Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
hutaki warudiane? Kosa gani lisilosameheka?kwani Hashy kaua mtu asisamehewe?
Kwani mtu akipumzika hawezi kurudia kazi?
Ningekua nimesema akichoka AACHANE NAYO hapo sawa.
hutaki warudiane? Kosa gani lisilosameheka?kwani Hashy kaua mtu asisamehewe?
Zion,i fully appreciate your observation and concern,with full respect kwa Regia,na kwa majonzi makubwa tu,naomba nikuulize,are you suggesting kwamba kutokana na msiba huu jf i shut down isipokuwa thread za maombolezo?Wana MMU tupo kwenye msiba wa mwana MMU mwenzetu na mwanaJF sasa wewe TF unafanya nini huku?au wewe ulikuwa mtani wake?Leo hata Invisible kaondoa matangazo ya biashara .........sikuelewi...
Hhhm. . .kakukana wapi aiseee?Haitaisha salama
bora usiende
TF huyo, haaminiki sasa hivi
leo kanikana hadharani
Hahaahahaaha.
Aiseee mi sina uhakika. Ntakuja nimevaa flats ili iwe rahisi kukimbia.loz
kama unajipenda usiende
kutakuwa na vita ya iraq
Boss Boss.....Soon Amyner will be here don't shy away...lol..ha ha haa hivi lini umeanza kuwa matchmaker?
rushwaaaaaaaaa si umeona penalty feki waliyopewa maU?Bolton wamemezwa kabisa
Hizo mbio zitakuwa za Kumkimbia Kongosho....lol..Hahaahahaaha.
Aiseee mi sina uhakika. Ntakuja nimevaa flats ili iwe rahisi kukimbia.loz
Kwani mtu akipumzika hawezi kurudia kazi?
Ningekua nimesema akichoka AACHANE NAYO hapo sawa.
Hhhm. . .kakukana wapi aiseee?
Wanaoichukia MAN U utawajua tu...rushwaaaaaaaaa si umeona penalty feki waliyopewa maU?
Aiiiii...weweee...kuna mahali kanikana
wakati mie nilikuwa namsaidia kulea kondoo wake.
Wanaoichukia MAN U utawajua tu...
Itabidi niitangze ndoa kwako ili watu waamini...lol..
Boss Boss.....Soon Amyner will be here don't shy away...lol..
Eti "mwanaume haachwi". . . siwezi kufikisha ujumbe usio na ukweli ndani yake. Atarudi akishapumzika vya kutosha.poor Hashy,ushampata? Mwambie Bishanga anasema,tena with full confidence,kwamba mwanaume huwa haachwi,yeye atulie tu asi panic Michelle atamtafuta mwenyewe.
kuna mahali kanikana
wakati mie nilikuwa namsaidia kulea kondoo wake.
Hizo mbio zitakuwa za Kumkimbia Kongosho....lol..
hujambo cutie?
me miss you....
rushwaaaaaaaaa si umeona penalty feki waliyopewa maU?