Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa

lazima utakuwa hamnazo!!!
Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
 
Dr Migiro hakufukuzwa kazi, alimaliza mkataba wake na UN. Na hata Ban ki Moon naye anamaliza mkataba wake. Hakuna kazi permanent UN. Unapewa contact, ikiisha unaweza ongeza. Au usiongezewe kutokana na performance yako.
Sijui watu wengine hawajui au wanaamua tu kuandika ili mradi wameandika. Alikuwa anataka Dr. Migiro awe Nkurunzinza? Basi itabidi Korea nao watoe tamko kwa kuwa Kimoon anaondoka UN.
Nakubaliana na kauli ya Elimu, Elimu, Elimu.
 
Another maandazi mada. Not even aligned with what Tanzanians want to hear!!
 
Hivi Naibu Katibu Mkuu UN huwa anaajiriwa na kufukuzwa kazi na Katibu Mkuu wa UN!? Naomba kujuzwa hilo tu.
 
Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Wewe mmbeya tu miaka yote ndo unaleta humu
 
Dr Migiro hakufukuzwa kazi, alimaliza mkataba wake na UN. Na hata Ban ki Moon naye anamaliza mkataba wake. Hakuna kazi permanent UN. Unapewa contact, ikiisha unaweza ongeza. Au usiongezewe kutokana na performance yako.
Hapana aliwai kabla ya muda wake
 
Kwa nini imekuchukuwa Miaka yote hiyo kuja na pendekezo kama hilo? Kwa nini usingetoa hili pendekezo punde tu tukio lilipotokea?
Kasikia kwa jirani. Typical Tanzanian! Huyo mama hakuwa anaiwakilisha serikali ilikuwa kibarua chake binafsi. Sasa serikali hapo inaingia je?
 
Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.

Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Umemsahau na aliekuwa mkurugenzi HABITAT yenye makao makuu Nairobi, Anna Tibaijuka.. nae alifukuzwa au ?
 
Kama swala la Dr Migiro lilikuwa ni mkataba kuisha na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hakuona umuhimu wa kuoongeza mkataba huu wakati hiyo nafasi ilierndelea kuwepo na ilijazwa na Jan Eliasson ina maana alikuwa hamuhitaji tena. Hata ukiisoma CV ya huyo Jan Eliasson utaona kabisa kwamba hakukuwa na haja ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kumwongezea muda Dr Migiro. Lakini kama kuna nia ya kufukua makaburi, mbona hamuulizi kwa nini Mama Mongella alikatishwa ghafla nafasi yake ya Spika wa Bunge la Afrika???
Umenena vyema, ange google akaona majanga ya Migiro huko UN. Alipeleka uswahili wake kule. IPO article inazungumzia hio ishu. Ya Mama Mongela siifahamu vizuri aiseee inawezekana alipeleka figisu za CCM huko nako! Ccm wanaharibu watu aiseee
 
Unataka serikali ifanye nini? Itoe tamko la nini? Huyo Migiro alifanya nini? Taarifa yako haijakamilika na unaandika kama vile wote tuna background info kuhusu kilichompata huyu Migiro na mambo ya protokali .
Maharage ya siku hizi nafikiri hayafai kuliwa, watu wanavimbiwa ovyo na kuleta nyuzi za ajabu sana
 
Back
Top Bottom