Hivi wanapofukuzwa wale wa kasulu,Biharamulo Namtumbo na hawana ndugu mjini wanakwenda wapi?
Ndo hapo sasa!yaani maisha magumu kwa kweli!Hivi wanapofukuzwa wale wa kasulu,Biharamulo Namtumbo na hawana ndugu mjini wanakwenda wapi?
Ndio maana nasikia wadada wa Udsm wanajiuza......inatisha sana nimechoka na serikali hii wale watu pale juu wapimwe akili kuanzia raisi wao.wasipokamatwa na kuwekwa ndani (kama walivyonifanyia mimi), basi wanarudi kwao Kasulu, Biharamulo na Namtumbo.
Ndio maana nasikia wadada wa Udsm wanajiuza......inatisha sana nimechoka na serikali hii wale watu pale juu wapimwe akili kuanzia raisi wao.
Kinachosikitisha ni viongozi wa DARUSO waliobeba dhamana ya kuwasaidia wanafunzi wenzao wanasahau wajibu wao na kutumia nafasi zao kutafuta umaarufu wa kisiasa na bila kutafakari athari zake kwa wanafunzi na taifa kwa ujumla.
taratibu DARUSO inaanza kujadili itikadi za kisiasa na kugeuka CCM na CUF kutafuta muafaka wa tatizo hilo. Rais Machibya ana wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi yake kwani hadi sasa tayari baadhi ya wabunge wamekataa kupitisha baraza lake la mawaziri na kuamua kujitenda rasmi na DARUSO.
Baadhi ya mawaziri walioteuliwa na rais ni watu wanaoaminika chuoni kwakuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya wanafunzi, lakini leo tena haohao wanageukana na kuwaacha wanaDARUSO njia panda.
Tatizo linakuja ni nani ana maslahi ya kweli kwa wananchi wa UDSM? Ni swali gumu lakini, kwa msomi ni rahisi.
Kidogo tujifunze kutoka kwa Rais Kikwete, baadhi ya watanzania wamamini kubaini kuwa uongozi wake si imara baada ya kushindwa kuleta tumaini na tegemeo la ahadi zake.
Maisha bora kwa kila mtanzania lakini hadi sasahali ina
Sasa badala ya DARUSO kushughulikia matatizo ya wanafunzi imeanza kugawanyika kutokana na sababu mbalimbali baadhi yao wakitofautiana kiitikadi za kivyama. Vionfgozi hawafikirii nini cha kuwasaidia wanaDARUSO badala yake wanatafuta jinsi ya kuwapotosha.
Inashangaza sana nchi yetu ina rasilimali nyingi tena adimu duniani sidhani kama wawakilishi wetu wanafikiria vyema au labda ni kukandamizwa na mashirika ya umoja wa mataifa. As Nyerere said "You can not say NO?" Kila kipengele wanakipokea na kusaini YES!
.
I am crying so I can not type anymore.
Till then TKS
Aaaahh...hii haiwezekani bana...Hatuko hivyo sisi.....
Kitu gani hakiwezekani?Aaaahh...hii haiwezekani bana...Hatuko hivyo sisi.....
jamani wanaJF!
Tunaweza kujua Professor Maghembe alichangia kiasi gani and asilimia ngapi kwa katika elimu yake mpaka PHD?
jamani wanaJF!
Tunaweza kujua Professor Maghembe alichangia kiasi gani and asilimia ngapi kwa katika elimu yake mpaka PHD?