SEHEMU YA 88
Fareed akaondoka mahali hapo huku moyoni mwake akiwa na amani kubwa. Majuto yote yakatoka moyoni mwake, alijiona kuwa mtu mpya, tamaa za kuwataka wanaume zilipotea ghafla kiasi kwamba yeye mwenyewe alishangaa.
Alilala hotelini huku akisubiri siku ya kesho ambayo ilikuwa ni lazima aelekee huko kwa ajili ya kupakwa mafuta ya baraka kama alivyoambiwa.
Kesho yake ilipofika, akaondoka hotelini na kwenda kanisani humo. Padri akamwambia amfuate katika chumba kile cha kuungamia dhambi alipokuwa akikaa ambapo ndipo kulipokuwa na mafuta hayo.
Fareed hakutaka kujali, akatoka katika kiti kile alichokalia jana na kwenda katika chumba kile. Hakikuwa na mwanga mkali, kulikuwa na mwanga hafifu, mbele yake alimuona padri akiwa amesimama huku akimsubiri, alipomkaribia akaambiwa apige magoti na kufumba macho.
Alipofanya hivyo, padri akamsogelea na kuanza kumshika shingoni. Ushikaji wake haukuwa wa kawaida hata kidogo, ulikuwa ni ushikaji wa kimahaba ambayo uliyawehua pepo la ngono alilokuwa nalo Fareed, hapohapo akaanza kusisimka.
Padri hakuacha, aliendelea kumshika shingoni tena kwa ustadi mkubwa.
Fareed aliendelea kusisimka, hisia alizokuwa akizisikia zilikuwa ni za ajabu sana, mwili ukaanza kumlegea, padri hakuacha, ndiyo kwanza akaendelea kushuka chini na kuanza kumvua mkanda wa suruali.
“Padriiiiiiiiiiii…” aliita Fareed huku akiwa hoi.
“Bebi! Unanukia vizuriiiii…” alisema padri huku akionekana kuchanganyikiwa kwani hata pumzi zake hazikuwa za kawaida.
Ndani ya dakika kadhaa tu, Fareed akajishtukia akiwa mtupu, alitaharuki, akaanza kumtoa padri lakini hakutoka kabisa, alipotaka kupiga kelele, alizibwa mdomo kwa kiganja cha padri huyo.
Hiyo ilikuwa ni mara ya pili kubakwa, moyo ulimuuma sana, hakutegemewa kubakwa na padri huyo ambaye kwake alionekana kuwa mtumishi wa Mungu mpaka kufika kwake na kuanza kuungama.
Padri Luke alichukua dakika ishirini kumbaka na alipomaliza, akamchukua na kumpitisha mlango wa nyuma huku Fareed akiwa hoi, hata kusogeza viungo vyake alishindwa.