Michepuko inafilisi

Michepuko inafilisi

ha ha ha ha ha,sio hivyo unakuwa umeweka mipango kabisa baada ya muda fulani tutafanya biashara fulani na mikakati unakuwa umeweka na mkakubaliana;kabla ya kufanikisha hilo mizinga inakuwa mingi mpaka ile mipangilio yako ya awali inashindwa kutekelezeka.
kazi unayo
 
Tatizo hakuna guarantee, hivi siku imefika unaniambia nimeshindwa kutoa pesa wife ameficha ATM card nitakushtaki wapi? Au kabla hata hatujafika kutekekeza mipango unaniambia mimi sasa hivi nimeokoka sitaki tena michepuko usinitafute tena wakati huo wewe ulikuwa unajinyima unasubiri kutekeleza mipango mikubwa. Unakamua kwelikweli kama ni mipango unafanya ya kwako binafsi, mambo ya kupanga mipango na mume wa mtu yanatoka wapi
Haaaahaaaambavu zangu jamani

Ina maana huyo unayemquote anajifanya hayaelewi haya?
 
Nimeanza kupunguza mawasiliano kwa mmoja na kumuambia kwa sasa nabana matumizi nadaiwa na bank,muda wowote wanaweza kuuza asset zangu,akabaki kusema Mungu atakusaidia tu;bila kujua ni mkakati wa kuachana.


Huyo analala mbele kama umeshamwambia hivo full kujiongeza

Mwanamke akikosa pesa anasepa mwenyewe bila hata nguvu
 
kuna mmoja ni mwanachuo fulan,ana chura matata leo anataka umpe fedha ya matumizi ya mwezi mzima,hujakaa sawa anataka laptop,hujageuka unaambiwa wazazi wangu wanataka matumizi....maji yamenifika shingoni inabidi nikimbie tu.
Chuo gani mkuu tukusaidie malipo
Kwanini ubebe huo mzigo wa chura peke yako
Mi sipendi kuona mwanaume mwenzangu anapata shida.,inanisikitisha sana
 
Back
Top Bottom