Michelle.....

Michelle.....

Eti "mwanaume haachwi". . . siwezi kufikisha ujumbe usio na ukweli ndani yake. Atarudi akishapumzika vya kutosha.
ndo ukweli Lizzy,utampenda mwanamke,mtazaa,mtakorofishana,miaka itapita,halafu siku ya siku unapata kipoozeo,its normal,hatuachwagi sisi.
 
Basi aina ya wanawake mliokutana nao ni wa aina yake. Bahati mbaya hiyo aina mimi siifahamu. . . hongereni.
 
tena wana bahati sana kupata wanawake wa namna hiyo... But in reality wanaume wanaachwa vizuri! Its just that ni ngumu kwao kukubali ukweli ili waonekane superior..
 
Lizzy,sijui una umri gani,kuna mtu (nadhani Michelle) katika uzi huu kasema we ni kigori,take your time,kuna siku utakumbuka maneno yangu.I have seen a lot,nikisema mwanaume haachwi namaanisha hivo,hata huyo Michelle wako siku akirudiana na Hashy wala hatakwambia unless you dump into them accidentally.Take it from me,i know women,na ninawajua uzuri.
 
ushawahi kuacha?
 
Ndio...namwamini Hashycool kwa chenga...ila km Golikipa mwenyewe ni Michelle ngoja tusubiri kipenga...
 
Kuna sherehe ndogo ya welkamu bak Hashycool inafanyika kwa Michelle jiandae nakupitia nahisi Dotto atakuwa amelala tutambebea Fanta Orange..

makubwa haya, kwa Michelle yupi tena? mtatolewa na mapanga na shem wenu mpya...ohoooooo!

Mi sikumbuki kuandika matusi leo, iweje post zangu zimefungwa, sielewi kosa langu?? Kazi kweli kweli!
 
poor Hashy,ushampata? Mwambie Bishanga anasema,tena with full confidence,kwamba mwanaume huwa haachwi,yeye atulie tu asi panic Michelle atamtafuta mwenyewe.

Michele mimi, na ujana huu?? ye asubiri tu....lol
 
Lizzy,sijui una umri gani,kuna mtu (nadhani Michelle) katika uzi huu kasema we ni kigori,take your time,kuna siku utakumbuka maneno yangu.I have seen a lot,nikisema mwanaume haachwi namaanisha hivo,hata huyo Michelle wako siku akirudiana na Hashy wala hatakwambia unless you dump into them accidentally.Take it from me,i know women,na ninawajua uzuri.

Wewe unawaongelea hao kwasababu unawajua, na mimi najiongelea mimi kwasababu najijua pamoja na wengine kama mimi. Umri wangu hata kama ni mdogo haunifanyi niwe mtumwa au limbukeni. Kama hujui kuachwa hongera ila wapo walioachwa na watakaoendelea kuachwa. Jitahidi tu usikutane na kina sie maana unaweza ukajikuta unapoteza kujiamini bure kisa kabinti kamekuacha solemba.
 
tena wana bahati sana kupata wanawake wa namna hiyo... But in reality wanaume wanaachwa vizuri! Its just that ni ngumu kwao kukubali ukweli ili waonekane superior..
Hehehe wakikubali ukweli watakosa kujiamini. . .
Acha tu waendelee kujidai.
 
Michele mimi, na ujana huu?? ye asubiri tu....lol

unless of course yawe mapenzi ya utotoni,lakini kama ni ya kwenye utu uzima,aisee hayaishi hivi hivi.Yaani umpende mtu kidhati in your late 20's kisha unambie unamwacha for good,honestly i doubt.
 
Wewe unawaongelea hao kwasababu unawajua, na mimi najiongelea mimi kwasababu najijua pamoja na wengine kama mimi. Umri wangu hata kama ni mdogo haunifanyi niwe mtumwa au limbukeni. Kama hujui kuachwa hongera ila wapo walioachwa na watakaoendelea kuachwa. Jitahidi tu usikutane na kina sie maana unaweza ukajikuta unapoteza kujiamini bure kisa kabinti kamekuacha solemba.

Mbona tushaacha sana tu jamani, na matapishi hatuyarudii?? Bishanga anaelewa sana tu...ngoja majonzi yaishe tumueleweshe vizuri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom