Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
mtoto wa mamahuyo "halijojo" yupoje?
mtoto wa mamahuyo "halijojo" yupoje?
unless of course yawe mapenzi ya utotoni,lakini kama ni ya kwenye utu uzima,aisee hayaishi hivi hivi.Yaani umpende mtu kidhati in your late 20's kisha unambie unamwacha for good,honestly i doubt.
Michelle,ashakum si matusi,Hashy kama ni 'mtaalaam' basi nenda kusini rudi kaskazini utamkumbuka tu,huo ndo ukweli.Kibaya zaidi that could happen to you may be only once in your lifetime,yaani unapata mwanaume akikugusa tu.................... Could be huyo mwanaume ni Hashy,nambie sasa unamwachaje? Utafurukuta weeeeeee maneno kibao lakini at the end of the day wala Lizzy hutamtaarifu kuwa kesho mnaspend night na Hashy Zamani Kempinski Zanzibar,huo ndo ukweli wa mapenzi.Mbona tushaacha sana tu jamani, na matapishi hatuyarudii?? Bishanga anaelewa sana tu...ngoja majonzi yaishe tumueleweshe vizuri!
Basi tu anaona ngumu kumeza. . . lolzMbona tushaacha sana tu jamani, na matapishi hatuyarudii?? Bishanga anaelewa sana tu...ngoja majonzi yaishe tumueleweshe vizuri!
Michelle,ashakum si matusi,Hashy kama ni 'mtaalaam' basi nenda kusini rudi kaskazini utamkumbuka tu,huo ndo ukweli.Kibaya zaidi that could happen to you may be only once in your lifetime,yaani unapata mwanaume akikugusa tu.................... Could be huyo mwanaume ni Hashy,nambie sasa unamwachaje? Utafurukuta weeeeeee maneno kibao lakini at the end of the day wala Lizzy hutamtaarifu kuwa kesho mnaspend night na Hashy Zamani Kempinski Zanzibar,huo ndo ukweli wa mapenzi.
Basi tu anaona ngumu kumeza. . . lolz
BTW pole dearest maana nimesoma sehemu kwamba RM alikua rafikiyo. . . japo wote tumeguswa, ni hakika kua wengine wameguswa zaidi kutoka na ukaribu, we mmoja wao.
Kuna ukweli kwenye maelezo yako, yaweza tokea kweli yote unayosema....Lizzy nikikuficha ukija kujua usi-mind si unaona mkuu Bishanga ashatoa ufafanuzi???
Hahahah. . . ntajitahidi kukuelewa dearest . . .
Asante sana Lizzy, sitaki hata kufikiria tena, manake nimeshabembelezwa vya kutosha,RM tumetoka nae mbali, tumefanya course za Leadership pamoja,makongamano,na harakati za kuhamasisha vijana wajiunge na chama...tumesaidiana kimawazo na kupeana moyo, na kweli tulikuwa tunapanga mengi, mara ya mwisho tumekubaliana tuonane twende kutembea Kilombero...leo hayupo...kinaniuma sana,nina picha za Dodoma hapa naangalia sitaki kuamini....maisha yetu ni mafupi sana dearest...tuyatumie vizuri...hatuna muda mrefu sana, tutende mema na tutumie vyote Mungu alivyotupa kwa ajili ya wahitaji,RIP RM
hahahahaaaa nalog offKuna ukweli kwenye maelezo yako, yaweza tokea kweli yote unayosema....Lizzy nikikuficha ukija kujua usi-mind si unaona mkuu Bishanga ashatoa ufafanuzi???
Pole sana dearest, siwezi hata kuimagine unajiskia vipi. Ila usiumie sana maana pengine huko alipo ni bora zaidi, just celebrate the good things that you did together, celebrate the good times you had and pray that she is in a better place. That's all we can do for her now.
Loh. . . mwenyewe nimekaa nikafikiria jinsi maisha yasivyo na guarantee, kwakweli inabidi tujitahidi kutumia kila siku tuyoamka salama kufanya yale ambayo tungependa na tunahitajika kuyafanya kabla hatujachelewa.
hahahahaaaa nalog off
(source:washawasha)
pamoja na ku log off nimelog in tena nikupe pole kwa hili.Pole sana Michelle na wote walioguswa na msiba huu,Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mja wake Regia,Amina.Asante sana Lizzy, sitaki hata kufikiria tena, manake nimeshabembelezwa vya kutosha,RM tumetoka nae mbali, tumefanya course za Leadership pamoja,makongamano,na harakati za kuhamasisha vijana wajiunge na chama...tumesaidiana kimawazo na kupeana moyo, na kweli tulikuwa tunapanga mengi, mara ya mwisho tumekubaliana tuonane twende kutembea Kilombero...leo hayupo...kinaniuma sana,nina picha za Dodoma hapa naangalia sitaki kuamini....maisha yetu ni mafupi sana dearest...tuyatumie vizuri...hatuna muda mrefu sana, tutende mema na tutumie vyote Mungu alivyotupa kwa ajili ya wahitaji,RIP RM
pamoja na ku log off nimelog in tena nikupe pole kwa hili.Pole sana Michelle na wote walioguswa na msiba huu,Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mja wake Regia,Amina.
Ni ngumu sana kuelewa dearest. . .Kweli najisikia vibaya sana dearest, mwezi uliopita kuna rafiki yangu alipumzika kiajabu tu umri huu huu wa dada Regia, then namkumbuka Amina Chifupa,tumeachana vizuri muda haukuisha akapumzika, na wengine walioondoka wakiwa wadogo lakini wenye malengo makubwa sana, napata shida kujiona nikiwa na miaka hamsini nitakuwa na nani,wale tulioanza harakati pamoja,wakanilea wanaondoka tu jamani...sijui dearest,natumai amepumzika kwenye amani na najua huko hakuna shida, atuombee aliotuacha tumalize kazi yetu hapa duniani vizuri. Tuyatumie tu haya maisha vizuri!
Ni ngumu sana kuelewa dearest. . .
Sema ndo hivyo tena aliyetuleta alituleta kwa makusudi na atatuchukua kwa kwa makusudi, tuamini tu maamuzi yake.
Dearest umeachiwa kina sisi bana, tutumie na sie kabla hujachelewa. . .lol
Kweli najisikia vibaya sana dearest, mwezi uliopita kuna rafiki yangu alipumzika kiajabu tu umri huu huu wa dada Regia, then namkumbuka Amina Chifupa,tumeachana vizuri muda haukuisha akapumzika, na wengine walioondoka wakiwa wadogo lakini wenye malengo makubwa sana, napata shida kujiona nikiwa na miaka hamsini nitakuwa na nani,wale tulioanza harakati pamoja,wakanilea wanaondoka tu jamani...sijui dearest,natumai amepumzika kwenye amani na najua huko hakuna shida, atuombee aliotuacha tumalize kazi yetu hapa duniani vizuri. Tuyatumie tu haya maisha vizuri!
...Pole sana Michelle kwa msiba mkubwa wa rafiki yako wa karibu. Katika mazungumzo yetu na Regia wewe ulikuwa ni mtu wa kwanza kumpendeza kwake ili awasiliane nawe ili ujiunge na CHADEMA kama ulikuwa hujafanya hivyo, kuna wanachama wengine wa jamvi hili ambao pia niliwapendekeza kwake lakini nisingependa kuyataja majina yao. Regia aliniambia mnafahamiana kwa karibu na pia alinifahamisha kwamba ni, "....ni kweli BAK Michelle ni mtu makini sana." Pole sana kwa misiba ya watu uliowafahamu kwa karibu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.
...Pole sana Michelle kwa msiba mkubwa wa rafiki yako wa karibu. Katika mazungumzo yetu na Regia wewe ulikuwa ni mtu wa kwanza kumpendeza kwake ili awasiliane nawe ili ujiunge na CHADEMA kama ulikuwa hujafanya hivyo, kuna wanachama wengine wa jamvi hili ambao pia niliwapendekeza kwake lakini nisingependa kuyataja majina yao. Regia aliniambia mnafahamiana kwa karibu na pia alinifahamisha kwamba ni, "....ni kweli BAK Michelle ni mtu makini sana." Pole sana kwa misiba ya watu uliowafahamu kwa karibu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.