mtu yoyote nje ya Rais aliyepo madarakani anayeweza kushindana naye. Labda marais waliomtangulia.

Upinzani walikuwa na hoja yenye mashiko sana [ufisadi wa CCM].

Wakaja wakaichezea shilingi chooni wenyewe.

Tokea 2015 umewasikia tena wakiutaja ufisadi?

Sasa hivi wamebaki kuwa watu wa kudandia matukio tu kwa sababu hawana tena ajenda ya maana na iliyo relatable kwa Watanzania.

Ajenda ya ufisadi ilikuwa relatable kwa Watanzania walio wengi sana. Hiyo ajenda iliwafanya hadi CCM wabadilike....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Watu huamua kulingana na hitaji la wakati uliopo. Sasa hivi watu wamechoka na maigizo. Hizo barabara ziliombewa mikopo na JK wakati huyu unayemsifia akiwa waziri wa barabara. yeye anamalizia kazi zilizoanzishwa na JK basi ila anadai miaka yote mbona hazikujengwa.

Mkapa aliombea pesa za kujenga barabara za pembezoni mwa nchi na zilianza wakati wa Mkapa nyingine zimemalizika hivi karibuni lakini huyu unayemsifia anataka sifa ziende kwake.

By the way kura yako ulimpa Trump na kama ulimpa unafaidi nini ndugu? Sioni tofauti ya Trump na Pombe.

Kwa kawaida, sifa hunwendea yeyote aliyepo madarakani kwa wakati huo.

Kwa hiyo hapo credit anachukua Magufuli tu.
 
Chadema wana haki ya kumsimamisha mtu yeyote wanayeamini kuwa anatosha bila kusikiliza mafisi wanasemaje.
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510

Hivi neno "kuhemka" limebadilishwa maana yake?
 
Kwa kawaida, sifa hunwendea yeyote aliyepo madarakani kwa wakati huo.

Kwa hiyo hapo credit anachukua Magufuli tu.
Basi na uhuru na muungano kaleta Magufuri tu! Give a credit to someone who deserve it not just for fear and luck of confidence. Watu wamefika mahali wanasifia hata kuzaa watoto wengi, kuacha uzazi wa majira, kuoa wake wengi nk. just because huyo aliyepo madarakani kasema?

Siku akitoka ikawa too late kupata vidonge na vifaa vya uzazi wa mpango tutamlaumu nani? aliyetoa amri au sisi tunaoendekeza kukenua kwa woga? Heri Lissu anajitambua anasema anachokiamini na anajua sheria itakayomlinda akitamka kitu. Anajua katiba ya nchi na amepiga kelele sana ili katiba yetu iandikwe upya ilingane na mfumo tulio nao ambao umeishakufa tayari anyway. Kama uliishi wakati wa Nyerere utafahamu tulikopitia kama ulikuwa bado basi subiri cha mtema kuni.
 
Barabara za Kikwete mumeanza kuzifanyia kampeni,si munasema waliotangulia hawakufanya lolote we mjomba.
 
Sijui sababu ni nini hasa. Yawezekana ikawa ni ombwe la kiuongozi. Si mnajua kuwa asili haiachi ombwe liwe hivyo hivyo tu. Ombwe likijitokeza sehemu, kama hakuna kitu cha kuliziba, basi asili itatafuta tu kitu cha kuliziba hilo ombwe.

Haya ngoja nizame sasa kwenye hoja.

Kutokana na kujizoea sifa kupitia mgongo wa rais Magufuli kwa kuwa mmoja wa wakosoaji wake wakuu, kamanda Tundu Lissu eti ndo anapigiwa chapuo na makamanda wenzake awe ndo mgombea urais wa CHADEMA 2020.

Hiyo yote kisa tu eti wenyewe makamanda wanaona kwa vile huyo kamanda wao anamkosoa sana Magufuli, basi kwao hiyo ndo sifa kuu ya uwezo alionao huyo kamanda.

Kiukweli mimi sijaona chochote kile kwa huyo kamanda kinachoonyesha kweli kazi ya kiuongozi anaiweza.

Kuwa tu mkosoaji, tena mwenye mihemuko, si uwezo wa kuongoza.

Kukosoa tu kwa kuhemuka hemuka ni kazi rahisi sana.

Manake wewe unakaa tu kusubiri wenzio wafanye ili nawe ndo upate nafasi ya kusema. Sasa kuna ugumu gani hapo?

Na hivi majuzi yule wanayemwita shangazi, eti naye baadhi ya makamanda washaanza kumpigia chapuo kuwa anafaa kugombea urais kisa tu anamkosoa sana Rais Magufuli huko Twitter!!!

Makamanda tafadhalini sana! Hamjielewi kabisa nyie watu. Punguzeni mihemuko.

Rais Magufuli hamtomshinda 2020 kwa kuweka mtu mwenye mihemuko.

Mkubali mkatae, kazi ya Rais Magufuli inaonekana sasa karibu Tanzania nzima.

Ukizunguka huko mikoani siku hizi unakutana na barabara za lami tena zenye ubora wa juu. Na mataa ya sola yamezipamba hizo barabara na yakiwaka usiku utadhani watu wapo Ulaya!

Mambo kama hayo ndo mtaji wa Magufuli 2020. Nyinyi mtaji wenu ni mihemuko.

Mtagaragazwa vibaya mno!!

Cheki baadhi ya mambo ya Rais Magufuli hayo.....huko ndo vijijini kulivyo siku hizi!
View attachment 978508View attachment 978509View attachment 978510

Unaweza ukawa na hoja za hapa na pale, ila ukweli kama hayo uliyoonyesha hapo ndio mtaji wa mtu kukaa madarakani, basi makaburu wa Afrika kusini wangekuwa madarakani mpaka leo. Hivi alivyofanya Magufuli ni 000.1% ya walichofanya wazungu huko SA. Na hata kama ni mihemko, basi Magufuli hana tofauti na Lissu. Labda uje na hoja nyingine inayoingia akilini. Mimi kama mimi siamini kama Lissu anaweza kuwa rais mzuri kama alivyo Magufuli, lakini itakuchukua muda mrefu kuniaminisha Magufuli ni rais na hawezi kushindwa eti kisa kuna miundo mbinu kasimamia ujenzi wake. Hiyo miundo mbinu inajengwa na kodi za wananchi sio mshahara wa Magufuli, yoyote mwenye kutekeleza wajibu wake anaweza kuijenga.
 
Basi na uhuru na muungano kaleta Magufuri tu! Give a credit to someone who deserve it not just for fear and luck of confidence. Watu wamefika mahali wanasifia hata kuzaa watoto wengi, kuacha uzazi wa majira, kuoa wake wengi nk. just because huyo aliyepo madarakani kasema?

Siku akitoka ikawa too late kupata vidonge na vifaa vya uzazi wa mpango tutamlaumu nani? aliyetoa amri au sisi tunaoendekeza kukenua kwa woga? Heri Lissu anajitambua anasema anachokiamini na anajua sheria itakayomlinda akitamka kitu. Anajua katiba ya nchi na amepiga kelele sana ili katiba yetu iandikwe upya ilingane na mfumo tulio nao ambao umeishakufa tayari anyway. Kama uliishi wakati wa Nyerere utafahamu tulikopitia kama ulikuwa bado basi subiri cha mtema kuni.

Lissu angekuwa anakiamini anachosema basi asingekubali kumtosa Dr.Slaa na kumpokea ‘fisadi’ Lowassa.

Au umesahau mwandishi wa ile list of shame alikuwa nani?
 
Back
Top Bottom