Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Hivi Ban Ki-Moon naye amefanya jambo gani kubwa na bora kwa ulimwengu? Amefanya nini kutatua migogoro ya DRC, Somalia nk. Amefanya nini kuhusu Al bashir wa Sudan; na anafanya nini kuhakikisha wananchi wa Syria hawaendelei kumalizika kwa vita?


Sijui kama UN watapata Secretary General creative and sharp kama Koffie Annan. Yule bwana (actually ni prof) anaijua kazi ya UN na alileta mambo mengi sana (i.e MDGs) na uzuri wake alikuwa anajua kutafuta wasaidizi wazuri. Na alikuwa na guts ya kuwaambia Marekani ni wapi wamekosea hata kama hana nguvu ya kuzuia lakini anasema tu.

Ban Ki-Moon ana viatu vikubwa sana vya kuvaa na so far ....sioni kama anelekea.
 
Kimsingi Dr. Asha Rose Migiro alipata post hiyo baada ya sisi kuuza kura yetu kwa Korea ya Kusini ambako ndiko anatoka Ban-ki Moon. Katika baraza la usalama la umoja wa mataifa. Kila wakati nchi za dunia ya tatu kama Tanzania hupata nafasi ya kuwa na kura moja. Unajuwa baraza la usalama ni la wakubwa. Hivyo ikatokea kwamba wakati katibu mkuu wa umoja wa mataifa anachaguliwa ngekewa ilitudondokea sisi Tanzania kwani ilikuwa ni zamu yetu kuwa na kuwa hii ambayo ama ingeweza kumpa Ban-Ki Moon ukatibu au kumnyima. Hivyo Korea Kusini ikafanya lobbying, tukakubali. Tukawapa kura yetu na wao kwa kupitia Ban-Kii Moon wakatupa hiyo post aliyopata Dr. Migiro

Kwa hiyo kutokuendelea kwenye hiyo post inawezekana kabisa kuwa ndivyo makubaliano yalivyofanyika. Kama aliomba kwa kipindi kingine akakataliwa inawezekana kuwa aidha alipwaya kwenye nafasi hiyo kwa kiasi fulani au kuna nchi nyingine inahitaji kulipwa fadhila kama tulivyolipwa sisi.

Kingine ni kuwa katika kupata hii post sio kuwa walifanyiwa usaili watu wengi duniani pamoja na Migiro halafu akapatika best candidate akapewa nafasi. Hivyo inawezekana kuna watu wengine ambao ni more effective kuliko yeye,inawezekana.
 
Sijui kama UN watapata Secretary General creative and sharp kama Koffie Annan. Yule bwana (actually ni prof) anaijua kazi ya UN na alileta mambo mengi sana (i.e MDGs) na uzuri wake alikuwa anajua kutafuta wasaidizi wazuri. Na alikuwa na guts ya kuwaambia Marekani ni wapi wamekosea hata kama hana nguvu ya kuzuia lakini anasema tu.

Ban Ki-Moon ana viatu vikubwa sana vya kuvaa na so far ....sioni kama anelekea.

FJM,

..lakini Koffi Annan alikuwa mtu wao Wamarekani.

..walipokosana na Boutrous Ghali wa Egypt wakaamua kumpachika Koffi Annan.

..Koffi kabla hajateuliwa alikuwa na kashfa ya kuzembea kushughulikia genocide ya Rwanda. hivi unafikiri asingekuwa "agent" wa wa-USA angepewa wadhifa ule huku akikabiliwa na shutuma zile?

..pia umeona jinsi kashfa yake ktk masuala ya contracts ilivyozimwa? mbona Boutrous hakupewa nafasi kumaliza kipindi chake kama ilivyokuwa kwa Koffi?

..binafsi nadhani watu wameamua tu kumchafua huyu mama. simuungi mkono kwasababu nakichukia chama chake CCM. vilevile siamini kama Dr.Migiro has what it takes kuisafisha CCM.

lakini kwa upande wa hawa wanaomshambulia hapa nadhani wanafanya hivyo kwa kumuogopa. kwa mfano: kwanini hakuna hata mtu mmoja anayem-quote Sec General Ban Ki-Moon kwamba aliwahi kulalamikia utendaji wa Dr.Migiro? Pia, Dr.Migiro is the longest serving UN deputy Sec Gen. Now, why is that considered failure??
 
  • Thanks
Reactions: FJM
FJM,

..lakini Koffi Annan alikuwa mtu wao Wamarekani.

..walipokosana na Boutrous Ghali wa Egypt wakaamua kumpachika Koffi Annan.

..Koffi kabla hajateuliwa alikuwa na kashfa ya kuzembea kushughulikia genocide ya Rwanda. hivi unafikiri asingekuwa "agent" wa wa-USA angepewa wadhifa ule huku akikabiliwa na shutuma zile?

..pia umeona jinsi kashfa yake ktk masuala ya contracts ilivyozimwa? mbona Boutrous hakupewa nafasi kumaliza kipindi chake kama ilivyokuwa kwa Koffi?

..binafsi nadhani watu wameamua tu kumchafua huyu mama. simuungi mkono kwasababu nakichukia chama chake CCM. vilevile siamini kama Dr.Migiro has what it takes kuisafisha CCM.

lakini kwa upande wa hawa wanaomshambulia hapa nadhani wanafanya hivyo kwa kumuogopa. kwa mfano: kwanini hakuna hata mtu mmoja anayem-quote Sec General Ban Ki-Moon kwamba aliwahi kulalamikia utendaji wa Dr.Migiro? Pia, Dr.Migiro is the longest serving UN deputy Sec Gen. Now, why is that considered failure??

True, Koffie Annan aliingia kwa gia ya wamarekani lakini alikuwa na uwezo wa kuwaambia mambo hata kama hawakutaka kusikia. Kama ulifuatilia public enquiry - Bratain, kuhusu vita ya Iraq ndio utaona ni jinsi gani wakubwa walipata tabu ku-deal na na Koffie Annan.

Ile issue ya Rwanda, yes, ilikuwa kwenye dawati la Koffie lakini boss wake alikuwa Boutrous. The buck stops with the master hivyo aliweza kuuma uma mdomo na kitu kinamsumbua sana. Boutrous alikuwa na idea zake kuhusu UN ambazo ziliwachefua wamarekani ndio maana hakupata nafasi ya kufanya term ya pili. Koffie alileta some reforms, lakini hasa alikuwa na ideas (creative ideas) ambazo zinatekelezeka na zenye manufaa kwa nchi maskini kama Tanzania.

Kuhusu Mama Migiro, I think mud-slinging ya UN imemkumba no doubt, hivyo ndivyo mashirika haya yalivyo -ni kufa kufaana na mwenzio akiona upungufu wako mahali anaku-fix bila huruma. Nahisi huyu mama hakuzielewa politics za UN au aliona ni bora to keep her distance. Unfortunately, UN bila mtandao utakwenda na maji. West African wanajua sana kuhimili mikikimikiki na kama sisi tunataka kupata nafasi huko inabidi kujifunza mchezo mzima.

Lingine ambalo nadhani linaweza kuwa limedhoofisha chances zake, ni kwamba kama hakuleta idea - a concret idea yenye ku-add value UN basi hapo unakuwa umetoa mwanya wa watu kukufanyia majungu. Kuhudhuria vikao au makongamano na kutoa report sio IDEA. Na bado sijasikia Ban akisema kitu concrete kuhusu huyu mama badala ya genereal statements.

Kwa Tanzania, anaweza kutoa mchango sehemu fulani fulani lakini kwa jinsi tuko kwenye mkorogo wa matatizo sidhani kama anaweza kuwa na nguvu ya kutatua hayo matatizo. Tanzania tuko kwenye transition period na kama hatukupata kiongozi aina ya Kagame, tunaweza kujikuta tuko kama DRC.
 
Kumbe kafukuzwa kwa sababu ya udhaifu na utendaji mbovu?? Na hapo je!!!? Mtasema ni Chadema?
 
As Tanzanian Says Migiro Out as UN DSG, Malcorra "Awkward" Amid S. Sudan Scandal?

By Matthew Russell Lee

UNITED NATIONS, January 21 -- For months Asha-Rose Migiro has tried for a second term as Deputy Secretary General of the UN, asking the African Group of nations to pressure Ban Ki-moon to keep her on. But just as Ban ignored African Group requests to appoint a full time Special Advisor on Africa, now Tanzanian officials are saying Migiro is "coming home;" Ban has rebuffed Migiro's and the African Group's requests.

* Inner City Press has for months, including specifically on November 25, been reporting that Ban had tabbed former corporate executive Susana Malcorra to replace Migiro.

* The argument made to Inner City Press by Ban insiders is that Malcorra is still a "woman of the developing world," being from Argentina. As if to prove it, in late December Malcorra incongruously took on roles during late night budget negotiations for the developing world Group of 77 and China.

* But events this year in South Sudan, where as head of the UN Department of Field Support Malcorra was largely in charge of ensuring continuous coverage for the UNMISS peacekeeping mission there of military helicopters, make handing Migiro's post to Malcorra awkward, several member states told Inner City Press.

* The Russians told the UN in mid November that they would no longer fly their helicopters in South Sudan. Malcorra's DFS belatedly handed the Russians a substantially amended Letter of Assist, which the Russians rejected and never signed.

* When violence broke out in Jonglei State, and as they had said the Russian helicopters would not fly, attempts were made by the UN to still claim they had responded appropriately.

* UNMISS deputy Lise Grande held a briefing but never disclosed the lack of helicopters and of what Malcorra later described to Inner City Press on the record as "lethal assets to dissuade" attacks on civilians.

* Once Inner City Press on January 11 exclusively reported that the UN had left South Sudan without military helicopter coverage from mid November into January, pushbacks and then attempts at reputation repair began, complete with stealth interviews & spin.

* Ban in a January 18 speech put the entire blame on the Russians, saying that a Security Council member had refused to serve. Ban's spokesman Martin Nesirky, who repeatedly told Inner City Press that countries routinely continuing flying even with expired Letters of Assist, on January 20 answered Inner City Press that things in South Sudan were not as "smooth as we would have wanted."* So who then is responsible?

(c) UN Photo
Migiro gets handshake from incoming Malcorra, Pibor not shown

* During an otherwise quiet moment in front of the Security Council this month, the representative of another major troop contributing country complained to Inner City Press that under Malcorra DFS has gotten "very sloppy" with paperwork; the representative unprompted opined that Malcorra has been using DFS as a "springboard" to become DSG.

* "She doesn't care," the representative told Inner City Press, "Malcorra is like a bird, she if flying on. She is out of synch with what the UN is about, but so is Ban who will promote her."

* So what WAS Ms. Malcorra's role as head of DFS in the lack of military helicopters in South Sudan for more than six weeks and at what Ban called the critical moment? This is a question that should be answered, and would be answered in most well run systems BEFORE any Malcorra promotion to DSG, and without pushback against the press raising the obvious question. But is this UN a well run system? We'll see.

Footnote: perhaps because it is "awkward" to drop Migiro for Malcorra at this time, news that Malcorra would return to Tanzania came not from New York but rather the permanent secretary in the Tanzanian ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Mr John Haule, who said, "We have not received an official document from the UN, but I’m aware that her tenure is almost ending. She also confirmed this development on Thursday," January 19. Watch this site.
 
Anna Tibaijuka = 68%

Getrude Mongela = 13%

Asha-Rose Migiro = 8%

Anne Makinda = 6.2%

Next time acha tumpeleke Mrs. Las Mas Bobos atuwakilishe kwenye majukwaa ya kimataifa. Hawa kwa kweli.....
 
Last edited by a moderator:



Ok, She has to go but for your Information No Assistant Sec. General of United Nations has stayed with His or Her Boss

for full 8 years tenure; During Boutros Boutros Ghali do you have a guts to mention one of his Secretary Generals?

If, then she was not capable why he still assigned her work? And the other Sec General has been replaced as well

* THE SOURCE; Is giving me a second thought... VOXMEDIATZ.COM - that's the only source tried to research to other media

source futile results

Mh! kidhungu kigumu! secretary generals!
 
Watanzania kwa UMBUMBU wetu suala la Migiro kufika tu UN tunaona ni achievement. Na ndivyo ilivyo kwa JK. Kupata Urais tu anaona ni mafanikio. Wanasahau kuwa mafanikio yanatokana na kazi nzuri.
 
Wabongo kwa kulaumu hatujambo, Mbona Dr. Salim Ahmed Salim alipewa majukumu UN na akayafanya barabara.Ila inabidi tukubali kwamba wenzetu hasa wazungu wakiamua kitu hawashindwi ,na bado wanatabia ya kutaka kututawala mpka mwisho wa dunia,hapa yawezekana walipiga FITINA babu kubwa otherwise sioni mapungufu makubwa aliyokuwa nayo kihivo
 
Nashukuruni sana wana jamii kwa information ,naomnba kuuliza hivi huwa anapatikana kwa kutumia njia gani?
 
Hivi Ban Ki-Moon naye amefanya jambo gani kubwa na bora kwa ulimwengu? Amefanya nini kutatua migogoro ya DRC, Somalia nk. Amefanya nini kuhusu Al bashir wa Sudan; na anafanya nini kuhakikisha wananchi wa Syria hawaendelei kumalizika kwa vita?

Nashangaa hata mimi, and in all ernest(sp) please let Migiro be please!

She did her 5 years, made history and live to tell it, what about u ?!
 
Nashukuruni sana wana jamii kwa information ,naomnba kuuliza hivi huwa anapatikana kwa kutumia njia gani?
 
Back
Top Bottom