Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,731
We si unaona alivyo kimyaHahaha kakwambia kwani hana bando
We si unaona alivyo kimyaHahaha kakwambia kwani hana bando
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] halafu umeniamsha ujue na matext yako
Utakujaga kuniua aki... Lile wenge la usingizi kabisaaa nikajua Sakayo nafwaa[emoji23][emoji23][emoji23] halafu umeniamsha ujue na matext yako
Yaani nilijua kuna mtu kadaka sura yangu ya baba kaianikaaaHahaha umedukuliwaje sasa mm nimekutext jana usiku nakupa taarifa
Kabla hujaja bhana... Asubuhi ilee kuamka na wenge nakutana nazoHahhahah yaan wewe sasa zile text ulielewa vipi mbona nilikuelezea vizuri tu
Nilikuwa nimeshalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo umezisoma asubuhi mm nimetuma jana usiku
Kabisaaa akiHahahah ukaamua kuniamsha na mm ulivyoamka
HahahaKwahiyo ukajisikia rahaa kuniamsha
Pole mwayaInategemea kama sina ratiba za asubuhi jamani