Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

From day one it was obvious for all but the non-observant that she was highly unsuited to the job. As to why she was assigned the job it is simple: Hers (just like the Malagarasi bridge) was the question of South Korea saying "thank you" for the role Tanzania played to land the top UN job to their man. If you have been following the development of her being offered the job, Ban Ki-Moon pleaded to her critics for her to be given a chance to prove herself in the job. Well, they did give her the chance and she miserably failed to prove herself - as opposed to what Ban Ki-Moon hoped!

Ushauri mbaya wa Omy Mjenga na kumpa kazi Sierra Leon jamaa kachemsha hadi mama kapata matatizo. mpenda sifa lazima anyooshe kidole ndani chupa.
 
even her name is okwadi.....asha - rose wazungu hawapendi kutokumuelewa mtu....why asha then rose why not Asha in its own au rose in its own asha????? then may be imewapa fikra mbaya toka walipomuona na ikapelekea mambo mengine yasiende...mambo haya inabidi ijulikane klia who are yuu kana ni herieth-mwanaasha mmmh inaleta fikra ambazo si nzuri
mara anaapa na kitabu cha dini ya asha huku kumbe alivyoolewa aliamua kuwa rose basi watu waweza dhani wewe ni oppotunistsi
liwalo na liwe
 
Sikiliza na upanuke zaidi Mkuu;

mwalimu wa mtu si lazima awe ni yule tu anayesimama mbele ya darasa lake na kuanza kuvunja vunja mi-chaki pale. Kubwa zaidi, mwaalimu wako ni pamojaa na wale wanaoshiriki DECISION-MAKING SYSTEMS, STRUCTURES AND DIPPING THEIR BICK FROM THE SAME POOL OF RESOURCES toward aaccomplishing one super-ordinate corporate goal.

UDSM, for one, had a view to produce all students to record-setting levels, aand that is a faact that can never be down-played. It is only you and me who are not raising any higher the burning candles of institutions that created us to a self-sustaining point.

Hadi hapo, Prof Migiro, kwa uelewa wako alikua ni mwalimu wa Mama yetu Rose au hapa?? Anyway, often than not, to junior minds, a coin do have two sides but the superior one they would often be accessing even the third if not say a word about it all.

Tatizo Ben Saanane alishawaonya kutokuzoea KUKARIRI sana mambo lakini naona somo kumbe halikufika kokote kule. Karibu tena mkuu.


Uwezo Tunao,

..unapopewa taarifa kama hizo inabidi ufanye utafiti wako mwenyewe ili kujiridhisha.

..Prof.Cleophas Migiro ni mhadhiri idara ya Chemical Engineering pale UDSM, wakati Asha-Rose Mtengeti ni mhitimu wa kitivo cha Sheria.

..mimi sina habari kama mhadhiri wa Chemical Engineering anaweza kupangiwa kipindi chochote kile kufundisha wanafunzi wa Faculty of Law. nakuomba urudi kwa aliyekupa habari hii ili uyahakiki upya madai yako.
 
Ukiona habari haina hata jina la mwandishi ujuwe ni udaku tu hakuna zaidi.
 
Ushauri mbaya wa mpenda sifa Omy Mjenga baada ya kupewa kazi Sierra Leon akaanza kumkaanga mama yetu hadi kumletea shida. Ukipewa kitengo fanya kazi sifa majigambo hayakusaidii kijana
 
Kuna post ya ndugu yetu inatujuza kuwa sasa huyu mama anaratibu ziara ya Rais wa Liberia kuja nchini kwa kushirikiana na baadhi ya wanawake wenzake.Hilo kiutaratibu halivutii kabisa na tukibashiri ana ndoto ya urais tusionekane wachochezi!!Binafsi sina chuki naye ila nilikuwa sipendezwi na ukaribu wake na media wakati alipokuwa akirejea nchini.Juzi kaja na habari kuwa "ooohoo nimefanya kazi kubwa hadi Moon kanipa kazi ya kusimamia UKIMWI AfrikA"!!Hiyo dikta naye kaona ni ishu ya kutueleza...tofauti kabisa na yeye,tuna watu makini kama Salim Ahmed Salimu na Augustine Mahiga wanasimamia programu nyeti na hawana muda ya kujieleza eleza.Ndoto ya urais ni vyema aachane nayo.Ajipange kugombea Uenyekiti wa serikali za mtaa pale Mlimani katika uchaguzi wa mwakani.
 
msitafute mchawi its "weakness"

karibu nasikia wewe ndiyo mgombea wetu wa urais 2015 -- karibu home mamii.
 
Haaaah,haaaa, hiiiiiiiiiiii, wakuu hii haihusiani na M4C International, huko Marekani na Ulaya kweli?maana tunazushiwa mengi ati
 
hiyo source imetolewa na wabongo hapa hapa bongo vox media iko wapi? mbona inaonyesha website ipo bongo hapo? au tuamini chombo kipi sasa?
 
Uswahili ulimzidi, kila siku alikuwa kiguu na njia kuja bongo, badala ya kutulia chini na kufanya kazi...

Alikuwa anakuja kupata kisomo ili apate second term badala yake mambo yakawa mabaya!! Ulaya kazi hazipatikani kwa kuroga bali kufanya kazi na watu wazione!!
 
UN ina siasa za kuegemea upande mmoja na unafiki.
Ili ufanikiwe kufanya kazi UN ni lazima uwe mtu uso ona aibu kusema uongo.
Mkubwa akijamba unaita radi
Mdogo akijamba unasema kavimbiwa.
Siamini kwamba Dr Migiro ni weak
UN ni weak
 
Tukatae tuu ila huyu mama katuoshea jina nchi yetu, nani alikua anaijua Tanzania? Hata kama kaboronga ila bado yupo juu sema raia
bhatanzania bhana daaah?! Majungu mmezoea
Kawaoshea jina? Tanzania ikijulikana sana UN enzi za Salim Salim. Au tuseme ulikuwa hujazaliwa?
 
... na hiyo ni faili moja tu; faili nyingine mbili nyeti zaidi juu yake huyu mama tayari iko CHADEMA hivyo siku akirogwa kukimbilia tu tiketi ya Magamba hapo ndipo atakapojiuliza kwamba hee hata haya nayo yajulikana kote huko???????????
Unazungumzia ile ya biashara yake na Riziwani?
 
alifikiri jamaa hao wanahongeka kirahisi.....walimtolea nje maana walikuwa hawaoni mama aki-deliver....kila siku alikuwa mguu na njia kuja bongo

halafu kuna siku aliniudhi sana hasa pale alipoona wazungu wanatoka nje ya mkutano pale raisi wa iran alipoanza kuhutubi..nae alitoka......nilijiuliza maswali mengi sana maana hapa bongo tuna ubalozi wa irani na hakuna ugomvi na hvi juzi tumewapa bendera yetu wapeperushe kwenye meli zao....
Ile ya kutoka nje wakati rais wa Iran anahutubia alitaka kuwafurahisha Wamarekani. Nasikia talking points nyingi zake alikuwa anapewa na State Department. Alisahau kuwa yeye ameajiriwa na UN na wala siyo US.
 
Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?

Atateuliwa kuwa mbunge halafu atapewa uwaziri kama kawa
 
And then kuna watu humu wana campaign awe Rais wa JMT 2015. Janga lingine la Taifa linakuja kama tusipokuwa waangalifu.



Labda baba Mwanaasha anataka kutawala tena indirect for another five yrs!!!!

Kumpigia debe huyu kwanza kutaibua hisia nyingi sana dhidi ya udini hasa baada ya failure ya JK.
 
Back
Top Bottom