tafuta wataalamu wa kilimo au wauza madawa watakushauri aina gani ya dawa ya kupiga. Hiyo ni dalili ya kuwepo wadudu/fungus wanaokula vikonyi vinavyoshikilia maua.Miti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine yasipukutike?
Wewe ulitaka maua yatoe embe kwani lazima?
Bado hadi kamvua kapite kwanza wala usiwe na wasiwasiMiti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine yasipukutike?
Mkuu nadhni shida ikawa ni umwagiliaji au upungufu wa virutubisho ( K au Ca) maana kipindi mmea unatoa mauwa huwa ukimwagiliwa Maji unapata stress ambazo zinapelekea flowers abortion pia upungufu wa virutubisho unaweza pelekea ilo jamboMiti ya miembe imetoa maua mengi sana, la jabau ni kuwa maua yote yanapukutika na vijiti vilivyoyabeba maua vinadondoka. Tatizo ni nini na nini kifanyike in case miti inatoa maua mengine yasipukutike?
Wazazi wako masikini Wana hasara! Poleni wazazi wenzanguWewe ulitaka maua yatoe embe kwani lazima?
Asante Sana. Ila sijamwagilia. Madini kweli inawezekana màna siweki mbolea Kanisa. Siyo kwangu tu Ni wote wenye miembe Tabia Ni mojaMkuu nadhni shida ikawa ni umwagiliaji au upungufu wa virutubisho ( K au Ca) maana kipindi mmea unatoa mauwa huwa ukimwagiliwa Maji unapata stress ambazo zinapelekea flowers abortion pia upungufu wa virutubisho unaweza pelekea ilo jambo
Pia kama anauwezo amwagilieBado hadi kamvua kapite kwanza wala usiwe na wasiwasi
khaaa🙄🙄Nikama sperms za mwanaume, zinatoka mamillion lakin moja tu ndio inafanya kaz, ata maembe pia maua ni mengi ila maembe ya wastani tu
goma ni nini? lil gamda la juu la muembe? Nitajaribu kesho lkn nakuwa na wasiwasi na science behind?? nitajaribu maana haitaua muembe. asante sananaparua goma
Chief unaweza elezea kwanini kuparua gome tu kunatosha?Mkuu sijajua kwa miembe ya kisasa ila mm na hii miembe ya kienyeji km ikianza tu kutoa maua hua naparua goma kwa kutumia panga sehem kidogo tu hii inasaidia sana mmea kutunza maua jaribu mkuu inaweza saidia.Maana mm miti yangu ilikua inatoa maua mengi sana ila yakianza viembe yanapukutika kwa wingi sana ndo nikapewa elim hii kwa kweli imenisaidia sana.
ongeza nyama kidogo, huo moshi unafanya nniTafuta ubani choma pale chini moshi uende juu