Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

dah mi nilijua tu , eti ohoo mara ana GPA kubwa kutoka UDSM hakuna aliyevunja record kwa kozi ya Law , hivi kwani GPA ndo inafanya kazi wajameni eeh mbona kashindwa sasa na GPA yake ya 4 , ohhhooo JK alimu overstate huyu Dr Rose Migiro ndo maana mambo yamekuwa vice versa , tafakari chukua hatua haki elimu khekhekhe

Look here: Asha Rose Migiro Kutemwa UN?

And as for her baloon GPA, I had previously confidently narrated about Rose Migiro's unholly relationship with her LLM supervisor at the hill. A professor, currently living in Nairobi who happened to be the Dean of the Faculty of Law, saw it all and had since vacated the UDSM employment.
 
Ule ulikuwa ni mzingo mkuu hafai hata ujumbe wa nyumba kumi

Nyie mwasema, na wao walisema na mengi yatasemwa.
Sisi kazi kusikiliza na kupembua pumba kwani tuna akili zetu, lakini pumba nyingine kama hizi ni too much.
Kama yeye hafai ujumbe wa nyummba kumi basi wewe wafaa, hongera zako......................................
 
kunasiku nilisema asilimiakubwa ya waTanzania ni wavivu watu wakakataa nakunitukana haya ndo matokeo yake .
Nahapa anafunga chance zote za mtu mwingine kwenye nafasi nyetikamahii kutoka Tanzania.

Tumezoea kunywachai nakupiga umbea ofisini tu hatunajipya kule watu wanapigamzigo na ni creative .Na hii itatucost sana

Tubadilike Jamani wa Tanzaia wenzangu hii ni aibu

Aibu kwako na kwa waliwao,
Mnanishangaza sana, yaani katika source za habari mamia na mamia yanayotuzunguka, mnaishi kwa kuamini only single source????????????
Haingii akilini, lakini basi tu ni kwa kuwa huwezi kubeba mzigo wa mwendawazimu.
 
The UN is but a biiig talkshop. Woodrow Wilson must be shaking in his grave.
 
sababu hizi hapa wanabodi wala msipasue vichwa

moja, chaguo la kikwete mtu mdhaifu, hawezi kuwa na mahusiano na vichwa vikali

mbili, jk anajulikana ugonjwa wake kwa jinsia ya pili , hapa sijui malipo ya mtani wangu alitoanini maana naye bahili pesa hawezi toa za kutosha....so malipo wanajuana mimi sisemi

tatu, huyu ni mpare hawa ni watu wenye fikra fupi...angalia hiyo staili ya nywele aliyoondoka nayo ndo karudi nayo.

Kaenda un kuwa number two huku udsm kaomba likizo, hajiamini alifikiri wata mfukuza.

Kakaa un 5 years karudi kuripoti udsm mawazo haya panuki bado anataka kutumwa

hilo pande angepewa mama tibaijuka kesho angekuwa secretary general wa kwanza wanamke

sasa migiro yuko hapa mjini na cv yote hiyo, anajibaraguza kwenye misiba na mama kikwete, srd 7 na prof wapi na wapi?

Tumefanya kazi bure kumpiga chapuo ban kim moon tungeomba walao project ya maana sasa kafaidika jk,mingiro na familia yake, wala hakuna mtz aliyepatanafasi ya maana un...........mwaka wa hasara hasara
 
uwezo mdogo wa kufanya mambo...kwa kifupi hana akili za kutosha kuwa deputy SG wa UN
 
It is unfair kumsema huyu mama kwamba kaondolewa kwa sababu ya poor performance wakati Turtle Bay pamejaa poor performers.

Kinachotokea hapa ni kwamba huyu mama ameenda kufanya siasa za kibongo UN, sehemu ambayo pana cliques sana na networking ni muhimu kuliko performance, yeye kaenda kubweteka ki bongo style ile ukipata ukubwa kila mtu akutazame juu na kuku recognize.

Halafu tusimlaumu sana huyu mama kama kashindwa personally. Huyu mama hakuchaguliwa personally, alichaguliwa kwa sababu ya tit-for-tat za geopolitics, hivyo kuondolewa kwake kunaashiria kuanguka kwa ushawishi wa Tanzania katika siasa za kimataifa.

It is as if Mr. Ban is saying "thank you very much Tanzania for getting me here, I paid you handsomely with this Migiro appointment, now it is time for me to focus on courting some other influential blocks".

The entire UN is one big talkshop full of underperforming bureaucrats thinly disguised as diplomats. Admittedly, the higher ones goes the more the shenanigans increase and being an underperformer becomes a costly habit.

How could you squarely say she is an underperformer when the very essence of her job sets her up to be a token beneficient of some unnecessary gerrymandering of global politics?

The more one looks at this case, the more one sees that although it is probably true that she underperformed, but that is hardly the reason, the reason has to do with networking skills and the general position of Tanzania's lack of leadership in international relations.
 
Ni jambo la kujivunia kwa nchi maskini kama Tanzania kutoa DSG wa UN. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu dhidi ya huyu mama, kuendelea kumkandya hapa jamvini ni kukosa uzalendo kwa nchi yetu.
 
Ni jambo la kujivunia kwa nchi maskini kama Tanzania kutoa DSG wa UN. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu dhidi ya huyu mama, kuendelea kumkandya hapa jamvini ni kukosa uzalendo kwa nchi yetu.

Kama kawaida, Watanzania tunaendeleza utamaduni wa kujivunia vyeo bila kuangalia ufanisi.

Mtu anataka kuwa rais, anaulizwa una sifa gani? Anajibu nishakuwa Waziri Mkuu, kuwa Waziri mkuu si sifa ya kupata urais, ulifanya nini ulivyokuwa Waziri Mkuu?

Mtanzania wa kawaida atajivunia kipi alichofanya huyu mama?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
'unlike'

Ni jambo la kujivunia kwa nchi maskini kama Tanzania kutoa DSG wa UN. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu dhidi ya huyu mama, kuendelea kumkandya hapa jamvini ni kukosa uzalendo kwa nchi yetu.
 
It is unfair kumsema huyu mama kwamba kaondolewa kwa sababu ya poor performance wakati Turtle Bay pamejaa poor performers.

Kinachotokea hapa ni kwamba huyu mama ameenda kufanya siasa za kibongo UN, sehemu ambayo pana cliques sana na networking ni muhimu kuliko performance, yeye kaenda kubweteka ki bongo style ile ukipata ukubwa kila mtu akutazame juu na kuku recognize.

Halafu tusimlaumu sana huyu mama kama kashindwa personally. Huyu mama hakuchaguliwa personally, alichaguliwa kwa sababu ya tit-for-tat za geopolitics, hivyo kuondolewa kwake kunaashiria kuanguka kwa ushawishi wa Tanzania katika siasa za kimataifa.

It is as if Mr. Ban is saying "thank you very much Tanzania for getting me here, I paid you handsomely with this Migiro appointment, now it is time for me to focus on courting some other influential blocks".

The more one looks at this case, the more one sees that although it is probably true that she underperformed, but that is hardly the reason, the reason has to do with networking skills and the general position of Tanzania's lack of leadership in international relations.

Kiranga, issue ya mama yetu sio nzuri sana, tushukuru mungu Ban alimfanyia ka-send off party na kumpaka kacheoa/kakazi kwenye mambo ya ukwimi. Mwanaharamu kapita na sasa mama yetu yuko nyumbani salama.

Kupewa nafasi ya Unaibu katibu mkuu UN ni sawa na kukabidhiwa sufuria 24 za maziwa yanayochemka. You have to be quick kusogeza sufuria, kupuliza maziwa yasimwagike na hata kuzima stove ikibidi. Wenzetu wa West Africa walishajua kukimbizana na mikiki mikiki ya UN, na ni wazuri sana ku-network na akiwa mahali somehow (I mean somehow) utajua yupo. They do bring some thing on the table. Siasa za kuzibiana nafasi pamoja na kuonesha 'nipo' ndiyo mtindo wa UN.

Sijui alikuwa anafanya kazi za Ban Ki moon saa ngapi, lakini mama yetu alikuwa anakatiza mitaa ya bongo utadhani New York na Bongo ni umbali sawa kati ya Mbalaga na Posta. Mara anafungua viwarsha, mara salamu Zanzibar, ili mradi alionesha umahiri mkubwa kwenye fani ya utalii. Mwanzoni alikaribishwa kuhutubia bunge la Jamhuri ya Muungano (it is almost a Michael Jasckon moment). ah mambo yanabadilika kweli.

Anyway, it would've been great kama angeendelea na nafasi hiyo, but term moja si haba. Hata hivyo sitashangaa kama kuna watu kwenye corridor za Ban ki moon hamkumbuki!. Kuna kipindi nashawishika maybe Balozi Mahige angekuwa better.

Kitu cha kujifunza hapa ni kujiimarisha kwenye siasa za kimataifa, kujua mbinu na za kumudu mbio kwenye hizi corridor badala ya kutegemea mbeleko. Aina ya siasa tunazofanya hapa Tanzania bado zina walakini mkubwa. Unatukwaza. Tulishaonja kwa Getrude Mongella sasa tuna-debate ilikuwaje mama Migiro. Graduation lini?
 
Ukiwa na msimamo tofauti na Marekani siku zote huwezi kukaa UN, Salim alinyimwa kwa sababu hiyo hiyo.. UN inasjmamia maslahi ya WATU (nchi) za Magharibi sisi tunapelekeshwa tu mbona ya Syria yanawashinda maana hakuna interest zao.. Moon ni kibaraka kama ilivyotawaliwa nchi yake..
 
Nilijua tangu mapema kuwa angeshindwa kazi hiyo. Na sababu kuu ni kuwa hakuna mtu anaweza kutokea upande wa MAGAMBA akawa mchapa kazi mzuri kwa kiwango cha Kimataifa! hakuna.Kwani si unaona mwenyewe kwenye bunge letu? Magamba wapo wengi sana lakini lakini hoza zao dhaifu mno kiasi kwamba wanapitisha miswada bila kuwa hata wameisoma.
 
Ukiwa na msimamo tofauti na Marekani siku zote huwezi kukaa UN, Salim alinyimwa kwa sababu hiyo hiyo.. UN inasjmamia maslahi ya WATU (nchi) za Magharibi sisi tunapelekeshwa tu mbona ya Syria yanawashinda maana hakuna interest zao.. Moon ni kibaraka kama ilivyotawaliwa nchi yake..

Let's not kid ourselves kwamba Mama Migiro alikuwa some crusader against US interests.

Hata Amb. Mahiga alivyompandishia Amb. Bolton security council anaweza kusema kwamba ali stick it up to the US zaidi ya Migiro.

Una rekodi yoyote ya alichofanya Migiro to that effect? Au ndo habari za wishful thinking tu kwamba lazima kitabu kipate some heroic end? Complete with a fabricated villain in the US?

Cheo chenyewe cha pageantry to begin with, we hujiulizi kwa nini husikii muafrika kapewa kushika IMF au WB? Mnatengenezewa on the fly mi title mikuuubwa ambayo ina wa set up watu kwa failure tu, wabongoo wanavyopenda mi title makooofi, bila hata kuangalia substance.

Matokeo mtu ana fail, lawama. Wakati mtu mwenye kazi zake hawezi kujishirikisha na pageantry hizi.
 
Vitanda maalum je? Vingekuwa huko angeendelea hata miaka ishirini. Kwa bahati mbaya UN wanaangalia utendaji na sio usanii wa vitanda maalum!
 
jobs acquired through favors(be it personal or otherwise) are always doomed for failure....Her very premature international experience was not compatible with the UN post....and now (in TZ) we keep hearing about her new prospective offers for the TZ presidency.......just to lure the TZ female voters ..come 2015 elections(considering that ..if this happens...it will be the first time in TZ history)...just as they did with Anne Makinda......electing a bogus Speaker...just for her labia(shavu).....only in TZ yaani.....

Kwa hiyo ni Kilaza.......
 
sasa mtu akisema kuwa ni aibu kwa taifa inakuwaje? kwa hili sipati picha maana sifa za Migiro zilisambaa kwa haraka sana alipoteuliwa. hata alipoamua kurudia kazi yake nilimwona shujaa sasa tena mnaleta nini humu jamahi?
 
Tatizo limeanzia kwa wabongo kukuza hii kazi ambayo imewekwa strategically kama token position katika kuzawadiana titles zisizo impact UN from the get go.

Mbongo ukitaka kumpatia mpe m-title, hata kama kazi haina maana.

Kimsingi hii position ukiangalia responsibilities zake ni a glorified secretary wa Secretary General wa UN.
 
Back
Top Bottom