Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

kunasiku nilisema asilimiakubwa ya waTanzania ni wavivu watu wakakataa nakunitukana haya ndo matokeo yake .
Nahapa anafunga chance zote za mtu mwingine kwenye nafasi nyetikamahii kutoka Tanzania.

Tumezoea kunywachai nakupiga umbea ofisini tu hatunajipya kule watu wanapigamzigo na ni creative .Na hii itatucost sana

Tubadilike Jamani wa Tanzaia wenzangu hii ni aibu
 
Uswahili ulimzidi, kila siku alikuwa kiguu na njia kuja bongo, badala ya kutulia chini na kufanya kazi...
 
kunasiku nilisema asilimiakubwa ya waTanzania ni wavivu watu wakakataa nakunitukana haya ndo matokeo yake .
Nahapa anafunga chance zote za mtu mwingine kwenye nafasi nyetikamahii kutoka Tanzania.

Tumezoea kunywachai nakupiga umbea ofisini tu hatunajipya kule watu wanapigamzigo na ni creative .Na hii itatucost sana

Tubadilike Jamani wa Tanzaia wenzangu hii ni aibu

Mitanzania ndivyo ilivyo (By N.N)
 
Na hawa nao ni wazungu?

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. "She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

Hawa aliwa approach baada ya mapigo kuzidi,nchi za kiafrika ziko nyingi jiulize kwa nini alifuata kundi la nchi 28 na siyo wote? kumbe wote walikuwa na influence za wazungu hakujua.kwani wakiahidiwa jambo na wazungu watakataa?
Jiulize Gadaffi waliomuua ni wananchi wake kwa msaada wa nani,kama siyo hao wazungu.
 
Tunasikiliza, lakini naona kajitahidi. Sijui haya yote ya nini? na Umri amenizidi kidogo, kwa hiyo ni vizuri tumwache kwanza. Halafu ana kazi ya kufanya kwa sasa. hajatukana mtu huyu mama, wala CUF, wala CDM wala CCM. Fitina za nini. who is competent 100%. No, not one in the world. That's why someone had to come from above to serve us.
 



Ok, She has to go but for your Information No Assistant Sec. General of United Nations has stayed with His or Her Boss

for full 8 years tenure; During Boutros Boutros Ghali do you have a guts to mention one of his Secretary Generals?

If, then she was not capable why he still assigned her work? And the other Sec General has been replaced as well

O la la.........

The Deputy Secretary-General of the United Nations is an office created to handle many of the administrative responsibilities, help manage Secretariat operations, and ensure coherence of activities and programmes.The post was formally established by the General Assembly at the end of 1997. The post is currently held by Jan Eliasson of Sweden.

Responsibilities generally delegated by the Secretary-General to the Deputy Secretary-General include:


(a) To assist the Secretary-General in managing the operations of the Secretariat;
(b) To act for the Secretary-General at United Nations Headquarters in the absence of the Secretary-General and in other cases as may be decided by the Secretary-General;
(c) To support the Secretary-General in ensuring inter-sectoral and inter-institutional coherence of activities and programmes and to support the Secretary-General in elevating the profile and leadership of the United Nations in the economic and social spheres, including further efforts to strengthen the United Nations as a leading centre for development policy and development assistance;
(d) To represent the Secretary-General at conferences, official functions and ceremonial and other occasions as may be decided by the Secretary-General;
(e) To undertake such assignments as may be determined by the Secretary-General;


Tanzanian Asha-Rose Mtengeti Migiro was named as the next Deputy Secretary-General by Secretary-General Ban Ki-moon on January 5, 2007. She was formally appointed to the post and assumed office on February 5, 2007.


Canadian Louise Fréchette was the first Deputy Secretary-General of the United Nations, holding the position from 1998 to 2005. She was appointed to the post by Secretary-General Kofi Annan and assumed her duties on March 2, 1998. In 2005, partly in response to criticism by former U.S. Federal Reserve Chairman Paul Volcker for failed management of the Iraq Oil-for-Food Programme, Frechette announced her resignation. She remained at her post until March 31, 2006.
On March 3, 2006 it was announced that Mark Malloch Brown from the United Kingdom would succeed Louise Fréchette as Deputy Secretary-General on April 1, 2006. Brown left his post concurrent with Kofi Annan's departure as Secretary-General on December 31, 2006.

Boutros Boutros-Ghali (Arabic: بطرس بطرس غالي, Coptic: Bουτρος Βουτρος-Γαλι; born 14 November 1922) is an Egyptian politician and diplomat who was the sixth Secretary-General of the United Nations (UN) from January 1992 to December 1996. An academic and former Vice Foreign Minister of Egypt, Boutros Boutros-Ghali oversaw the UN at a time when it dealt with several world crises, including the breakup of Yugoslavia and the Rwandan Genocide.
 
hata huko UDSM apigwe chini so anataka akawajaze ujinga watoto wetu?apewe tu viti maalumu vya mabwepande basi
 



Ok, She has to go but for your Information No Assistant Sec. General of United Nations has stayed with His or Her Boss

for full 8 years tenure; During Boutros Boutros Ghali do you have a guts to mention one of his Secretary Generals?

If, then she was not capable why he still assigned her work? And the other Sec General has been replaced as well

From day one it was obvious for all but the non-observant that she was highly unsuited to the job. As to why she was assigned the job it is simple: Hers (just like the Malagarasi bridge) was the question of South Korea saying "thank you" for the role Tanzania played to land the top UN job to their man. If you have been following the development of her being offered the job, Ban Ki-Moon pleaded to her critics for her to be given a chance to prove herself in the job. Well, they did give her the chance and she miserably failed to prove herself - as opposed to what Ban Ki-Moon hoped!
 
FJM Your right pal sisi ytunapata nafasi but tunashindwa kuendelea ndo mana hata nchi yetu inazidi kuwa maskini
 
Last edited by a moderator:



Ok, She has to go but for your Information No Assistant Sec. General of United Nations has stayed with His or Her Boss

for full 8 years tenure; During
Boutros Boutros Ghali do you have a guts to mention one of his Secretary Generals?

If, then she was not capable why he still assigned her work? And the other Sec General has been replaced as well

Hapo kwenye red, huyo Mmisri aliondoka UN 1996, Post ya Deputy UN Sec General ilianzishwa rasmi 1997 chini ya Koffi Annan.
Record ya Boutros Boutros Ghali in mushkeli maana Rwandan Genocide ilitokea wakati akiwa kibosile UN and as you UN messed up big time.
 
Mzito K "Diverse and complicated."Yes,that is the nature of the UN.Those words are hiding alot of dark truth about the body.While pretending to serve mankind,the body is actually working tirelessly to destroy mankind.Aliye na macho haambiwi ona.The devil actually owns the body.Ni bora arudi nyumbani,labda Mungu atamrehemu!
 
Last edited by a moderator:
And then kuna watu humu wana campaign awe Rais wa JMT 2015. Janga lingine la Taifa linakuja kama tusipokuwa waangalifu.
hata ubunge hafai , ningekuwa mimi mkuu wa udsm ningemu interview upya hata hiyo nafasi ya kufundisha anayoomba hapo udsm.
 
Hawa aliwa approach baada ya mapigo kuzidi,nchi za kiafrika ziko nyingi jiulize kwa nini alifuata kundi la nchi 28 na siyo wote? kumbe wote walikuwa na influence za wazungu hakujua.kwani wakiahidiwa jambo na wazungu watakataa?
Jiulize Gadaffi waliomuua ni wananchi wake kwa msaada wa nani,kama siyo hao wazungu.

Yeah, Wazungu walimkimbiza Mtaroni na kumpakata kama kiotweo na kumpachika risasi na pistol yake ya DHAHABU; na

Kijana ambaya BABU yake alichomwa moto na GADAFFI familia ikiangalia; Hamkuona Mateso ya GADAFFI sababu

Mlizoea ya Bure... Ni kama Bongo mtu anapotea anapoteza Meno; fahamu na Mnaona ni sawa tu;

WHAT GOES AROUND... COMES AROUND... MY JAMII FAMILY MEMBER... IT DOES COME FAST....

* FYI Hizo 28 ni nchi kwenye SECURITY COUNCIL
 
Haka kamama bora wamekatimua kalitaka kuleta siasa za ccm za "wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwavunje" un kakakuta kule hakuna kilaza anae kaitikia kule ni watu na akili zao sio magumegume ya nec ya chama cha mabwepande
 
Uswahili ulimzidi, kila siku alikuwa kiguu na njia kuja bongo, badala ya kutulia chini na kufanya kazi...
naambiwa hapa kumbe kitchen part za huku bongo alikuwa akichangia hakosi kufunga safari kuja kuhushuria! ki moon ana haki ya kumpiga chini.
 
Hawa aliwa approach baada ya mapigo kuzidi,nchi za kiafrika ziko nyingi jiulize kwa nini alifuata kundi la nchi 28 na siyo wote? kumbe wote walikuwa na influence za wazungu hakujua.kwani wakiahidiwa jambo na wazungu watakataa?Jiulize Gadaffi waliomuua ni wananchi wake kwa msaada wa nani,kama siyo hao wazungu.

Wewe una cataracts kwenye macho? wapi imeandikwa nchi 28? ni 28% ndugu!
 
And then kuna watu humu wana campaign awe Rais wa JMT 2015. Janga lingine la Taifa linakuja kama tusipokuwa waangalifu.

Why not?She is better than the current one!Is our presidence post for the competents by the way?
 
Lakini mtoa mada na hio source ulikoitoa pia haijaeleza moja ya sababu pia kwamba mama Migiro akiwa waziri wa mambo ya nje alikuwa akikutana na bwana Ban Ki- Moon ambae nae alikuwa ni waziri wa mambo ya nje wa South Korea kwenye mikutano mingi tu inayohusu foreign affairs.

Kwa hali hio basi watu hawa wakajenga urafiki hata kufikia bwana Ban Ki-Moon kumuahidi mama Migiro kwamba endapo (yeye bwana Moon) angechaguliwa kuwa SG basi asingesahau kuchagua mwanamke kwa naibu wake.

Halafu pia Bwana Ban Ki-Moon alipoingia katika ofisi yake akaleta mabadiliko fulani ikiwa ni pamoja na kutaka baadhi ya maofisa ambao wamefanya kazi pale kwa muda mrefu waaandike barua za kuacha kazi ili aajiri watu wengine ambao pengine alitaka wawe wameletwa na yeye.

Mama Migiro sio mwanadiplomasia bali ni mwalimu wa chuo kikuu kwahio hii ni moja ya difference kubwa linapokuja suala la diplomacy sehemu fulani. Na huwezi ukamchomoa mtu kutoka kuwa academic kwenda kuwa diplomat bila uzoefu wowote wa diplomasia.

Haya mambo ya urafiki rafiki kwenye taasisi kama hizi huwa yapo chini ya uangilizi makini wa experts na analysts wa UN na wengine ambao hawakuridhika na hali hiyo, ingawa walisema upite muda fulani na iwe mwisho.

Ban KI- Moon mwenyewe hana expertise ya kutosha hasa kwenye kutatua migogoro na kuna maeneo kama Syria ambako imebidi amwombe Koffi Annan awe special envoy wake amsaidie manake haya mambo mingine yanahitaji busara sana na akili pevu.
 
Back
Top Bottom