Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Hii show inathibitisha kwamba kweli "usa is a land of freedom"
Ninatamani first lady mmoja naye angefanya show yake ya kwenda kijijini na kupiga stori na wanakijiji. Ingekuwa show nzuri sana!
 
I think so too, ameenda Princeton na Havard.
Kui Marekani nzima hakunaga chuo kama Columbia. Yani hapo ni nyumbani kwa magenous. Teh teh teh tehhh.
Au unabisha???
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom