Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?

Yuko sahihi, sifa zaweza kuwa chanya au hasi. Kwake nadhani kaleta sifa HASI! Karibu bongo
 
Alikuwa anakuja kupata kisomo ili apate second term badala yake mambo yakawa mabaya!! Ulaya kazi hazipatikani kwa kuroga bali kufanya kazi na watu wazione!!

Alikuwa akienda Mafia yeye, Nagu, na Anne Makinda kufanyiwa visomo pia na kujenga shule na wakorea
 
Kuna mambo mengi sana ambayo hayapo katika syllabus yeyote ile rasmi duniani ,lakini vitabu vinapatikana kwa anayaetaka kjiendeleza binafsi na hatimaye kuwa star wa ukweli.

Wengi mtasema GPA sijui CCM ,LAKINI NI KUJINOA na kuwa na uwezo mkubwa wa ku deal na watu na sio makaratasi ndio mbinu ya mafanikio katika field yeyote ile.

Tujaribu kuangalia upepo unavyobadilisha mwelekeo na tubadilike accordingly.
 
ukweli kuhusu hili ni kwamba Tanzania imepoteza nafasi nzuri ktk UN kutokana na kuitumia VIBAYA nafasi tuliyoipata. Tumepoteza sababu wahusika waliacha kupeleka diplomat competent, badala yake wakaona ni nafasi ya 'kuula' na kupeana asante. Tatizo ni lilelile tu, SHALLOW GREEDY MINDS at key positions.
Wahusika wangekuwa na upeo wangepeleka COMPETENT & EXPERIENCED DIPLOMAT ambaye angepata nafasi ya kufanya kweli huko UN (exposure/ platform) na labda wakati huu mtu huyo angepanda juu zaidi, na sio kurudi bongo ...kushika chaki.
Total SHAME.
 
Migiro anaweza kushindwa kufit, lakini kutokufit kwake kunachangiwa pia na Tanzanian foreign policy.
Kwa mfano, Tanzania hawana proper diplomatic relation na Islael wakati nchi zote zinashikilia maamuzi ya UN zinaurafiki wa karibu na Israel.
Tanzania ina ushirikiano wa karibu na Iran, wakati main stream UN mentality ni anti-Iran. Sasa Migiro anajikuta katika kuchagua kuserve nchi yake au kuserve MABWANA.
Katika diplomasia Migiro anatakiwa asiiangushe nchi yake. Hapo ndipo anapopachikwa jina la kutokufit.
Kumbukeni salim pia pamoja na kuqualify, lakini International Policy ya Tanzania ilifanya haonekane ataleta "zengwe" kwenye ofisi ya katibu mkuu wa UN!
 
"her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete." Mmmmh makubwa hayaaa tenaaa. Nakumbuka picha kaliyopigwa kamemu-engulf kikwete zero distance kipindi ameshinda urais pale ikulu. Km kuna mdau anayo hebu iweke hadharani tujikumbushie.
 
[h=3][h=1]Ukisoma hapa chini unajua hii VOX Media ni ya nani. Angalia hizo useful links walizoziweka kwenye site yao. Mwenye macho haambiwi ona!!! Le Mutuz, Le Baharia upoooo???

Contact Us[/h]Vox Media Centre Tanzania
P.O.Box 7439 Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 222 128 694
Mobile: +255719 001 001
Fax: +255 222 128 695
Email: info@voxmediatz.com



Useful Links[/h]JamiiForums
Ngurumo Blog
Tanzania Daima
 
Sikiliza na upanuke zaidi Mkuu;

mwalimu wa mtu si lazima awe ni yule tu anayesimama mbele ya darasa lake na kuanza kuvunja vunja mi-chaki pale. Kubwa zaidi, mwaalimu wako ni pamojaa na wale wanaoshiriki DECISION-MAKING SYSTEMS, STRUCTURES AND DIPPING THEIR BICK FROM THE SAME POOL OF RESOURCES toward aaccomplishing one super-ordinate corporate goal.

UDSM, for one, had a view to produce all students to record-setting levels, aand that is a faact that can never be down-played. It is only you and me who are not raising any higher the burning candles of institutions that created us to a self-sustaining point.

Hadi hapo, Prof Migiro, kwa uelewa wako alikua ni mwalimu wa Mama yetu Rose au hapa?? Anyway, often than not, to junior minds, a coin do have two sides but the superior one they would often be accessing even the third if not say a word about it all.

Tatizo Ben Saanane alishawaonya kutokuzoea KUKARIRI sana mambo lakini naona somo kumbe halikufika kokote kule. Karibu tena mkuu.

Uwezo Tunao,

..This is interesting, but not convincing.

..Mambo mengine mnalazimisha mpaka mnaishia kuonekana vituko.

..It is better to keep it simple sometimes.

NB:

..Kuhusu Ben Saanane yeye haishi kumkweza "swahiba" yake Benard Membe. Nilishamuonya kuwa Membe ni kilaza, na mwongo-mwongo, lakini hakunisikia. Sasa Membe kawaruka CDM, zaidi ana kashfa ya mabilioni[3 billons] waliyotaka kuchota kwa ajili ya safari za Brazi,Swiss,na Arusha.
 
Migiro anaweza kushindwa kufit, lakini kutokufit kwake kunachangiwa pia na Tanzanian foreign policy.
Kwa mfano, Tanzania hawana proper diplomatic relation na Islael wakati nchi zote zinashikilia maamuzi ya UN zinaurafiki wa karibu na Israel.
Tanzania ina ushirikiano wa karibu na Iran, wakati main stream UN mentality ni anti-Iran. Sasa Migiro anajikuta katika kuchagua kuserve nchi yake au kuserve MABWANA.
Katika diplomasia Migiro anatakiwa asiiangushe nchi yake. Hapo ndipo anapopachikwa jina la kutokufit.
Kumbukeni salim pia pamoja na kuqualify, lakini International Policy ya Tanzania ilifanya haonekane ataleta "zengwe" kwenye ofisi ya katibu mkuu wa UN!

...tatizo letu jingine ni kujiliwaza na tujivisingizio shallow tukiacha HARD FACTS, huku tukizidi kudidimia.
 
03_bankimoon.jpg


[h=1]UN SECRETARY GENERAL IS CLEARING HOUSE[/h]U.N. Secretary General Ban Ki-moon is clearing house. Ban put his top advisers on notice that most of those who have served in his inner circle for the more than three and a half years of his run as the U.N.'s chief will have to step down in the coming months, providing him with an opportunity to start his second term with a new stable of younger, reinvigorated leaders, several officials told Turtle Bay.
Asha-Rose-Migiro.jpg
Ban outlined his plans in a meeting with his top executives early last week, saying that officials at the undersecretary general and assistant secretary general level will likely be asked to either move to another post in the field or leave the organization. The U.N.'s deputy secretary general, Dr. Asha-Rose Migiro, has been tasked with approaching top officials to deliver the bad news. It was unclear whether Migiro, a former Tanzanian foreign minister, would also be asked to leave.U.N. officials said that Ban has not yet singled out any individuals who would be required to go. But they said that his top team -- including his chief of staff, Vijay Nambiar of India; B. Lynn Pascoe, the American undersecretary general for political affairs; Angela Kane, the German undersecretary general for management; Kiyo Akasaka, the Japanese undersecretary general for public affairs; and Muhammad Shaaban, an Egyptian undersecretary general for General Assembly affairs and conference management -- were all vulnerable.Sha Zukang, a former Chinese diplomat who serves as undersecretary general for the department of economic and social affairs, would likely stay through next summer to host the Rio+20 conference on sustainable development, said an official familiar with the plan.It is not unusual for U.N. secretary generals, like national political leaders, to shake up their top ranks at the start of a second term. Ban has made it clear from early in his administration that he doesn't like to keep people in the same job for more than five years. But he's also said that he will keep some top officials, particularly those in the field, in their current assignments, and that some would be reassigned to other tasks. Some would be expected to leave the U.N. system, however, much in the way political appointees in national governments are expected to move on following an election.It remained unclear whether any officials would be spared, including Kim Wonsoo, who has served as Ban's right hand man since his years in the Korean foreign ministry. Ban is in talks with key governments, to consider replacements, potentially candidates from the same countries that currently hold top aid posts.For instance, the U.N. chief recently hired a French diplomat, Herve Ladsous, to head the U.N. Department of Peacekeeping, a job which has been held by a French national since 1997, when the previous UN peacekeeping chief, Ghana's Kofi Annan, was elected U.N. secretary general. The United States is expected to try to retain the post in the U.N. department of political affairs
 
Kikwete atapunguza safari za Marekani kwa vile Naibu Katibu Mkuu Rose Asha Migoro hayuko huko tena mwenye kutuandalia vijisafari visivyoisha?
 
True, Koffie Annan aliingia kwa gia ya wamarekani lakini alikuwa na uwezo wa kuwaambia mambo hata kama hawakutaka kusikia. Kama ulifuatilia public enquiry - Bratain, kuhusu vita ya Iraq ndio utaona ni jinsi gani wakubwa walipata tabu ku-deal na na Koffie Annan.

Ile issue ya Rwanda, yes, ilikuwa kwenye dawati la Koffie lakini boss wake alikuwa Boutrous. The buck stops with the master hivyo aliweza kuuma uma mdomo na kitu kinamsumbua sana. Boutrous alikuwa na idea zake kuhusu UN ambazo ziliwachefua wamarekani ndio maana hakupata nafasi ya kufanya term ya pili. Koffie alileta some reforms, lakini hasa alikuwa na ideas (creative ideas) ambazo zinatekelezeka na zenye manufaa kwa nchi maskini kama Tanzania.

Kuhusu Mama Migiro, I think mud-slinging ya UN imemkumba no doubt, hivyo ndivyo mashirika haya yalivyo -ni kufa kufaana na mwenzio akiona upungufu wako mahali anaku-fix bila huruma. Nahisi huyu mama hakuzielewa politics za UN au aliona ni bora to keep her distance. Unfortunately, UN bila mtandao utakwenda na maji. West African wanajua sana kuhimili mikikimikiki na kama sisi tunataka kupata nafasi huko inabidi kujifunza mchezo mzima.

Lingine ambalo nadhani linaweza kuwa limedhoofisha chances zake, ni kwamba kama hakuleta idea - a concret idea yenye ku-add value UN basi hapo unakuwa umetoa mwanya wa watu kukufanyia majungu. Kuhudhuria vikao au makongamano na kutoa report sio IDEA. Na bado sijasikia Ban akisema kitu concrete kuhusu huyu mama badala ya genereal statements.

Kwa Tanzania, anaweza kutoa mchango sehemu fulani fulani lakini kwa jinsi tuko kwenye mkorogo wa matatizo sidhani kama anaweza kuwa na nguvu ya kutatua hayo matatizo. Tanzania tuko kwenye transition period na kama hatukupata kiongozi aina ya Kagame, tunaweza kujikuta tuko kama DRC.

FJM,

..I agree with most of ur points.

..lakini nafasi ya Deputy UNSG ni nafasi ambayo mhusika hu-serve kwa matakwa ya SG mwenyewe. Kwa nafasi hiyo mhusika hutekeleza ajenda za UNSG. Sitegemei DUNSG kuwa na ajenda yoyote ile zaidi ya yale anayoelekezwa na SG.

..Mtanzania ambaye alikuwa na nafasi ya kutekeleza ajenda zake mwenye ni Prof.Tibaijuka. Uteuzi wa DG UN-Habitat unaidhinishwa na security council au general assembly. Kwa msingi huo Tibaijuka akiwa DG wa UN-Habitat alikuwa haripoti kwa SG bali kwa general au security council--sina uhakika which one. Zaidi shirika alililokuwa akiliongoza lina bajeti yake lenyewe. Sasa wote tunaelewa jinsi huyo mama alivyofanyiwa mizengwe na wakubwa mpaka akaondoka UN.

..Wakati mwingine UNSG is under so much pressure kufanya mabadiliko, au hata kuchukua hatua/maamuzi fulani ili kuridhisha kambi mbalimbali zinazovutana ndani ya umoja wa mataifa.

..Ama kuhusu Boutrous Ghali jamaa alikosana sana na Wamarekani. Media zao zikaanza kumuandama bila sababu. Halafu US administration nayo ikajaribu kumuwekea vikwazo, mwisho ikabidi Boutrous abwage manyanga. Uliyoyasema ni kweli kabisa.


NB:

..mimi nadhani kinachotokea hapa kuhusu Migiro ni mambo ya kuchafuana tu kama upuuzi anaofanyiwa Dr.Slaa kuhusu masuala yake ya ndoa.

..kuhusu Migiro kuwa raisi nadhani watu wameshachoka na CCM. She has not shown me anything kwamba anaweza kui-reform CCM na kuweza ku-handle the challenges that r facing the country at this moment and in the near future.
 
Tumuache mama wa watu apumzike zake..amefanya kazi 5 yrs, kama kawaida kila kazi lazima ultimately uache, ufukuzwe au ufe..

Sijaona makosa ya msingi zaidi ya kuchafuliana kwa kawaida kwa wale wanaotaka kuwania urais..Migiro wala hajaonyesha kama anataka kuwa rais..speculations kibao
 
Ile ya kutoka nje wakati rais wa Iran anahutubia alitaka kuwafurahisha Wamarekani. Nasikia talking points nyingi zake alikuwa anapewa na State Department. Alisahau kuwa yeye ameajiriwa na UN na wala siyo US.

Amekukosea nini huyu Mtanzania mwenzako? mimi naona amejitahidi tu..labda uwe na usongo naye mwingine
 
Nchi imeoza kila kona kila mtu ni mpiga Deal, hakuna anayeaminika wala hakuna anayemuamini. Hawa wazee wamechoka hawawezi tena uongozi ILA wamebaki kung'ang'ania wanaweza uongozi
 
Nahapa anafunga chance zote za mtu mwingine kwenye nafasi nyetikamahii kutoka Tanzania.

Tumezoea kunywachai nakupiga umbea ofisini tu hatunajipya kule watu wanapigamzigo na ni creative .Na hii itatucost sana

Tubadilike hii ni aibu

Kwa hili nakuunga mkono, kifua, macho, sikio & mguu pia kwa asilimia 300, na watz tuliowengi hatutaki & hatupendi kabisa kuambiwa ukweli. Ndiyo maana utasikia watz wengi wakitaka wapate kazi serikalini ili watege kazi vizuri!
 
Even professionally she did not fit. Methinks the problem emanates from the way she was appointed to the post of minister for foreign affairs. Apart from Ibrahim Kaduma, Salim Ahmed Salim,John Malecela, Benjamin Mkapa and Oscar Kambona those who became ministers of FA were not supposed to. They lacked qualifications. Migiro's exit should serve as a reminder that merit does matter more than technical know who as it was in the case of the lady above. Take for example Mwanaid Majaar. She was awarded ambassadorial position just because she offered her service to see to it that EPA was successful. Shame on Tanzania for taking serious matters lightly.
 
Back
Top Bottom