Uchumi wa katikatiMida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
Hili jambo huwa najiuliza sanaMida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
ha ha ha nikiishiwa nani atanisaidiaToa pesa acha ubahili wee vepeeeeeh, aaaaah
Kwani mwanzo ulipokuwa unazitafuta nan alikusaidia? Hebu acha ubahili mxieeeeewha ha ha nikiishiwa nani atanisaidia
ha ha ha uliyenaye unamkomesha kweliKwani mwanzo ulipokuwa unazitafuta nan alikusaidia? Hebu acha ubahili mxieeeeew
Na anakoma haswaaaaaaah, uwiiiiiiiih lolha ha ha uliyenaye unamkomesha kweli



huo sio uzalendo mkuuNa anakoma haswaaaaaaah, uwiiiiiiiih lol![]()
WordsMbaya zaidi bado kuwaambia nimerudi njia kuu,ninachokifanya sasa hivi ni kupunguza mawasiliano na kupangua appointment
Kumi kwa mmoja kakaKuna michepuko inajielewa balaa.
Yaani unakutana na mwanamke ana malengo makubwa makubwa na anayatimiza.
Anathamini hata kidogo unachompatia na hana time na ndoa yako.!
K haziko SawaHa ha ha
Ila wanaume wana tamaa, hawaridhiki na K moja sijui kwanini?![]()