Michelle.....

Michelle.....

hapana Lizzy,usichokijua ni giza nene,ya nini mwenzio umrushe roho?mwambie Michellle a m PM Hashy amwambie she was just joking.
Kamrusha roho au kamwambia ukweli?
Kwani alitegemea hatotokea mwingine?
 
Macho na miguu, meeen!
I can sell my MV Magogoni

Kama kweli hupendi
Mwambie adelete ile post
Hahahahaha. . . . Ila ukafurahiii mwenyewe? Ngoja ntamshushua yule jamaa.

Mmmh embu niambie bana. . nikikusuta ni mbele kwa mbele.
 
Mi Kifaransa nilikikimbia, sikipendi ila kuna baadhi ya maneno nayapenda. Kiispaniola kitamu sana aisee. . . . tufanye tuanzishe kadarasa ketu kule kwenye lugha.

Will do dearest. Hehehehehe usinivimbishe kichwa dearest. . . YOUNG. . . yes, BEAUTIFUL . . .hhhmm.

he he he he, tuanze kadarasa kadogo bwana watu wajue hata kusema thank you kwa kispanish/french wakipata safari iwawie rahisi kidogo.....wala sikuvimbishi kichwa dearest, nilichokiona ndo nilichokiandika ...lol
 
Macho na miguu, meeen!
I can sell my MV Magogoni

Kama kweli hupendi
Mwambie adelete ile post

Hahahaha. . . . sasa ukiuza si itabidi nitembee alafu miguu iote viazi aisee?

Naaah wala sijali, it's all in good fun.
 
he he he he, tuanze kadarasa kadogo bwana watu wajue hata kusema thank you kwa kispanish/french wakipata safari iwawie rahisi kidogo.....wala sikuvimbishi kichwa dearest, nilichokiona ndo nilichokiandika ...lol
Raha sana dearest ukijua chakuombea maji na kusema ahsante au samahani. Kale kasentensi ulikokaona kalitusave sana maana tulienda sehemu kimombo hakipandi, mtoto wa kike nikajitutumua utadhani na mie mspaniola.

Hehehehe. . . . basi niseme ahsante sana dearest usije ukaacha kunifagilia siku mingine.Lozzzz.
 
Na nyie bwana simu za siku hizi zina translator,kiliwashinda nini ku-download applications mtumie? mwenzio hata kijapan translator inanisaidia,japo wakati mwingine siwezi kutamka natemembea na plain paper za kuandikia nikikopi kwa simu ali mradi ujumbe ufike....!!
 
Hehehehe, . . ya nini dearest wakati I was out to impress someone.Lolz

Heheheheh. . . that's very creative, zinasaidia kweli japo ukitaka tafsiri ya kwetu/au kutoka ya kwetu kwenda nyingine zinazingua sometimes.
 
Ile ya "nikipata aliyeko katikati imekula kwangu"?
Yes. . .

Inahusiana na kudanganya?
sana tena sana tu,na ndo maana ndoa nyingi zina survive. Trust me katika hili,bila kudanganyana ndoa kibao zingeshakufa long time,kauongo kana nafasi kubwa sana kwenye mapenzi and for that matter kwenye ndoa.
By the way Hashy kaishia wapi?ukimwona mwambie 'atafutaye hachoki,akichoka.....'
 
Aisee. . . . .
Basi kazi ipo.

Heheehhe "Atafuatae hachoki, akichoka APUMZIKE".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom