duh? wakati tuko vyuoni tulikuwa tunahoji viwango vya ufaulu vya wasichana kulingana na uwezo wao halisi, tulionekana wabaguzi wa jinsia hayo ndo matunda yake alifaulu sana darasani lakini hawezi kuperform waliomfaulisha wana guilt consious
ni kwanini?? baada ya kutokea hiyo nafasi haukufanyika mchakato wa kumpata right person na akapewa yeye hiyo nafasi bila upendeleo??? pale Foreign Affairs kuna watu wana weledi mkubwa wa mambo ya kimataifa wameachwa, ameibuliwa huyu mama kwa sabau ya ushikaji na wakubwa wa CCM
raisi JK amekuwa akiteua watu bila kufanya vetting madhara yake ndo haya anaishia kuambulia aibu. na huyu mama
asilete mbwembwe na kutudanganya Watz. atulie tu akiugulia maumivu
CCM wasidnadhani fitna,majungu na uchawi ubabaishaji vina nafasi katika ushindani huko kwa wenzetu