Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,341
- 56,067
- Thread starter
- #241
Yapo kwa vijana wa chuo na sekondari au wale watu ambao wako kimakundi makundiAise kumbe haya mambo yapo duu
Yapo kwa vijana wa chuo na sekondari au wale watu ambao wako kimakundi makundiAise kumbe haya mambo yapo duu
Nimejitafakari nikaona hata baadhi ya malengo yangu hayatekelezeki,kwa sababu najikuta nakula hadi akibaUnatakiwa kuwa na mipaka basi
Yapo kwa vijana wa chuo na sekondari au wale watu ambao wako kimakundi makundi
Hapo kutoka ni ngumu sanaNimejitafakari nikaona hata baadhi ya malengo yangu hayatekelezeki,kwa sababu najikuta nakula hadi akiba
Kweli mkuu,ndio napambana niachane na hicho kifungo.Hapo kutoka ni ngumu sana
Wanafanya hivyo kwa ajili ya kulipiza kisasiNa haya maradhi daa shetani ana control watu au tuna msingizia tu ni tamaa zetu
Tumia cost benefit analysis. Kama unachokigharamia sasa kinakidhi matakwa yako just go on remember there is no free lunch alwaysMida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza malengo binafsi inakuwa changamoto.....tuishi na michepuko kwa akili,ikiwezekana acha kabisa.
ha ha ha ha ni kweli mkuu nimewaachia gurudumu mliendeshehuna hela...kaa tu utulie ndugu
Duu kwahiyo wanajiripuaWanafanya hivyo kwa ajili ya kulipiza kisasi




Kuna mmoja nilikuwa na malengo ya kumfungulia biashara kama angekuwa mvumilivu lakini mizinga imezidi hadi imenikaba kooTumia cost benefit analysis. Kama unachokigharamia sasa kinakidhi matakwa yako just go on remember there is no free lunch always
Inategemea,wanaweza kutumia mpira au wasitumieDuu kwahiyo wanajiripua![]()
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.


kwanini msibaki njia kuu, utafikiri mmelazimishwaHaya mambo hayana ujasirikwanini msibaki njia kuu, utafikiri mmelazimishwa
Ha ha haWanaume mnatakiwa mjue hata sisi wanawake tunahitaji kuwa na wapenzi wa peke yetu, unapokuja kwangu wewe kama mume wa mtu maana yake unanitreat kama ziada, mimi pia inaniuma kuona kuwa huyu mwanaume ninaye ila sio wangu...unadhani hilo gap naliziba vipi

Bi mkubwa umempa kila kitu, anaitwa Mrs Equation x...hii pekee inampa haki ya kila kitu ambacho kinahusiana na wewe, hata ungenimwagia mamilioni bado haitoshi kufidia hilo gepu



Nifate mapenzi kwako nitayapata? Pale ni exchange tu maana hata wewe kilichokuleta kwangu sio mapenzi. Unapata unachohitaji na mimi napata nnachohitaji....deal closed. Siwezi kuwekeza kwenye mapenzi wakati siku yoyote unaweza kuamua kuniacha na kurudi kwa mkeo na mimi ukaniachia v.uzi tu.





