Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

Published On: Fri, Jan 27th, 2012
Tanzania |
Published On: Fri, Jan 27th, 2012

Dr-Asha-Rose-Migiro.jpg

Dr Asha-Rose Migiro

The UN Secretary General, Mr Ban Ki-moon, has announced that the Deputy Secretary General (DSG), Dr Asha-Rose Migiro, whose five-year tour of duty ended last month, will continue serving on the post up to the end of June, this year.

Dr Migiro, a Tanzanian diplomat, had expressed her desire to step down to allow the UN chief compose a new team of senior managers for his second term, that took off this month.

Mr Ban told a news conference in New York on Wednesday that Dr Migiro would remain in office for another five months to oversee smooth transition of UN new team.

He also said it was important for Dr Migiro to stay put to ensure continuity in preparations for the UN Conference on Sustainable Development (UNCSD) or Rio+20 in Brazil from June 20 – 22, this year.

"I wish to express my deep gratitude and appreciation to Deputy Secretary-General Migiro for her unfailing support, wise counsel and dedication in handling many challenges that have faced the organization during my first term," Ban told reporters.

Last month, Mr Ban announced major changes in the senior posts in the UN to balance between the need to bring fresh perspective in addressing the major challenges and maintaining continuity of purpose and priority. He said this week that he had intended to seek nominations for the Under-Secretary-General position of the Department of Management to supplement his own search efforts.

He said "two Under-Secretaries-General - my Special Representative for Children and Armed Conflict, and Special Adviser for Prevention of Genocide, will relinquish their duties mid this year. "I intend to carefully review the needs of these offices, with a view to taking stock of the achievements made so far and to suggest a way forward to scale up and harness institutional synergy with the related offices."

The search and appointment process has started in a transparent and competitive manner, based on merit, while taking geographical and gender balance into account. Prior to her appointment, Migiro served as Minister of Foreign Affairs and International Cooperation from 2006-2007 - the first woman in the country to hold that position since its independence in 1961.

Before that, she was Minister for Community Development, Gender and Children for five years.

As Foreign Affairs Minister, Dr Migiro spearheaded Tanzania's engagement in the pursuit of peace, security and development in the Great Lakes Region. She served as Chair of the Council of Ministers' meetings of the International Conference of the Great Lakes Region, a process that culminated into a Pact on Security, Stability and Development in the Great Lakes Region.

Dr Migiro was also Chair of the Southern African Development Community (SADC) Ministerial Committee of the Organ on Politics, Defence and Security Cooperation and President of the UN Security Council during its open debate on peace, security and development in the Great Lakes Region. Prior to Government service, Dr Migiro pursued a career in the academia. She was a member of the Faculty of Law at the University of Dar -es-Salaam, where she rose to the rank of Senior Lecturer.

By FARAJA MGWABATI, Tanzania Daily News

Good Work... Asha Rose... We as Tanzanians are proud of U
 
vipi ni mambo ya perfomance nini??? anyway napita tu msininukuu vibaya -- haya mamii karibu tena home tuendelee kuugawana umasikini kwa pamoja.
 
Wana JF najiuliza Ajenda ni nini hapa? Wenzetu wanasema kuna 'two schools of thought' katika hili.

1. UN kwa sasa inapitia wakati mgumu katika utendaji wake. Michango ya mataifa mbalimbali kuendeleza harakati za umoja huu imekuwa ikipungua siku hadi siku. Baadhi ya wanazuoni wanafikiri kwamba sababu mojawapo ni Uongozi wa juu kushindwa kutekeleza majukumu yake na pia kufanya mambo kisiasa zaidi bila kujali maslahi ya umoja huo pamoja na yale ya wachangiaji wake wakubwa. Mathalani suala ya Palestina kuomba uanachama wa kudumu UN na lile ya UNESCO kuwapatia uanachama wa kudumu kinyume na matakwa au maelekezo ya wachangiaji wakubwa wa shughuli zake kama vile USA kumepelekea mgawanyiko mkubwa ndani ya umoja huo. Katibu mkuu na waandamizi wake wanaonekana kutokuwa makini na kukosa sifa ya kuongoza chombo hiki kikubwa kabisa cha ulimwengu wa leo. Hatima yake imekuwa ni general 'shake up' ili kurudisha imani ya wanachama kwa uongozi wa chombo hiki. Katika harakati hizo watu kama akina Asha Rose Migiro wamekumbwa na kumbakumba hilo la kiutawala ili kunusuru chombo hicho na pia kurudisha imani ya wadau wake wakubwa. Nafasi ya naibu katibu mkuu wa UN ni kubwa kwani ni mshauri mkuu wa karibu sana wa General secretary. Kwa sababu hiyo Dr. Migiro haonekani kuifanya kazi hiyo sawa sawa (she's been ineffective) kwa hiyo imebidi ashauriwe kuachia ngazi ili apatikane mtu mwingine anayeweza kuvaa viatu hivyo na kuifanya hivyo kazi vizuri zaidi.

2. Mtizamo mwingine unahusu siasa za nyumbani Tz. Kuna tetesi kwamba chama tawala CCM imemuomba aachie ngazi huko UN ili arudi nyumbani kuja kujiandaa kugombea Uraisi pindi bwana JK aliyeko madarakani sasa atakapomaliza muda wake. Wachambuzi wa mambo wanaamini kwamba hali ya CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao iko taabani na bila kufanya maandalizi mazuri wanaweza kupoteza dola kwa chama cha upinzani hasa CHADEMA ambacho kinaonekana kuwakaba koo sawa sawa na zaidi zaidi matatizo ya ndani ya CCM kwa sasa ambapo siasa za makundi zimetawala. Mie nasita sana kuunga mkono hoja hii maana siamini kwamba busara ya baadhi ya watawala wetu iko juu kiasi hicho kuamini kwamba Dr. Migiro ndiye mtu pekee anayeweza kuwaletea ushindi katika uchaguzi ujao. Ila nikiangalia jinsi akina Sitta walivyopigwa vikumbo kwenye Uspika wa Bunge la Tanzania na akawekwa Mama Makinda kwa hoja ya kuwapa akina mama nafasi ya kuongoza mhimili huo mkubwa wa kutunga sheria, napata wasiwasi kwamba haya yaweza kuwa kweli. Wana JF naomba kuwakilisha na pia niulize vyama vya upinzani vimejipanga vipi kuweza kukabiliana na mikikimikiki ya namna hiyo? Dr. Migiro wanamjua vilivyo na wanaweza kupambana naye kwenye 'fair play' iwapo katiba mpya itaridhiwa kuwa inatoa uhuru mpana kwa wananchi kumtaka kiongozi wanayemtaka?
 
huyu mama sioni kazi aliyoifanya ikaonekana tangu ateuliwe UN,ikitokea kapewa nchi si dhani kama nchi itafika mbali kutakuwa hakuna jipya zaidi ya kuwa na mawaziri wote wa kike na wanaume tanzania tutalipiwa mahali 2kitaka kuoa.
 
Usije tena ukaleta habari za umbea humu JF, hizi habari ulitakiwa uongee na mkeo chumbani sio hapa JF

Ameshauriwa hivyo ili kuondoa hali ya kuonekana amekataliwa kuongeza mkataba. Ni njia tu ya kumtunzia heshima yake, vinginevyo ingebidi utolewe ufafanuzi hadharani iweje afukuzwe kazi au kutokukubaliwa mkata mpya.
 
Huyo atakuwa amepigwa chini,ukiona watu walivyoondoka hapo ni msururu,je wote wameamua kujiuzuru?cha ajabu katika taarifa ya moon mwishoni anatamka kwa bashasha kuwa anataka kuunda safu mpya na haonyeshi kama itampa shida,mimi naona UN wameamua kujivua gamba.
 
Nani kakuambia Asha Migiro kajiuzulu UN?

JF sio sehemu ya porojo usiokote maneno kwenye vijiwe vya mbege halafu unaleta humu JF.
 
kugombea urais kwa kufikiria ushindi ni kukosa dira,kwani watz wamelala?kwamba washindwe kujua nan anafaa na nan hastahili.kumleta mtu agombee kwa kigezo ya kulinda maslahi ya chama wafanye hukohuko kwny chama chao na si ktk uongoz wa nchi,vyama vtakufa na kupotea kabsa bali tz itabaki,tunahitaji kiongoz anaetokana na watz walio wengi,mwny kujua shda zetu,mipango yetu na wap twataka kwenda na si kiongoz anaetokana matumbo ya watu flani,wavivu na wachoyo.tz mbele mengne badae!
 
Huyu mama ana track record gani inayompa sifa ya kuliongoza taifa? Manake watu wasije wakawa wanashoboka tu na hiyo nafasi yake ya UN na kudhani ndiyo ataweza kuongoza Tanzania.
 
huyu mama sioni kazi aliyoifanya ikaonekana tangu ateuliwe UN,ikitokea kapewa nchi si dhani kama nchi itafika mbali kutakuwa hakuna jipya zaidi ya kuwa na mawaziri wote wa kike na wanaume tanzania tutalipiwa mahali 2kitaka kuoa.
Siafadhali mkitawaliwa na wanawake mtalipiwa mahari mpaka nauli za dala dala, kwani tangu mtawaliwe na wanaume ni Mabadiliko gani au umefaidika nn? Ebu wape wanawake muone mtajuta kwanini hamkuwapa tangu zamani...
 
mmmh, mikiki imeanza watachafuliwa na kuchafuana...labda kwasababu ni mwanamke hivyo wanawake wengi watavutiwa nae na idadi kubwa ya wapiga kura ni wanawake na mataifa makubwa wataheshimu uamuzi huo...CHADEMA mko tayari
 
Mada zingine bwana .Hata kama unamfagilia si hapa baba .Hii ni JF hatufungamani na hoja za kipuuzi .
 
Kuna sababu nyingine - huyu mama anaumwa nanihii - hivyo aliomba mwenyewe apumzike. Dont quote me p'se.
 
Back
Top Bottom