Mie nahisi mungu hapendi wanawake......

Fab unaamini Mungu yupi alokuwa ana weakness kushinda hata binaadamu!?
 
btw Fab wewe unaepata a bit of monthly pain unasema mungu hakupendi, yule aliyezaliwa na ulemavu wa aina yoyote, au aliyepata magonjwa kama cancer au ukimwi asemeje?

Na yule aliyezaa mtoto wake akafa bado mchanga..................na wale wanaopoteza mali zao zote kwenye natural disasters jee?
 
Pole sana Fab.Humu naona hakuna mwenye jibu. Ila 'babu ataka kusema' amekupa picha halisi kwamba hayo yanayokusibu ni karibia kwa wanawake wote.Hatuwezi kuhoji ni kwa nini mungu alifanya hivyo. Nadhani kwa wanaumme iwe challenge tuwaonee huruma. kazi yetu ya kulisha tena kwa kushirikiana nanyi ni cha mtoto.
 
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
Ndio maana tunafundishwa kuwaheshimu wamama zetu zaidi ya wababa. Maana wamebeba mimba kwa taabu sana na kuzaa kwa uchungu.

wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
Kwenda hedhi kwa mwanamke kila mwezi ni dalili ya afya na siha njema... Mwanamke ambaye hapati siku zake basi aidha ni mjamzito au ana matatizo ya kizazi.

ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol
Si wanawake wote wenye kupata maumivu...!
wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
Si kweli hata wanawake wazee wana-enjoy hiyo kitu.
mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.....:A S 39::A S 39:

sikujua niiweke wapi hii:cool::cool:
Si dini zote zenye kuamini katika dhambi ya asili... Si swala lenye kuingia akilini kwa waumini wa dini zingine, ni kama uonevu kwa binadamu ambaye akuwepo wala kutakiwa ushauri katika kula ilo linalosemekana kuwa ni tunda la uzima.
 
...sababu gani zinazokufanya uone ni jambo la kumshukuru mungu kuzaliwa mwanamke?...do you mind to share,ili sie tunaokwazika tukifikiria haya mateso yanayoambata na uanamke tuwe tunapata faraja tukizifikiria sababu zako?[/QUOTE

Kwa sababu si kweli kwamba inawezekana mungu hatupendi wanawake, imeandikwa wapi na mwanaume na mwanamke kila mtu aliumbwa kwa makusudi maalumu tukiachana na mambo ya kiulimwengu ya kukata tamaa.kwa hiyo narudia tena Asante mungu kwa kunifanya mwanamke.
 
Zambi ya Asili? kwa kosa gani mlilo lifanya?. Basi Mungu wako wa ajabu kwelekweli, kosa la wengine uazibiwe wewe. hakuna kitu zambi ya asili ni kutiana ujinga tu!, ulishiriki lini kuitenda zambi hiyo
mmh kwenye viandishi vyekyundu ivyo nahisi kuna tatizo.......!!!!!!!
mmh since u seems to b out of line i better b out too wth spechless!!!!!!!

pole
 
mmh apo kwa mwanaume kula kwa jasho mbona skuizi kazi tunafanya wote?
tena wanawake skuiz ndo wanachukua majukumu makubwa ada ya watoto ,kula ,pango na gharama zote since wanaume wengi wanatelekeza familia zao mfano mzuri angalia maisha ya kijijini wanawake wanavyosafa ukija mijini ndo kabisa single parent kibao!!!!!!!
bt hii yote imekuja afta kutenda dhambi yani ni adhabu ndani ya adhabu!!!
mungu tusaidie sana na tunaomba huruma yako .amen
 
naogopa kumkufuru mungu ila all in all mwanamke kaonewa.hapa kuna siri kubwa sana ,ila nao wanatutibua some times oo mara haki sawa,wakae watulie watunzwe hawataki acha wakome sie tunapeta tu.
 
...sababu gani zinazokufanya uone ni jambo la kumshukuru mungu kuzaliwa mwanamke?...do you mind to share,ili sie tunaokwazika tukifikiria haya mateso yanayoambata na uanamke tuwe tunapata faraja tukizifikiria sababu zako?
Kumbe wewe ni she! Aisee halafu that is the way u feel about being a she!!!!!! U need to understand that Mungu ameumba kwa jinsi alivyoona ni poa no pains intended to any of u .
 
Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).

I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.

kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Mungu hana upendeleo ametenda haki bin haki kuna machungu mwanamke anaumia mwanaume haumii vile vile kuna machungu mwanaume anaumia huku mwanamke haumii, Mungu amefanya balance hajapendelea upande.
 
On contrary, wanaume wanateseka sana kutafuta riziki kwa ajili ya familia zao wakiwemo wanawake, ambapo wanawake wengi hukaa nyumbani na kuachiwa hela ya matumizi kila asubuhi. Hivi hamuoni mwanamke akiiba kitu watu wanashangaa kuliko kama mwanaume angeiba? Hiyo inaonyesha kuwa wanaume wanafanya mbinu nyingi wapate riziki za familia zao, hata kwa njia zisizo halali!
 
Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).

I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.

kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
kakague mama!...
kakague nimeitendea nini posti ako
 
Mmmmmh! si kweli mungu anatupenda sana tena sana.Tena namshukuru mungu kwa kunifanya mm mwanamke.Mungu zidi kuongeza wanawake wengi duniania.
Hapo nimekugongea senksi!!!

Washindwe na walegee ambao hawapendi kudumisha mila! Ee Mungu waongeze hawa watu wawe wengi ili mila na desturi ziendelee kuenziwa.....
 
Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).

I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.

kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue:

Sikujua hilo. Kumbe dada? Mbon hukuwahi kuniambia? Anyway.................!
 
Namshukuru sana mungu kunifanya mwanamke nadhani ni upendo wa ajabu aliotufanyia ,Upendo huo unaongezeka zaidi pale aliposema tutazaa kwa uchungu ..ndio maana tuna mapenzi makubwa sana kwa watoto wetu hasa tukiufikiria huo uchungu wa ajabu
To god be the glory Amen.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom