Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
ai wanda,haya bana.anajua mie ni AC/DC
Vipi unawaangalia manU? Naona bolton anawatoa kamasi.
ai wanda,haya bana.anajua mie ni AC/DC
hapana dear,........'akichoka kapata'.
Kuna sherehe ndogo ya welkamu bak Hashycool inafanyika kwa Michelle jiandae nakupitia nahisi Dotto atakuwa amelala tutambebea Fanta Orange..Najua hiyo ya kizamani, mimi nimei-modernize iendane na hali halisi.
Dotto ndie anaekujibu. . . Kurwa ndie amelala.Kuna sherehe ndogo ya welkamu bak Hashycool inafanyika kwa Michelle jiandae nakupitia nahisi Dotto atakuwa amelala tutambebea Fanta Orange..
Mnafanana kama wino wa marker pen ndio maana mnanichanganya saa zingine..lol...usalama upo mlinzi invisible..Dotto ndie anaekujibu. . . Kurwa ndie amelala.
Hehehehe hiyo sherehe itaisha salama kweli?
Nikisema naoa utaniuliza kama ni serious au masikhara...lol
Najua hiyo ya kizamani, mimi nimei-modernize iendane na hali halisi.
Itabidi niitangze ndoa kwako ili watu waamini...lol..itakua masikhara lol....
Mnafanana kama wino wa marker pen ndio maana mnanichanganya saa zingine..lol...usalama upo mlinzi invisible..
ZD nakuja huku kupata faraja kidogo najua huko mlimani nitakuja kujumuika nawe..Wana MMU tupo kwenye msiba wa mwana MMU mwenzetu na mwanaJF sasa wewe TF unafanya nini huku?au wewe ulikuwa mtani wake?Leo hata Invisible kaondoa matangazo ya biashara .........sikuelewi...
Mkuu umemuona Amyner....halafu Amyner tafadhali usini-quote kwenye hii post.Hashy has a mountain to climb lol.....
Hashy akipata mwingine usije kuhama nchi michelle... Dont throw away the golden chance dear ohooo a man is in pain... Hashy atafutwe jamani asije akawa yupo juu ya bwm tower!
ZD nakuja huku kupata faraja kidogo najua huko mlimani nitakuja kujumuika nawe..
Hahaha..Finally this was bound to happen...sasa nafikiri hapa Amyner swali uliloniuliza limejibiwa....lol..hujambo cutie?
me miss you....
ai wanda,haya bana.
Vipi unawaangalia manU? Naona bolton anawatoa kamasi.
Hahaha..Finally this was bound to happen...sasa nafikiri hapa Amyner swali uliloniuliza limejibiwa....lol..
Mnafanana kama wino wa marker pen ndio maana mnanichanganya saa zingine..lol...usalama upo mlinzi invisible..
Dotto ndie anaekujibu. . . Kurwa ndie amelala.
Hehehehe hiyo sherehe itaisha salama kweli?