fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 884
i like this...
you must like that otherwise you shall like that since it concours wit two brain cuncousions
i like this...
sababu hizi hapa wanabodi wala msipasue vichwa
moja, chaguo la kikwete mtu mdhaifu, hawezi kuwa na mahusiano na vichwa vikali
mbili, jk anajulikana ugonjwa wake kwa jinsia ya pili , hapa sijui malipo ya mtani wangu alitoanini maana naye bahili pesa hawezi toa za kutosha....so malipo wanajuana mimi sisemi
tatu, huyu ni mpare hawa ni watu wenye fikra fupi...angalia hiyo staili ya nywele aliyoondoka nayo ndo karudi nayo.
Kaenda un kuwa number two huku udsm kaomba likizo, hajiamini alifikiri wata mfukuza.
Kakaa un 5 years karudi kuripoti udsm mawazo haya panuki bado anataka kutumwa
hilo pande angepewa mama tibaijuka kesho angekuwa secretary general wa kwanza wanamke
sasa migiro yuko hapa mjini na cv yote hiyo, anajibaraguza kwenye misiba na mama kikwete, srd 7 na prof wapi na wapi?
Tumefanya kazi bure kumpiga chapuo ban kim moon tungeomba walao project ya maana sasa kafaidika jk,mingiro na familia yake, wala hakuna mtz aliyepatanafasi ya maana un...........mwaka wa hasara hasara
Mmeshaanza, ndo maana huwa tunawapeleka Mabwepande
Mkuu vyeo vya UN unaanza na SG, DSG, USG,ASG,D2,D1,P5........ Usibase kwenye siasa. UN ni performance zaidi tofauti na majungu yetu ya bongo. Kama huwezi watu wanakuambia live.
Huyu mama ni kwamba hawezi kazi. Hapa nakaa na rafiki yangu ambaye ana cheo cha P5 UNHQ. Wanajua yote ya huyu mama
Jamani nilisikia kuwa yeye aliomba kupumzika mwenyewe ili apate muda wa kujipanga kwa mchakato wa upresidaa maana ndio choice ya ****** sasa hapa mnanichanganya kabisa, kwani upresidaa wa bongo na udepute wa UN upi ni ulaji wa maana?
Jamani nilisikia kuwa yeye aliomba kupumzika mwenyewe ili apate muda wa kujipanga kwa mchakato wa upresidaa maana ndio choice ya ****** sasa hapa mnanichanganya kabisa, kwani upresidaa wa bongo na udepute wa UN upi ni ulaji wa maana?
Mmeshaanza, ndo maana huwa tunawapeleka Mabwepande
Amelelwa ktk nchi yenye siasa za propaganda za kudanganya wananchi. Amelelwa katika nchi ambayo ni anti western. Amelelwa katika nchi ambayo ni antisemite(wachukia wayahudi).Amelelwa katika nchi ambayo mtu hutukuzwa kwa kupata cheo na sio good perfomance, amelelwa ktk nchi ambayo hufuata ushauri wa nchi za kiarabu , wa kuichukia Israel.
Halafu alipoondoka na kuagwa alipewa usia na kiongozi wa juu wa chama kuwa, "ukifika UN peleka ujumbe kuwa, Tanzania hatutaki majeshi ya uvamizi Iraq"
Toka lini ukaona mtu na sifa hizo akawa mwana diplomasia mzuri duniani? Sasa wewe fananisha na sifa za Boutros boutros Ghali, Haf Perez De Guerra, Udro Uthans na DR Kart wairheim angalia wametoka katika nchi gani na kwa nini wamekuwa wana diplomasia wazuri. Nchi zao zote hizo hazichukii waisrael kabisaa na wala sio anti west.