Acha upupu!
Usije tena ukaleta habari za umbea humu JF, hizi habari ulitakiwa uongee na mkeo chumbani sio hapa JF
Mada zingine bwana .Hata kama unamfagilia si hapa baba .Hii ni JF hatufungamani na hoja za kipuuzi .
Nani kakwambia watu wanamawazo na chadema. Kijijini kwetu twajuta na hawa magandwa na sera yao ya maandamano.huoni sasa yamepungua.CCM wakimleta huyu mama kugombea Urais wamekwisha.CDM itamteua Halima Mdee kupambana naye na atamshinda huyu mama aliyefukuzwa UN.Kumteua Dr Slaa kupambana na huyu mama itakuwa ni kumuonea.
That sh*t has been done for a min, Mrema did the same.
Do you think amefanya uchunguzi au amepewa makaratasi akayasome. Kuna watu wanauza habari za ufisadi online.....
Pick a government, pick a website..... maghreb confidential, Indian ocean newsletter, wikileaks etc...
Hivi vitu vipo all over, 20$ a month. Ila nyie mnadanganywa mikutanoni mkidhani wao ndiyo wamefanya utafiti.
Mwenzako umaskini alishaupa kisogo siku nyingi.karibu nyumbani mama tuendelee kugawana umasikini!!
Hata siku moja huwezi kuniaminsha kuwa kuna tofauti kati ya politcs na corruption. IT'S the extent that matters.Sidhani kama ni mjinga kiasi cha kupewa tu makaratasi asome na yeye kukimbilia kuyasoma bila kufanya uchunguzi wake yeye mwenyewe.
Na kama yangekuwa ya uongo tayari sasa hivi angekuwa anakabiliwa na mi kesi kibao ya kuwachafulia watu majina.
Na pia tuna macho na akili zetu. Ufisadi upo Tanzania na mafisadi wakubwa ni hao hao viongozi wakuu wa serikali wenye access na resources za kufanya ufisadi mkubwa. You don't need to be a rocket scientist or you don't need any kind of special specs to see that!
Au wewe unajua kuwa ufisadi sugu hakuna Tanzania?
Hata siku moja huwezi kuniaminsha kuwa kuna tofauti kati ya politcs na corruption. IT'S the extent that matters.
Tanzania kuna corruption kila kona, na sijasema hizi scandals sio za kweli, lakini just because someone exposes them, doe not qualify him as a person with a presidential track record.
Kama maza anataka kugombea urais, aanze kumawaga points watu watachambua..... simjudge based on the platform that yall running on.
Personally naona bora wanawake wachukue usukani .... hao ndiyo wanaohold down familia nyingi, mibaba bongo inachemsha.
Uchambuzi mzuri: thanx mleta thread
Anadhani Watanzania tunafagilia vichupi chupi/bikini kutuongoza. Anadanganywa na jambazi mkuu wa tz eti atakuwa rais.
kama hauko tanzania hutaweza kujua track record ya Dr. Slaa, Rais anayeongoza nchi kutoka kwenye mioyo ya wananchi. Kama upo tanzania na bado hujui track record ya Mh. Rais Dr. Slaa, lazima utakuwa na cancer ya ubongo!
Saturday, 21 January 2012 08:38
??By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
She was the third deputy secretary-general and the first African woman to hold the prestigious post that was established by the General Assembly at the end of 1997 as part of reforms in the United Nations to help manage secretariat operations and ensure coherence of activities and programmes. The position was also meant to elevate the organisation's profile and leadership in the economic and social spheres.
.
Asante kwa post nzuri mkuu wangu! CCM wako ktk wakati ngumu kutafuta mgombea wao wa 2015. Migiro atafanya makosa makubwa kisiasa kama atajiingiza ktk siasa za majukwaani kwa kuwasikiliza wanaotaka kumtumia ili kuendelea kulinda maslahi yao. Atajichafua na kuchafuka!Wana JF najiuliza Ajenda ni nini hapa? Wenzetu wanasema kuna 'two schools of thought' katika hili.
1. UN kwa sasa inapitia wakati mgumu katika utendaji wake. Michango ya mataifa mbalimbali kuendeleza harakati za umoja huu imekuwa ikipungua siku hadi siku. Baadhi ya wanazuoni wanafikiri kwamba sababu mojawapo ni Uongozi wa juu kushindwa kutekeleza majukumu yake na pia kufanya mambo kisiasa zaidi bila kujali maslahi ya umoja huo pamoja na yale ya wachangiaji wake wakubwa. Mathalani suala ya Palestina kuomba uanachama wa kudumu UN na lile ya UNESCO kuwapatia uanachama wa kudumu kinyume na matakwa au maelekezo ya wachangiaji wakubwa wa shughuli zake kama vile USA kumepelekea mgawanyiko mkubwa ndani ya umoja huo. Katibu mkuu na waandamizi wake wanaonekana kutokuwa makini na kukosa sifa ya kuongoza chombo hiki kikubwa kabisa cha ulimwengu wa leo. Hatima yake imekuwa ni general 'shake up' ili kurudisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chombo hiki. Katika harakati hizo watu kama akina Asha Rose Migiro wamekumbwa na kumbakumba hilo la kiutawala ili kunusuru chombo hicho na pia kurudisha imani ya wadau wake wakubwa. Nafasi ya naibu katibu mkuu wa UN ni kubwa kwani ni mshauri mkuu wa karibu sana wa General secretary. Kwa sababu hiyo Dr. Migiro haonekani kuifanya kazi hiyo sawa sawa (she's been ineffective) kwa hiyo imebidi ashauriwe kuachia ngazi ili apatikane mtu mwingine anayeweza kuvaa viatu hivyo na kuifanya hivyo kazi vizuri zaidi.
2. Mtizamo mwingine unahusu siasa za nyumbani Tz. Kuna tetesi kwamba chama tawala CCM imemuomba aachie ngazi huko UN ili arudi nyumbani kuja kujiandaa kugombea Uraisi pindi bwana JK aliyeko madarakani sasa atakapomaliza muda wake. Wachambuzi wa mambo wanaamini kwamba hali ya CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao iko taabani na bila kufanya maandalizi mazuri wanaweza kupoteza dola kwa chama cha upinzani hasa CHADEMA ambacho kinaonekana kuwakaba koo sawa sawa na zaidi zaidi matatizo ya ndani ya CCM kwa sasa ambapo siasa za makundi zimetawala. Mie nasita sana kuunga mkono hoja hii maana siamini kwamba busara ya baadhi ya watawala wetu iko juu kiasi hicho kuamini kwamba Dr. Migiro ndiye mtu pekee anayeweza kuwaletea ushindi katika uchaguzi ujao. Ila nikiangalia jinsi akina Sitta walivyopigwa vikumbo kwenye Uspika wa Bunge la Tanzania na akawekwa Mama Makinda kwa hoja ya kuwapa akina mama nafasi ya kuongoza mhimili huo mkubwa wa kutunga sheria, napata wasiwasi kwamba haya yaweza kuwa kweli. Wana JF naomba kuwakilisha na pia niulize vyama vya upinzani vimejipanga vipi kuweza kukabiliana na mikikimikiki ya namna hiyo? Dr. Migiro wanamjua vilivyo na wanaweza kupambana naye kwenye 'fair play' iwapo katiba mpya itaridhiwa kuwa inatoa uhuru mpana kwa wananchi kumtaka kiongozi wanayemtaka?
foreign affairs and international cooperation.welcome home mama migiro!
Usikute uko ulikuwa inactive kama noble gas jamaa akaamua akuteme.
Nyumbani ni nyumbani uku kwetu wewe ni jembe ingawa si lenye makari stahiki.
Mid july unaweza sikia jk amteua ..................kuwa mbunge special seat alafu waziri wa...............................
"Track record moja ya Slaa ni kukwapua fedha za ujio wa Papa" (SMW...siy mimi)Acha porojo zako, jibu swali uliloulizwa mkuu.
Kama hauna hizo track record za Slaa si useme tu kwamba hauna, kwani ni kosa?
Na huo ndio ukweli kuwa hana any track record. acha kigugumizi