Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

I am a zoologist, a mammalogist. At more than 90% mammalogists are correct in estimating individual's behaviour and brainpower in relation to facial expression. There are exceptions but lie at less than 10%. This may sound like an insult but trust my assessment which I have been using to providing anticipated performance of our cabinet members. I am always correct and I can give you some examples in the future.

Looking at our sister's appearance/facial expression she don't look to be a person who can accommodate tasks that require a lot of brain power.

Kung'ang'ania Kiswahili kunatukosesha uwezo wa kushika nafasi za kimataifa. Watanzania wengi wana uwezo mkubwa, lakini tatizo ni lugha. Nafasi za UN zinahitaji mtu ajue angalau lugha mbili kuu za wakoloni: Kiingereza na Kifaransa. Ikumbukwe Salim alishindwa kwa sababu ya kutokujua Kifaransa vizuri.

Kwa makusudi kabisa, viongozi wetu wanaukataa ukweli huu kwamba tukiendelea kuamini kuwa Kiswahili ni "Lugha ya Kimataifa" madhara yake ni makubwa na ni asi katika soko la ajira za kimataifa. Inawezekana Mama amekwamishwa na kujua lugha moja tu:Kiingereza (ingawa vile vile sina uhakika kama anakijua vizuri, kwa viwango vya wakubwa wetu).
 
Uwezo mdogo wa kiutendaji umemfanya asikabiliane na kasi anayoitaka Katibu mkuu wa UN, sa we mtu kapewa wadhifa wa uwaziri na kiongozi Dhaifu ataweza wapi post za kimataifa ambazo zinamtaka mtu kuwa na uwezo wa ziada ktk utendaji wa majukumu ya kila siku, kimsingi ilitegemewa atafanya vibaya
 
Na hawa nao ni wazungu?

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. "She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

Safari_ni_safari,

Ukiona jitu linatetea mambo ya CCM na serikali yake ujue ni Magamba in action.

Hawa CCM wanachekesha kweli maana ni watu ambao hawapendi criticims kitu ambacho ni ujinga! Tumeshuhudia huyu mama akipokelewa kwa mbwembwe na CCM wakidai kuwa oh;sijui kapata uzoefu mkubwa sana UN kwa hiyo wanategemea kuwa mwaka 2015 atakuwa ndiye mgombea wao wa Urais!

Bila shaka kwa taarifa hii watakuwa wameelewa kuwa mama yao Asha Migiro kachemsha UN kama Anne Makinda anavyochemsha kwenye BUNGE!
 
Kung'ang'ania Kiswahili kunatukosesha uwezo wa kushika nafasi za kimataifa. Watanzania wengi wana uwezo mkubwa, lakini tatizo ni lugha. Nafasi za UN zinahitaji mtu ajue angalau lugha mbili kuu za wakoloni: Kiingereza na Kifaransa. Ikumbukwe Salim alishindwa kwa sababu ya kutokujua Kifaransa vizuri.

Kwa makusudi kabisa, viongozi wetu wanaukataa ukweli huu kwamba tukiendelea kuamini kuwa Kiswahili ni "Lugha ya Kimataifa" madhara yake ni makubwa na ni asi katika soko la ajira za kimataifa. Inawezekana Mama amekwamishwa na kujua lugha moja tu:Kiingereza (ingawa vile vile sina uhakika kama anakijua vizuri, kwa viwango vya wakubwa wetu).

Sio kweli. Huyu mama ni mjuzi wa lugha nyingi za kimataifa ikiwemo kiingereza, kifaransa na kijerumani kwa ufasaha. Swala kushindwa kuperform ni kitu kingine kabisa. Nafasi za kimataifa zina mambo mengi sana yanayotokana na lobbying na sio performance pekee.
 
Alidhani kuna usanii kama Tanzania ambapo hata Kikwete amekuwa Rais wa nchi.
 
Posted on July 11, 2012 by VoxMedia

Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit "in the diverse and complicated body" were some of the reasons she was refused a contract renewal.

"The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances," the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. "She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete. It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania's vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete's vote. But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for "poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate."

SOURCE: Why Dr. Migiro lost her UN job | Vox Media | Get Informed, Inform others
jobs acquired through favors(be it personal or otherwise) are always doomed for failure....Her very premature international experience was not compatible with the UN post....and now (in TZ) we keep hearing about her new prospective offers for the TZ presidency.......just to lure the TZ female voters ..come 2015 elections(considering that ..if this happens...it will be the first time in TZ history)...just as they did with Anne Makinda......electing a bogus Speaker...just for her labia(shavu).....only in TZ yaani.....
 
Mzito K Ok, She has to go but for your Information No Assistant Sec. General of United Nations has stayed with His or Her Boss

for full 8 years tenure; During Boutros Boutros Ghali do you have a guts to mention one of his Secretary Generals?

If, then she was not capable why he still assigned her work? And the other Sec General has been replaced as well

* THE SOURCE; Is giving me a second thought... VOXMEDIATZ.COM - that's the only source tried to research to other media

source futile results

"More familiarity" Lets think the way back and consider it as a failure to her.....Lets accept our weaknesses and look for proper ways of solving them.....TAKE NOTE
 
Kumbe kafukuzwa kwa sababu ya udhaifu na utendaji mbovu?? Na hapo je!!!? Mtasema ni Chadema?

Jamani msipende sana kusema mambo ya watu, hapo ulipo wewe una uzuri gani?? what is chadema by the way?? mmewapa madaraka mkaona kuwa wanafaa?? watanzania acheni hila. Hila ndio zitatufanya tuwe maskini na wapumbavu milele. period
 
UN acha! Ni shirika moja mtu yeyote anyetoka huko kwa sifa basi itakua ujinga mkubwa kwa taifa lake kutomtia maanani. Ndipo majaaliwa ya Salim A Salim yanaponisikitisha sana. Bila shaka chuki, fihi, wivu vya baadhi ya watawala wetu vimechangia kufanya Tanzania isipate faida kubwa ya uzoefu wa Dk Salim.
Kama ningekuwa mkuu ningemfanya Salim, Mahiga at least kuwa top ya washauri wangu.
 
Yule mama nilijua tu lazima achemshe wewe kila siku upo Tanzania.Tena wamemvumilia sana
 
Posted on July 11, 2012 by VoxMedia

Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit “in the diverse and complicated body” were some of the reasons she was refused a contract renewal.

“The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances,” the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. “She wasn’t popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.”

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete. It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania’s vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete’s vote. But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for “poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate.”

SOURCE: Why Dr. Migiro lost her UN job | Vox Media | Get Informed, Inform others

Unafiki mkubwa, never ever seen for entire of my life.
 
Na hawa nao ni wazungu?

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. “She wasn’t popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.”

Ni afadhali uwe under-performance kuliko kuwa kuna mabaya huyo Mama amefanya.
Kwa sababu amemaliza miaka 5 na nusu bila kashfa yoyote wala baya alilolofanya, kwa hilo tu anahitaji hongera na sio kumsakama humu ndani, kana kwamba mlikuwa mnaomba kutwa kucha huyu mama ajikwae tu kidogo ili mpate cha kuandika.
Kwa vile hakuna alipojikwaa na mkachelea kukosa cha kuandika ndio maana mnaanza kutafuta umbea hata kwenye mitandao ya udaku, ilimuradi tu muupate udaku wa kuandika.
 
Mtazamo wangu,
Msimamo wa Tanzania kuhusu Libya unaweza kuwa sababu kubwa ya mama Migiro kuenguliwa UN...
 
Mbona hiyo inafahamika kwani sikuwahi muona hata kwenye mkutano mmoja wa issuecritical kama zile za Israel au Libya alikuwa anajificha ficha kuogopa Challenge hebu sasa ona amekuja DSM kudanganya eti amefanya the best.

Kwa hiyo wewe ulitaka ajitangaze kwenye press kama viongozi wenu wanavyofanya huku?
Hiyo sio kazi yake, yeye hakuwa msemaji wa UN kwa hiyo haikutarajiwa aonekane kwenye press kuzungumzia kitu fulani kama ulvyotarajia wewe. Pole kwa hilo.
Yeye kazi yake ilikuwa ni kuongoza secretariet and kuanda progrm mbalimbali na siyo kujianika kwenye press.
Yapo mengi sana yamefanywa na Migiro nyuma ya pazia ila ni vigumu mimi na wewe kuyafaham kwa uwepesi kwa kuwa yeye migiro alikuwa ni mtendaji zaidi na sio politician wa UN.
 
Mimi nataka asimame mgombea wa urais kupitia SSM 2015. Nitagombea naye kama mgombea binafsi. Mtikila upo? Ile rufaa yetu imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom