Kuna sababu nyingine - huyu mama anaumwa nanihii - hivyo aliomba mwenyewe apumzike. Dont quote me p'se.
Mbege inaingiaje hapo? acha unafiki wewe!!!
Huyu mama ana track record gani inayompa sifa ya kuliongoza taifa? Manake watu wasije wakawa wanashoboka tu na hiyo nafasi yake ya UN na kudhani ndiyo ataweza kuongoza Tanzania.
Nani kakuambia Asha Migiro kajiuzulu UN?
JF sio sehemu ya porojo usiokote maneno kwenye vijiwe vya mbege halafu unaleta humu JF.
Kwani huyo Slaa mnaemshabikia ana track record gani?..... WTH?Huyu mama ana track record gani inayompa sifa ya kuliongoza taifa? Manake watu wasije wakawa wanashoboka tu na hiyo nafasi yake ya UN na kudhani ndiyo ataweza kuongoza Tanzania.
Mkuu, watanzania wa sasa hawawezi danganyika na swala hilo au mkakati dhaifu kama huo. Hata wakina Mama wenyewe hakuna atakayeamini kuwa kwa kumpa mwanamke nchi iliyochanwa chanwa na kufisadiwa kiasi hiki inahitaji kiongozi Mwanamke kipindi hiki. Ni dhahiri kuwa kila mwenye mawazo sahihi anajua hata mwanaume asiye kuwa mahiri hataiweza Tanzania kwa sasa. Nakuhakikishia hata mtu kama mtoto wa mkulima haiwezi hii nchi kwa sasa. Inataka mtu makini na mahiri kweli kweli. Siyo siasa za kupokezana vijiti wala kuoneana aibu zitakazotutoa tulipo. Tunahitaji Raisi aliye na ujasiri wa kuutangazia umma kuwa leo nimemsimamisha kazi fulani na kumteua fulani kuchukua nafasi yake. Chadema kwao itakuwa sherehe CCM wakijidanganya kumteua mwanamama kugombea Uraisi 2015.mmmh, mikiki imeanza watachafuliwa na kuchafuana...labda kwasababu ni mwanamke hivyo wanawake wengi watavutiwa nae na idadi kubwa ya wapiga kura ni wanawake na mataifa makubwa wataheshimu uamuzi huo...CHADEMA mko tayari
Kwani huyo Slaa mnaemshabikia ana track record gani?..... WTH?
Mtu wangu uamind mbege ikitajwa!.....Mbege inaingiaje hapo? acha unafiki wewe!!!
Kwani huyo Slaa mnaemshabikia ana track record gani?..... WTH?
Siafadhali mkitawaliwa na wanawake mtalipiwa mahari mpaka nauli za dala dala, kwani tangu mtawaliwe na wanaume ni Mabadiliko gani au umefaidika nn? Ebu wape wanawake muone mtajuta kwanini hamkuwapa tangu zamani...
Wanawake huwa hawapewi wenyewe ndiyo huwa wanatoa. Samahani kama nitakuwa nimetumia lugha ya kijiweni. Si kawaida yangu.
Usije tena ukaleta habari za umbea humu JF, hizi habari ulitakiwa uongee na mkeo chumbani sio hapa JF
Tupe track record acha maneno ya kubabaish.kama hauko tanzania hutaweza kujua track record ya Dr. Slaa, Rais anayeongoza nchi kutoka kwenye mioyo ya wananchi. Kama upo tanzania na bado hujui track record ya Mh. Rais Dr. Slaa, lazima utakuwa na cancer ya ubongo!
:huyu mama sioni kazi aliyoifanya ikaonekana tangu ateuliwe UN,ikitokea kapewa nchi si dhani kama nchi itafika mbali kutakuwa hakuna jipya zaidi ya kuwa na mawaziri wote wa kike na wanaume tanzania tutalipiwa mahali 2kitaka kuoa.
That sh*t has been done for a min, Mrema did the same.Angalau ya kuthubutu kuwa call out mafisadi.