FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Mama anasema kwenye historia yake hajawahi shindana na mtu akashidwa 😃😃..

Watu wa dizaini yake huwa ni wachache sana,nimewahi kuwa na mwanamke wa aina yake yaani wenye nyota zao toka kwa mzazi wake alikuwa anatunza pesa za familia yaani baba hampi mke wake ila binti yake.

Shuleni kiongozi sio hata kwamba eti kupanga wala,popote akowapo anaaminika haraka Sana na ushuhuda huu haukuishia kwenye hayo tuu hadi biashara na chochyanachofanya kinafanikiwa..

Nilimuogopa nikakimbia maana mkuu unaweza kuolewa 🤣🤣..

Sasa hivi huyo dada ana pesa zake za kutosha ila mambo ya ndoa ndio hayajakaa sawa hapo ndipo kwenye mateso yake ila sio pesa..

Kwa hiyo watu wenye nyota huwa wapo na huwa zaidi kwa wanawake kwa wanaume sio Sana maana tuna mambo mengi vichwani.
Daaaah, Umeongea pointi sana,

Mama anasukuma dude balaaa
 
mkuu umetisha sana
 
Kwamieezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good​

Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.

Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.

“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.

Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili

Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.

“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.

TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21

Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.

Fedha zimeanza kutumwa vyuoni

Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021

Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.

Stratergy walotumia n kugawa kidogokidogo, mm na classmates zangu( mechanical ,marine & mechatronics) hakuna aliyepata hata 90% , how will we study🤔 something is wrong with their staratergy , wengi hatotoenda kusoma

1D6E3E5C-C307-4EE8-8D38-B2B7A6B89CA4.jpeg
 
Inadaiwa 35 m sijawahi kulipa na sitilipa sababu ninao..... hujambo bwana mwita waitara.....
 
hongera mama, nani kama mama jamani.
 
Mnavyosifia utadhani Samia hakuwa sehemu ya serikali iliyopita duh, kashaanza kupora pesa za watu kwenye akaunti zao...kupitia tozo
 
Sio wote halafu mkopo wametoa nusu nusu mno that why wameongezeka eb ngoja batch zote ziiishe ndo tuongee vizuri

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hili nalo linaweza kuwa neno yaani unaweza kuta mwanafunzi ni masikini lakini kapewa hela ya accomodation na meal tena nusu na ada hapewi na unaweza kuta mwanafunzi kwao wanajiweza ila kapewa mkopo wote au asilimia kubwa.
 
Kwamieezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good​

Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.

Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.

“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.

Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili

Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.

“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.

TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21

Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.

Fedha zimeanza kutumwa vyuoni

Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021

Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.

Na hayo ndio makosa wanayofanya ccm kumpromotisana mama mapema mnooo tena mnooo ambayo sii nzuri

Mama awe makini sana
 
Wazee wa kusifia mmeanza
Mtasifia mpaka mama akikosea asijue kama kakosea, nyie hawa hawa ndo mlichangia JPM kukosea kwa sababu ya sifa zenu kusifia kila jambo ambalo wakati mwingine halina ulazima.
 
Eb acha siasa kwa boom la wa 25 wawape nusu nusu watu 40 alafu useme wameongeza. nini sasa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna watu utakuta wamepewa hela asilimia kumi tu ya walichoomba .Mfano mtu anaomba milioni mbili unampa laki mbili halafu mbio unasema wakopeshwaji wameongezeka!!

Takwimu ziwekwe hivi waliopata mikopo asilimia Mia wangapi aasilimia 90 wangapi nk kusema tu wameongezeka na vigelegele na makofi yapigwe Bado

Ila napongeza serikali kwa kuwapa asilimia 100 mapema watoto wa familia Maskini waliokuwa wakihudumiwa na miradi ya kusaidia Maskini ya TASAF kwa Hilo naipigia makofi na vigelegele serikali

Huko kwingine mmmm

Na waandishi wetu wa habari hatuna nchi hii tuna reporters tu wa habari.Wao kwenye Hiyo press conference walitakiwa waulize wangapi aasilimia ngapi mumewapa mikopo asilimia 100 nk lakini wametoka press conference mbio na waliokopeshwa waongezeka!!! Very sad.

Ilisemwa kuwa waandishi wa habari wawe na digrii Sasa hivi wanazo digrii lakini ukiwapeleka press conference wako hopeless hawawezi uliza hata maswali ya maana Kama wenzao wa BBC,CNN ,Voice of America,Sauti ya Ujerumani,Aljazeera no wa kwetu so hopeless
 
Kuna watu utakuta wamepewa hela asilimia kumi tu ya walichoomba. Mfano mtu anaomba milioni mbili unampa laki mbili halafu mbio unasema wakopeshwaji wameongezeka!...
Mkuu naomba ujibu hili najua unauwezo nalo,
 
Back
Top Bottom