Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Liwalo na liwe.Atleast ametuwakilisha nchi nyingi zilitaka hiyo chance lakini walikosa.Hongera dada yangu.Ikiwezekana tugawie hayo mavumba kidogo.We had made history let us go on with other things.
 
Hiyo issue ya JK kumpigia neno apate hicho cheo mbona kila mtu alikua anajua, sasa kama waafrika wenzake walikataa kumpa kura hizo za nje je ingekuaje?

Watanzania tulipata bahati ya kua na deputy secretary wa UN kutoka tanzania, JK angekaa na jopo la washauri wake ili wamtafute mtu safi, mwenye akili sio tu za darasani bali na za kisiasa kwa UN haudili na wenyeviti wa kata au mkoa, ila unadili na marais na waziri mkuu wa nchi zenye vita, majanga, njaa na vitu kama hivyo sasa JK wetu si mnamjua yeye anatafutaga washkaji tu ndio maana tupo hapa tulipo
 
You did not read it right I wrote OAU; will you please double check it before complaining ...

A bird doesn't sing because it has an answer, it sings because it has a song

Which particular bird are you referring to?!?..I love birds,u know.
 
The AUDIT is your personal Expenditure; i.e travelling, hotel stay, food, drinks, clothing, paying an assistant, some
clothing - in which some are being paid by UN due to her position

Precisely what I thought! You can't overspend unless you have an authority to decide to over-spend!!!!

In her case, someone else did authorize her expenditures, so it is hardly surprising that she could not over-spend as she couldn't have done that (over-spend I mean) since the authority would not have approved the over-expenditure (even if she wanted to)!

It is liked being locked in your room and someone claims that your behaviour is very good because you have not been loitering!
 
Haya mambo yalishawekwa hapa JF huko nyuma. Kuna article ilitoka ikieleza sakarasi za huyu mama kusaka support kwa muhula wake wa pili. Baada ya hap kukawa na kama ka-campaign ka kusafisha mambo. Lakini Migiro alipata cheo kutokana na kazi kubwa ya udalali iliyofanywa na Tanzania kumsaidia Ban Ki-Moon kupata cheo cha ukatibu mkuu. Wakati wa kumpata katibu mkuu UN, Tanzania ilikuwa chair wa AU, lakini pia ilikuwa inashikilia kiti cha usalama kwenye UN-security Council ikiongozwa na Balozi Mahige. Ni kwa kutumia nafasi hizo Tanzania iliweza kufanya ushawishi ndani ya AU na kumuunga mkono Ban Ki-Moon.

Hata hivyo kwangu mimi huu ni mchezo mzuri kwenye siasa za kimataifa na inaleta sifa nzuri kwa Tanzania kama tunaweza kuwa na ushawishi. Shida sasa inakuja kwenye utendaji wa hao wanapata nafasi hizo. Tanzania tunaonekana kususua, kuna issue ya Getrude Mongela, Prof Tibaijuka naye aliondolewa kwenye kiti cha mambo ya Mazingiria UN na kukawa na kelele kelele. Sasa tuna hii ya Migiro. Pengine tujiangalie tena ili kubaini namna nzuri ya kujiimarisha ili hao wanaopata nafasi kwenye hivyo vyombo wanfanye vizuri.

Kwa kuongezea hapo ni kwamba tetesi za redio mbao zinasema kwamba hata lile kasri lake alilojenga oysterbay baada ya kubomoa nyumba walizogawiana kama njugu wakati wa utawala wa njomba Nkapa lilijengwa kwa 'asante' kutoka serikali ya Korea. Wakorea walikuwa wanatafuta hiyo nafasi kwa gharama yo yote na walifanikiwa. Duniani kuna mambo!!
 
Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. “She wasn’t popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.”


..sasa hao Waafrika waliokataa kum-support ndiyo wameula wa chuya sasa kwa DUNSG kuteuliwa toka Sweden.

..tatizo la Migiro, pamoja na Tibaijuka, ni chama chao. Hakuna anayeweza kusalimika ktk uozo ulioko ndani ya CCM. Every good and reputable person ameishia kuonekana kama mwendawazimu kwa kushiriki siasa za CCM. Look at Dr.Tibaijuka,Dr.Mwakyembe,Dr.Maghembe,Dr.Kawambwa, huwezi hata kuamini kwamba ni PhD holders.
 
Every brain filters in its own way!! TZns complements are always critics!! I wonder who could do it in perfect way!!
 
Uzushi, hawa wazungu waliitaka hiyo nafasi siku nyingi, yuko jamaa kutoka ujerumani amekuwa akiiwania hiyo post siku nyingi kwa kumzushia mambo mengi sana dada yetu,kna wakati walijaribu ku question hata PHD yake aliyoipata huko Ujerumani lakini akashindwa,sina uhakika kama atakuwa amepewa yeye hiyo nafasi,nilikuwa sielewi kumbe hata wazungu fitina ni nyingi?Bitna,Bitna,Bitna kila mahali hasa kukiwa na lishe nzuri,

Yeah it seems that United Nations also has a christian system. You should know that ubabaishaji unaweza kuwa hapa Tanzania tu, there is very little room for that to happen at UN, and if it somehow it does it will be short lived.

It is not a secret that she was incompetent, and that is the fact why she is out. Jaribu kuangalia vizuri aliingiaje kule ndio utajua ametokaje. Suala la rangi hapa hakuna, angekuwa Tanzania lingezungumzwa kuwa oh kwa sababu yeye ni mwislamu.

Inawezekana kabisa kuwa atakayechukua nafasi yake si mzungu, hata kama akiwa mzungu hatachaguliwa kwa uzungu wake bali kwa uwezo wake.
 
dah mi nilijua tu , eti ohoo mara ana GPA kubwa kutoka UDSM hakuna aliyevunja record kwa kozi ya Law , hivi kwani GPA ndo inafanya kazi wajameni eeh mbona kashindwa sasa na GPA yake ya 4 , ohhhooo JK alimu overstate huyu Dr Rose Migiro ndo maana mambo yamekuwa vice versa , tafakari chukua hatua haki elimu khekhekhe
Kwahiyo issue hapa si GPA nono, ni utendaji tu. Nachelea kusema GPA ya prof. maji marefu na V. Kamata si issue. tuangalie utendaji.
For that case, tuache kuweka CV za wabunge na viongozi wengine humu jamvini.
 
hayo atawaongopea mazuzu kama nape, Komba au Maguluchemba ! Huyu hana lolote alikuwa anachemka tuuu sana sana kafanikiwa kutoa dili kwa ndg zake ambao zamani walijifanya CUF kumbe hakuna lolote !! Aktuale ktk medani za kimataifa katutia aibu kama sasa inavyotokea kwa akina liwalo na liwe...



Mbona yeye sasa anatuambia kuwa utumishi wake UN umemletea sifa nyingi yeye binafsi na Taifa lake la Tanzania? Kumbe alikuwa yupo yupo tu?
 
tatizo la kuwaapoint watu kutokana na ukaribu wake mkuu bila kujali uwezo wa mtu, siuona dr mzima bt kilaza, then anarudi anjimwagia sifa kibaaaaaaaaaaoooooooooooooooooooooo, dem t
 
mkuu,embu tuwekee kwa kiswahili basi si unajua huu utawala wa mabwepande umetubagua elimu ya kata tunaunga unga hata atufiki hata tukifka umri tena inakua kikwazo,tusaidie mkuu
Eee bwana kama hazitoshi hazitoshi tu!
Usilaumu ulemavu wako wa akili kwa mtu mwingine.
 
Bank Moon ni mmoja wa makatibu bomu kabisa kutokea pale UN...yaani jamaa hana msimamo kabisa...:hat:

Asha kamaliza term yake moja inamtosha, bara la Africa lisubiri baada ya miaka mingine 25 kupata nafasi tena....
 
Hawakumuhitaji tena

That's reality we find hard to admit, tatizo nikwamba ule utamaduni wa eti umeteuliwa ni wakati wa kula kuku wenzetu hawana na muda wa kupoteza eti kipindi cha kwanza alikuwa anajifunza sasa tumpe tena ili achape kazi. Tufike sehemu tukubali kwamba kwa mfumo wetu wa kuteuana kwa kuwa tu huyu ni 'mwenzetu' na sio uwezo uachwe,miaka zaidi ya 30 iliyopita Mtanzania akiongea watu wanasikiliza tulifanyaje? na leo tunashindwa nini?

Tukiendelea na so called 'wivu wa kike' kwa mtu anayewakilisha interest za Taifa tutaishia kupata aibu kama nchi na heshima kushuka kila uchao...!
 
Huu ndiyo utanzania, roho kweli kweli!!! Kwani huyu mama kasema yeye alikuwa mungu wa un? Kwanini usije na mafanikio yake ili tuweze kulinganisha?
 
Tunaambiwa ya kwamba kwa miaka hiyo DR Rose alipata kuwa mwanafunzi wa mwalimu Prof Migiro wa pale Mlimani. Akawa ni mtu kichwa kweli kweli mbele ya wanafunzi wengine hadi kuweka 'rekodi' huko law.

Lakini mwisho wa siku ndipo akaweka rekodi nyingine kubwa zaidi ambayo haitokaa ivunjwe kwa vyo vyote vile; akachaguliwa kuwa 'Mama ya Wtoto' wa mwalimu wake huyo - Prof Migiro hadi kesho.

Uwezo Tunao,

..unapopewa taarifa kama hizo inabidi ufanye utafiti wako mwenyewe ili kujiridhisha.

..Prof.Cleophas Migiro ni mhadhiri idara ya Chemical Engineering pale UDSM, wakati Asha-Rose Mtengeti ni mhitimu wa kitivo cha Sheria.

..mimi sina habari kama mhadhiri wa Chemical Engineering anaweza kupangiwa kipindi chochote kile kufundisha wanafunzi wa Faculty of Law. nakuomba urudi kwa aliyekupa habari hii ili uyahakiki upya madai yako.
 
Back
Top Bottom