Michelle.....

Michelle.....

Na wewe usitake niseme ya joji and gragon hapa

wapendanao wakigombana we chukua jembe ukalime,hebu tuachane na hawa wapenzi twenzet joji n dragon tukaangalie mechi ya manchesta(wanafungwa leo).
 
Liked it too!
Loh. . . tuombe isiwe hivyo dearest maana itabidi sijui tumfanyeje.

Alafu nimemqona pacha wangu alivyokua ananiuzishia blog. . . I hope you liked it though imefulia kidogo.
 
Bora wafungwe
Aisee nakoshabikia kumefulia safari hii
hadi sioni raha ya mpira kabisa
wapendanao wakigombana we chukua jembe ukalime,hebu tuachane na hawa wapenzi twenzet joji n dragon tukaangalie mechi ya manchesta(wanafungwa leo).
 
oh dear,pole,i can understand.Lakini Michelle,sorry to say this,ex wako (on course to BCB) haikuwa vizuri kumwambia,tena openly kwamba kwa sasa kuna njemba nyingine inakuparamia,lol,ungefunika funika na kumwonyesha huna mtu kwa sasa.Ujue sisi wanaume tuna kitu fulani moyoni hata kama wake zetu wanaliwa bora tusijue,tukijua mmmmhhhh!!!!!

Nimekusoma mkuu,sitofanya hivyo tena...hasiira hasara wakati mwingine.....!
 
Mnapenda kudanganywa ehhhh?

Raha yenu mumkute mtu kachoka maana akipendeza roho inauma. Mumkute bado yupo yupo ili mjipe moyo kwamba hamna mwingine anaeweza mchukua zaidi "yako wewe". Mtaula wa chuya mwaka huu. .

washaula wa chuya na bado wataula sana safari hii....hakuna kulia lia utadhani ye ndo alikuwa mwisho hapa duniani...lol!!
 
washaula wa chuya na bado wataula sana safari hii....hakuna kulia lia utadhani ye ndo alikuwa mwisho hapa duniani...lol!!

Hahahaha alafu eti ndio wanajifanyaga wagumu. Kumbe hua wanalia kisiri siri. Kweli mtu akikumwaga badala ya kwenda kumlilia we pendeza zaidi.
 
Kazi kwake , akisusa wenzie wagombania.Lolzz

Hahahaha dearest ntakujibu sehemu na wakati mwingine kama hutojali.

Kispanish tujifunze wote basi, mwenyewe nakipenda mpaka sasa hivi nimeshika visentensi kadhaa vya kudanganyia kua na mie najua.Lolz

dearest mi niko tayari kabisa kujifunza ki-spanish na sasa ninajifunza kifaransa....sina neno, siku yeyote ile ikikupendeza utaniambia, but am happy for you, you are very beautiful and young....!!
 
Hahahaha alafu eti ndio wanajifanyaga wagumu. Kumbe hua wanalia kisiri siri. Kweli mtu akikumwaga badala ya kwenda kumlilia we pendeza zaidi.

pendeza alafu tabasamu kama hakuna lililowahi kutokea la kukuumiza.....wagumu wapi, wanalia lia tu!
 
dearest mi niko tayari kabisa kujifunza ki-spanish na sasa ninajifunza kifaransa....sina neno, siku yeyote ile ikikupendeza utaniambia, but am happy for you, you are very beautiful and young....!!
Mi Kifaransa nilikikimbia, sikipendi ila kuna baadhi ya maneno nayapenda. Kiispaniola kitamu sana aisee. . . . tufanye tuanzishe kadarasa ketu kule kwenye lugha.

Will do dearest. Hehehehehe usinivimbishe kichwa dearest. . . YOUNG. . . yes, BEAUTIFUL . . .hhhmm.
 
Sikutaka kusema mengi
Sababu sikujua kama unapenda iongelewe hapa
Just looked, enjoyed and kept to myself


Nilishakuambia mie kusutwa suna.
Ila kuna kitu kimenivutia
Ntasema siku nyingine, tena viwili
Hupitwiiiiiii?

Nashangaa mpaka sasa hivi hujaona sehemu mtu kasema nimedata kwako.
 
pendeza alafu tabasamu kama hakuna lililowahi kutokea la kukuumiza.....wagumu wapi, wanalia lia tu!

Hivyo ndivyo mpambanaji mzuri unatakiwa, sio anakukuta umechoka hata nywele ulishasahaugi kwamba hua zinachanwa. Matokeo yake anaishia kusema "nimemkomesha kweli" au "bora nilimwacha" badala ya kutamani hata umsalimie kabla hajaanza yeye.
 
Mnapenda kudanganywa ehhhh?

Raha yenu mumkute mtu kachoka maana akipendeza roho inauma. Mumkute bado yupo yupo ili mjipe moyo kwamba hamna mwingine anaeweza mchukua zaidi "yako wewe". Mtaula wa chuya mwaka huu. .
hapana Lizzy,usichokijua ni giza nene,ya nini mwenzio umrushe roho?mwambie Michellle a m PM Hashy amwambie she was just joking.
 
Sikutaka kusema mengi
Sababu sikujua kama unapenda iongelewe hapa
Just looked, enjoyed and kept to myself


Nilishakuambia mie kusutwa suna.
Ila kuna kitu kimenivutia
Ntasema siku nyingine, tena viwili

Hahahahaha. . . . Ila ukafurahiii mwenyewe? Ngoja ntamshushua yule jamaa.

Mmmh embu niambie bana. . nikikusuta ni mbele kwa mbele.
 
Eyes! Eyes! lol

Mi Kifaransa nilikikimbia, sikipendi ila kuna baadhi ya maneno nayapenda. Kiispaniola kitamu sana aisee. . . . tufanye tuanzishe kadarasa ketu kule kwenye lugha.

Will do dearest. Hehehehehe usinivimbishe kichwa dearest. . . YOUNG. . . yes, BEAUTIFUL . . .hhhmm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom