Ndio maana tunafundishwa kuwaheshimu wamama zetu zaidi ya wababa. Maana wamebeba mimba kwa taabu sana na kuzaa kwa uchungu.wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
Kwenda hedhi kwa mwanamke kila mwezi ni dalili ya afya na siha njema... Mwanamke ambaye hapati siku zake basi aidha ni mjamzito au ana matatizo ya kizazi.wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
Si wanawake wote wenye kupata maumivu...!ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol
Si kweli hata wanawake wazee wana-enjoy hiyo kitu.wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
Si dini zote zenye kuamini katika dhambi ya asili... Si swala lenye kuingia akilini kwa waumini wa dini zingine, ni kama uonevu kwa binadamu ambaye akuwepo wala kutakiwa ushauri katika kula ilo linalosemekana kuwa ni tunda la uzima.mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.....:A S 39::A S 39:
sikujua niiweke wapi hii
...sababu gani zinazokufanya uone ni jambo la kumshukuru mungu kuzaliwa mwanamke?...do you mind to share,ili sie tunaokwazika tukifikiria haya mateso yanayoambata na uanamke tuwe tunapata faraja tukizifikiria sababu zako?[/QUOTE
Kwa sababu si kweli kwamba inawezekana mungu hatupendi wanawake, imeandikwa wapi na mwanaume na mwanamke kila mtu aliumbwa kwa makusudi maalumu tukiachana na mambo ya kiulimwengu ya kukata tamaa.kwa hiyo narudia tena Asante mungu kwa kunifanya mwanamke.
mmh kwenye viandishi vyekyundu ivyo nahisi kuna tatizo.......!!!!!!!Zambi ya Asili? kwa kosa gani mlilo lifanya?. Basi Mungu wako wa ajabu kwelekweli, kosa la wengine uazibiwe wewe. hakuna kitu zambi ya asili ni kutiana ujinga tu!, ulishiriki lini kuitenda zambi hiyo
No comment...... mwacheni Mungu aitwe Mungu!
Kumbe wewe ni she! Aisee halafu that is the way u feel about being a she!!!!!! U need to understand that Mungu ameumba kwa jinsi alivyoona ni poa no pains intended to any of u ....sababu gani zinazokufanya uone ni jambo la kumshukuru mungu kuzaliwa mwanamke?...do you mind to share,ili sie tunaokwazika tukifikiria haya mateso yanayoambata na uanamke tuwe tunapata faraja tukizifikiria sababu zako?
kakague mama!...Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).
I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.
kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
Hapo nimekugongea senksi!!!Mmmmmh! si kweli mungu anatupenda sana tena sana.Tena namshukuru mungu kwa kunifanya mm mwanamke.Mungu zidi kuongeza wanawake wengi duniania.
Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).
I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.
kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue: