Uzushi, hawa wazungu waliitaka hiyo nafasi siku nyingi, yuko jamaa kutoka ujerumani amekuwa akiiwania hiyo post siku nyingi kwa kumzushia mambo mengi sana dada yetu,kna wakati walijaribu ku question hata PHD yake aliyoipata huko Ujerumani lakini akashindwa,sina uhakika kama atakuwa amepewa yeye hiyo nafasi,nilikuwa sielewi kumbe hata wazungu fitina ni nyingi?Bitna,Bitna,Bitna kila mahali hasa kukiwa na lishe nzuri,
Mkuu nilisema tokea mwanzo huyu mama alikuwa ni mzigo wa kufa mtu kwa Ban Ki moon alitimuliwa vibaya mno
Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?
Mbona hiyo inafahamika kwani sikuwahi muona hata kwenye mkutano mmoja wa issuecritical kama zile za Israel au Libya alikuwa anajificha ficha kuogopa Challenge hebu sasa ona amekuja DSM kudanganya eti amefanya the best.
mmh nimeipenda hiyo vesi yakoDont go chasing waterfalls. stick to the rivers and lakes that you are used to (TLC lyrics)
Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?
Lakini Chama cha Magamba watakuambia kuwa Rose ameamua yeye mwenyewe kupumzika baada ya kuutumikia Umoja wa Mataifa kwa utumishi uliotukuka! Kweli wajinga ni chakula cha waliosoma!